wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kenya yavunja Mikataba na Adani (Ruto aagiza taasisi husika kutafuta watoa huduma wengine kwa mchakato wa Upanuzi wa JKIA)

    Rais wa Kenya William Ruto, ameagiza kusitishwa kwa kandarasi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa JKIA na ya nishati iliyopewa kampuni ya Adani kutoka India. “Nilishawahi kusema huko nyuma, na narudia tena leo kwamba kutokana na ushahidi usio na shaka au taarifa za kuaminika kuhusu rushwa...
  2. JamiiForums Tanzania Njooni mtufundishe kula panya, mbwa, punda na viumbe wengine wa ajabu ajabu

    Wananzengo hamjambo? Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu. Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani? Inawezekana sisi tunawaogopa bure, huku nyie mkifaidi peke yenu kula vitu vyenye ladha nzuri. Tushawishini...
  3. JamiiForums Tanzania Bondia Mwakinyo ashiriki zoezi la uokoaji Kariakoo

    Wakati zoezi la uokoaji likiwa linaendelea eneo la Kariakoo jengo lilipoanguka, Bondia wa Kimataifa wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshiriki katika zoezi hilo. My take: serikali isimamie hili jambo kwa weledi tupunguze chip popularities, professionals waachwe wafanya uokozi. Sio hawa wasanii...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wengine hawatakiwi kuwa uwanja wa taifa hawana upepo wa ushindi

    Hili jambo limekaa kiroho zaidi Na Kwa kusisitiza Raisi Wa TFF bora asiwepo uwanjani najua ni ngumu Kwa itifaki ila ukweli ndio huo.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu Zilizowasukuma Elon Musk, Tulsi Gabbard, na Wengine Kuwa Wapinzani wa Chama cha Democratic

    Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu jinsi baadhi ya watu mashuhuri walivyogeuza mtazamo wao dhidi ya chama cha Democratic nchini Marekani. Wakati Robert Kennedy Jr. na Donald Trump hawajulikani wazi kilichowasukuma, hali za Elon Musk na Tulsi Gabbard ni rahisi...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni waoga wamebaki kuilaumu CHADEMA

    Sehemu kubwa ya watanzania ni waoga sana kwenye kupambana hadharani na CCM. Lakini watanzania hao hao ni mafundi wabobevu kwenye kuilaumu CHADEMA. Na watanzania wengi sana ni rahisi na wanaona ni salama kwao kushabikia propaganda za CCM dhidi ya CHADEMA kuliko kuunga mkono ukweli unaosemwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bunda na wengine 11 Wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

    Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Imekuwaje kuwaje vibinti huko mitandaoni ghafla vimegeukia ukulima na vipicha mashambani. Ni Show off tu au ndie ile "biashara matangazo"?

    "Strange are the ways of human behavior" by Orson Bean
  11. JamiiForums Tanzania Chikola na wazawa wengine wa Tabora united waitwe Stars

    Tunaomba chikola aitwe taifa stars. Accuracy yake akiwe mbele ya goli ni kubwa sana, nahisi jamaa ni mbrazili Naomba kocha na tff wamuongeze taifa stars. Hicho kipaji kikuzwe. Accuracy yake mbele ya goli ni ya kimataifa level za UEFA champions league. Pia kama kuna wazawa wengine waliocheza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Usipuuze Historia yake wengine bado wako vile vile bali, ni changamoto tu ndio zimefanya wapoe kidogo

    Usifanye kosa la kupuuza historia yake kwa muonekano wake mpya wa leo, wengine ni maji tu yaliyopoa yamerudi ubaridi ila kwenye moto yatarudia hali yake ya umoto. Usijifanye kipofu kupuuza historia yake bali hakikisha kuwa unajua kipi kilikuwa nyuma ya historia yake hiyo na je kuna namna ya...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Shigongo ameonesha uanaume, na wengine muige

    Shigongo ametoa surprise msibani kwa Grace Mapunda (a.k.a Tesa). Shigongo ametamka bila hofu kuwa Grace alikuwa mpenzi wangu (mchepuko) . Watu wote (wake kwa waume) msibani wakabaki wameduwaa. Huyu ndiyo mwanaume sasa, haogopi "kuku" (mke) aliyeko ndani kwa sasa. Maana huyo kuku kafugwa na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Majaji in particular, na wataalamu wengine, wanachagulia kwa vile kuna uhaba wa wataalamu hao au kwa vile wana sifa?

    Nilimsikia Lisu akisema kama tungelikuwa na utaratibu wa kuwachagua MAJAJI , basi ni majaji wachache sana na majaji wa Rufaa wangelikuwa katika ofisi hizo. Mana yake to me ni kuwa no meritocracy is applied katika kuchagua majaji/majai wa Rufaa hao na wataalamu wengine!
  15. JamiiForums Tanzania Bwana wangu ninaekubali kushea na wanawake wengine ni...

    Kusema ukweli Bwana ninaekubali kushea na wanawake wengine ni YESU KRISTO Huyo ndio pekee nakubali tube wengi kwake Wewe je?
  16. JamiiForums Tanzania Uchunguzi usiokuwa rasmi;Ndoa za waliowahi kuwa madada wa kazi( ma house girl) zinadumu kuliko za hawa wengine.......

    Habari za asubuhi waungwana...... Wakati mwingine kukaa bila kazi ya kufanya inafanya kichwa kizurure kifikra na kupitia mawazo mbali mbali....... Katika kuzurura huko kimawazo nikajikuta nimewakumbuka baadhi ndugu, jamaa na marafiki ambao imetokea wameangukia kwenye pendo la hawa wadada wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mapenzi na wanawake, wanaume wa JF tuache tabia ya kung'ata na kupuliza. Mnatuponza wengine

    Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku vimekufa vyote tatizo ni nini wengine hata vichwa hawana

    Nimeingia bandani na kukuta hali hiyo nimechanganyikiwa kabisa
  19. JamiiForums Tanzania Kwani wengine mnawezaje kulewa bila kupigana?

    Naomba kuuliza hivi nyie wengine mnawezaje kunywa kulewa halafu hampigani ngumi? Mbona mimi siwezi!!
  20. JamiiForums Tanzania Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

    Mpo salama Wakuu! Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea. Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo. 1. Midekoo 2. Palina 3. binti kiziwi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…