wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Chadema Wakili T Lissu Leo atasindikizana na wependa haki wengine kwenye kesi ya Dr Slaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
  2. JamiiForums Tanzania Cheetah ni nani? wengi hawamjui wengine wanamfananisaha

    Wengi hawamjui cheetah ni yupi Haswa. leopard ni yupi ?, na jaguar ni yupi ? Kutokana na ufanano wao wanyama hao tofauti watau wanafananishwa sana ! Hanatofautiana katika asili yao, namna yao ya maisha na uwindaji wao. Hii ni thread maalum ya cheetah, je cheetah ni nani ? Master of speed...
  3. JamiiForums Tanzania Geita: Wanafunzi Saba wafariki na wengine kujeruhiwa na Radi

    Wanafunzi wa Kidato Cha Tatu Shule ya Sekondari Businda Wilayani Bukombe Mkoani Geita, wamepoteza maisha katika msiba, huku wengine 82 wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa Masomoni Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Paskas Muragili amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea leo Jumatatu...
  4. JamiiForums Tanzania Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

    ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—˜: ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ (๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ ๐—˜๐—ป๐—ฒ๐—ฟ๐—ด๐˜† ๐—ฆ๐˜‚๐—บ๐—บ๐—ถ๐˜) ๐Ÿฎ๐Ÿณ-๐Ÿฎ๐Ÿด ๐—๐—ฎ๐—ป๐˜‚๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ, ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 โ€“ 28 Januari, 2025. Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Watu Wenye Ualbino ni Muhimu Kama Wengine, Tembeeni Kifua Mbele

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza watu wenye ualbino nchini kutembea kifua mbele na kutojiona wanyonge kutokana na hali yao na badala yake watambue kuwa wao ni muhimu kama ilivyo kwa watu wengine. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo Januari 24, 2025 Jijini Dar es...
  6. JamiiForums Tanzania Ulikuwa unatoa taarifa nyeti za watu, wengine mpaka leo hatuwaoni wengine ndiyo kama hivyo. Leo unaanza kulialia?

    Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta. Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama? Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena? Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengine wakiumwa na nyuki au nyigu hawavimbi?

    Wengine wakiumwa na wadudu hao mwili unaumuka sana haijalishi ni sehemu gani ya mwili Wengine wanaumuka ikiwa sehemu iliyoshambuliwa ni usoni pekee Wengine wanaumuka ikiwa wadudu waliomshambulia na kumdunga ni wengi Wengine wanavimba kiasi tu unakuta kidutu kidogo kama kipele Wengine...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Matukio ya CCM ya Samia Kupindua meza za political trajectories huko Dodoma wengine Yunafunga kamdomo ka Siasa

    Wakwanza mimi kunyoosha mikono SSH kapiga pasi ndefu sana, kapiga butua kali sana, kusema ukweli umepigwa mwingi wa ali ya juu, We have been caught up by surprise haieleziki hasira na kicheko vyote kuchukua kaweka waaah, taamu taaamu hahaaa hasira zenye kicheko ndio hii amazing SSH for...
  9. JamiiForums Tanzania Tumemuona Rais Trump akicheza na Mkewe baada ya Kuapishwa rasmi, hivyo tunaomba na wengine wakiapisha hivi karibuni nao wacheze na Wake / Waume zao

    Na GENTAMYCINE naomba yoyote yule atakayeapishwa huku Afrika (kama kuna Uchaguzi wowote mwaka huu 2025 japo najua hakuna Uchaguzi wowote katika Kumbukumbu zangu) nae akiwa anacheza Muziki na ama Mkewe au Mumewe mara baada Kuapishwa basi atuonyeshe Manjonjo yake ya kujua Kucheza Muziki (hasa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Black men ni wana wanawake wengi zaidi ya Wanaume wengine wote?

    Kwenye kuzurura kwangu duniani kutoka Africa, Ulaya, Asia na Marekani; nimeona watu wengi wakiwemo wanawake weusi, wazungu, waasia wanasema black men most are cheaters na malaya kuliko hata wanaume wazungu na pia wanaume ambao wapo loyal sana na hawacheat ni wanaume wa Asia km Korea, China...
  12. JamiiForums Tanzania Nyerere alianzisha CCM akawapisha wengine

    Nyerere aliianzisha CCM. Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia. Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha Mapinduzi. Sasa sioni Mbowe anatoa tatizo gani kuacha uongozi wa Chama kama ikibidi. Kwa hiyo lolote...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Nimesoma kisa cha patrickk na bado nafuatilia wakati tukiendelea kumsubiria naomba nami nishare na nyinyi historia ya maisha yangu kwa ufupi. nia visa humu ni kujifunza, kushauriana na kutiana moyo. Karibu. Kwa jina naitwa Lisa (sio jina halisi) natokea katika mmoja wa mikoa ya kanda ya ziwa...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Mwenyekiti Taifa na wagombea wengine mpaka muda huu Mbowe anaongoza kwa 81.5%

    Heshima sana wanajamvi. Baada ya tathimini ya hali ya juu kutoka kanda 8 Mhemiwa Mbowe anaongoza 81.5% huku mshindani wake mkuu Mheshimiwa Lissu akiambulia 17.3% Wajumbe wengi wameonyesha msimamo wa kumuunga Mwenyekiti mkono kwa wivu mkubwa. Ngongo kwasasa Mikocheni.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wanasiasa wengine wana mengi ya kujifunza kutoka wa Dosa Azizi

    Nimeona mh Mbowe akitaja fadhila ambazo amemfadhili mh Tundu Lissu tangu walipokutana mwaka 1995 na kuamua kushirikiana naye katika harakati za kisiasa nchini. Wahenga wanasema, "tenda wema uende zako" na sio kusubiri fadhila. Mwl Nyerere aliwahi kupewa nyumba ya kuishi na marehemu Dosa Azizi...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kitabu gani ambacho ulishakisoma na unatamani watu wengine wangekisoma pia, (recommend hapo chini).

    Wasalaam... Ni marufuku kuongea juu ya jambo lolote kabla ya kufikiri ila pia fikra haziji kwenye kichwa kisicho na maarifa juu ya jambo au mambo yazungumzwayo. Kwahiyo ili mtu apate uwezo mzuri wa kufikiri zaidi ni lazima ajiongezee maarifa ya hapa na pale ndani ya kichwa chake na njia moja...
  17. JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye Maisha usikabali shida zako kuwapa wengine na za wengine kuzibeba bila sababu ya msingi

    Mimi nikiwa na shida sipendagi shida zangu ziwe kero kwa mwengine nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu kutafuta suluhu ya matatizo yangu , kadhalika huwa sipendi shida za mtu mwengine ziwe kero kwangu maana na mimi kama binadamu ninashida zangu Waswahili sera za ujamaa zimewaharibu sana huwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mbowe ni Mhaini kama wahaini Wengine tu

    Tumesikia toka kwa wanachama wa CHADEMA kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo. Tunauliza, Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha? Kama hana leseni, tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Garatwa: Emmanuel Ntobi, Henry Kileo, Boni Yai, Martin Maranja, Yericko Nyerere ni Vijana wanaomuunga mkono Mbowe kwa sababu ya Bia na Konyagi tu.

    Na; Garatwa Francis Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola yao walikokificha kwa manufaa yao. Wengine wanawaza zaidi kuhusu tumbo zao na wengine wanawaza kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ