wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkubwa atabaki mkubwa, Yanga alishacheza fainali shirikisho, Siku zote Yanga anaanza wengine wanafuatia.

    Siku zote mkubwa ni mkubwa tu, Yanga alicheza fainali ya haya mashindano wala hapakuwa na kelele, Ila sasa kelele zimekuwa nyingi kila kona! Shida inaweza kuwa ugeni, ushamba au nini wakuu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utalaumu sana wengine kwa kushindwa kwako ila tabia yako pia kuna namna inakukwamisha

    Tabia ni sumaku inayovuta mambo yanayoendana na tabia yako ilivyo, kuna matukio unayapata wewe kwa sababu tabia yako inayavutia hivyo ili yasije basi kubadili tabia kuna kuhusu. Unaweza kubadili mazingira mpaka marafiki ila matokeo yakawa yale yale hapo fikiria sana tabia yako Unaweza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na wapenda haki wengine.

    Wakati umefika tuache UNAFIKI. Ebu fikiri, Tundu Lissu alipigwa risasi kwa sababu tu alikuwa anatetea haki. Leo yupo mahabusu kwa kubambikwa kesi ya uhaini kwa sababu tu ya kutetea Haki. Ikiwa Tundu Lissu alimwaga damu yake kwa kutetea Haki, kwa nini sisi tunaogopa kujitoa sadaka damu zetu...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi, Uhamiaji na Wanausalama wengine Tizameni hili kwa jicho la Tai

    Mimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF. Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupongeza Watu walioinua Wengine

    Ni jambo bora sana kuwapa maua yao watu waliowainua wengine iwe nikwakujua au kutokujua. Wale waliotazamwa kama njia kwa wengine, wale walio washika wwngine mkono wakafanikiwa . Kazi kwenu wakipita waone umuhimu wao naanza na wachache 1. Mkubwa Fela 2. Naseeb Abdul Diamond 3. Ruge Mutahaba 4...
  6. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUTUMIA SHUHUDA ZA WATEJA (SOCIAL PROOF) ILI KUVUTA WATEJA WENGINE ZAIDI

    JINSI YA KUTUMIA SHUHUDA ZA WATEJA (SOCIAL PROOF) ILI KUVUTA WATEJA WENGINE ZAIDI Zinagtia ya 8 Watu hawaamini tu kuwaambia unachofanya Wanaamini ushuhuda kutoka kwa watu uliofanya nao kazi, waliokwishatumia huduma bidhaa zako Shuhuda ni muhimu sana kwenye kutafuta wateja 1. Weka Shuhuda...
  7. JamiiForums Tanzania Andiko Hili Huthibitisha kwamba Watu hujua Mambo ya Mbele (Spiritual Foresighting)/ ClairVoyance, Wengine Huyasema Na Wengine Huchagua Kuyaweka Siri

    Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia.. Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020.. Ambao Ulikuwa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe na kwa viumbe wengine?

    Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk?? Huu ujinga umepitwa na wakati ukifa ndiyo mwisho wa dunia kwa viumbe wote wa Mwenyezi Mungu tangu uumbaji wa ulimwengu huu...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa niaba ya mabaharia wengine hapa bongo ningependa kumpongeza huyu bibie

    Sio mtu unakuwa mpiga vizinga tu muda wote hadi hela ya kununua stick za meno unaomba 😁😁, muda mwingine mnafunguka dada zetu.
  10. JamiiForums Tanzania Kuna wengine ni Manabii hapa duniani hata kama kwa Wivu na Chuki za Kibinadamu kamwe hamtowakubali

    Haji Manara pole sana ila kwa Tabia zako ambazo hata Nduguzo wanazichukia nilijua tu hutodumu kamwe na Zaylisa. Halafu naona kila kona Watu wanampongeza Mange Kimambi wakati GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums miezi kadhaa iliyopita na hata juzi kati (Threads zipo JamiiForums) nilisema kuwa Haji...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini walimu ni watu wa kulalamika sana utafikiri wao ndio wenye ukata pekee yao au kuzidi wengine

    Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini, Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
  12. JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa za ki-communist zimeishapitwa na wakati, mahusiano yetu na uchina yawe na mipaka kama vile yeye anavyowawekea wengine mipaka.

    Sawa tuna njaa, sawa hatuwezi linga diplomatically kwa maana hatuna kitu. Ila nakuambia hivii njaa itatoka tumboni na kwenda akilini pale utakapogundua anaeshirikiana na wewe kukutoa katika tabu kuanza kulala na mke wako na kunajisi watoto wako kisa tu anakusaidia kuishinda njaa. min -me LOTH...
  14. JamiiForums Tanzania Ilikujuwaje Waafrika wakakubali uovu wa wengine kiasi cha kufanyiana uovu?

    Waovu, kwa mujibu wa vitabu vyao, walifanya uovu hadi wakashushiwa dini. Waliuana sana. Rejea Sodoma na Gomora, vita vya upanga, vita ya dunia, na mengine mengi na madhambi mengine. Sina ushahidi popote ambapo Waafrika walitenda haya mbali na vita ndogo ndogo. Je ilikuwaje Waafrika wakawaamini...
  15. JamiiForums Tanzania Dear Atheists, this thread’s for you — Everyone else, keep scrolling!

    Hello Atheists! I want to begin with respect—genuine respect for your intelligence, your questions, and your skepticism. I know many of you value logic over emotion, evidence over tradition. I do too. That’s why I want to talk about three men who were once exactly where you might be today...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hata CCM wengine wapo mle sababu ya njaa lakini ukweli wanauona kuwa CCM imeshindwa kukidhi matarajio ya wengi

    1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC 2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM 3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI! 4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA...
  17. JamiiForums Tanzania Yafahamu makundi ya wahamiaji Marekani wenye mafanikio makubwa sana wengine hata zaidi ya Wamarekani wazungu

    Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma: 1. Wahindi wa Amerika • Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi) • Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi • Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kama watu walitokana na Adam na Hawa, je viumbe wengine walitokana na nani?

    Hapa napo Waafrika wameshindwa kabisa kujiongeza kabisa ili kufahamu ukweli wa chanzo au asili ya MTU. HILI swali jibu lake huwa ni simple sana kama watu,kuku,miti,samaki,mbwa,simba,nk wapo na kila mmoja ana maajabu yake inamaana kuna nguvu iliyosababisha wawepo ambayo ni MUNGU. Tatizo watu...
  19. JamiiForums Tanzania wengine mnawezaje kula milo yote mitatu?

    Ugonile, Ni muda sasa napitia hali ambayo binafsi sifikiri kama iko sawa. Napata tabu sana kula milo yote mitatu, ni either niskip mlo mmoja au miwili ndo nile mwingine sababu ya kukosa appetite ya kula. Mfano saivi nina njaa ya kufa mtu ila kila nikifikiria kitu cha kula naishiwa pozi...
  20. JamiiForums Tanzania Nini kinafanya taxi kuwa na bei juu kuliko wasafirishaji wenzao wengine kama bolt bajaji

    Kwa maeneo mengi ada yao ni mara 2 au 3 ya wenzao wengine kwa mfano ukiwa dar town centa unaenda ubungo utalipishwa elfu 20 hadi 30 au upo eapoti pale dodoma ukachukua taxi ikuzungushe ikakuache pale chakonichako yaani upande wa pili wa apoapo uwanjani utalipa elfu 30 wkt ukichukua bolt kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…