wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wazazi wetu walikataa kujihusisha na siasa. Tusilalamike wazazi wa wengine waliowanasiasa wakiwateua watoto wao.

    Sina Deni! Mtoto wa Mtibeli ni Mtibeli. Mtoto wa Kiongozi ni Kiongozi. Mtoto wa Mkulima ni Mkulima. Mtoto wa Nyoka ni Nyoka! Hutaki kujihusisha na siasa, alafu unataka mtoto wako ateuliwe kwenye nafasi za kisiasa. Zinakutosha kweli? Uwezekano wa mtoto wako kuteuliwa nafasi za uongozi ni Finyu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Maria Sarungi, wahuni walitaka wakurubuni eti uje kumzika baba yako, usingelirudi duniani, ungepotea kama Mdude, Soka et al na wengine

    Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima . Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wengine wa kijeshi wa Iran wameuwawa na IDF

    Hawa wa Israel ni changamoto sana.
  4. JamiiForums Tanzania Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

    Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
  5. JamiiForums Tanzania Siyo kila anayekuja Kukuangalia Wodini Hospitalini ukiwa Hoi / Mahututi anakupenda kwani wengine hutaka Upone ili Wao waje Kukumalizia kabisa

    Nadhani wote hapa tumeelewana kabisa na kama haujauelewa huu Uzi wa GENTAMYCINE mtafute Genius akufafanulie.
  6. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

    Tumemkosea nini Mungu sisi!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tufungulieni mtandao wetu pendwa wa X wengine tunafaida nao.

    Viongozi wenye mamlaka serikalini eleweni si wote tunafata maudhui ya ngono huko X,bali huko tunapata kuhabarika,kujifunza mambo mbalimbahi muhimu kama makala za afya,elimu,tarifa nk.Kwa upande wangu mi sijawahi kuona hayo mnayosema maudhui ya ngono msemayo.Sasa kuufunga ni kututendea kwa chuki...
  8. JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yashinikiza Mangungu kujiuzulu, Yakana kuwatambua viongozi wengine walioiwakilisha katika mazungumzo Ikulu

    Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Demokrasia sio ruhusa ya kutukana wengine, kama Uhuru ni kutukanana tungeutafuta wa nini?

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi. Amesema lengo la uhuru ni...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: Mitano Tena" ni kwa Samia, wengine watasubiria mchujo

    My Take Safi sana Wasira unajua sana kuwakera 😂😂👇👇 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, leo Juni 11, akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma, ametumia jukwaa hilo kuwakumbusha wanachama wa CCM nchini kuwa kwa sasa mgombea...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndivyo Mary Chatanda anavyowazuia wengine wasigombee ubunge Mkuranga akisema Ulega ni chaguo la chama

    Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili. Mbaya zaidi katika hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Nilitembea shule moja ya sekondari. Walimu wengine wanajiona wa maana kuliko wenzao.

    Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba. Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa watu. Wanamuuliza maswali, ukiona wapi somo la hesabu likawekwa mwisho, akaja mwingine wa English...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mzee wa upako: Wakionewa watu wengine mnakaa kimya, hayatuhusu, leo mmeguswa unalalamika

    Wakiguswa wengine mnakaa kimya hayawahusu. Leo ni kwako nadhani utajifunza kitu hapa chini: Martin Luther King Jr. > Quotes > Quotable Quote (?) “Injustice anywhere is a threat to justice everywhere. We are caught in an inescapable network of mutuality, tied in a single garment of destiny...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Askofu Gwajima, John Heche na wanasiasa wengine

    HUU UZI SIO WAKUUNGANISHWA, UNAJITEGEMEA. 1. muwe makini sana na matamshi yeyote mnayofanya popote, na hii ni kwa watanzania wote wanaowasemea wengine, watu wabaya wakikosa cha kukushitaki, huwa wanajua with time utajikwaa tu kama sio kwenye sheria za cyber, basi kwenye matamshi yako kwa sababu...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  16. JamiiForums Tanzania Shukuru Mungu Kwa Maisha Uliyonayo Wengine Hawana Kabisa Pa Kuanzia, Tujifunze Kusaidiana

    Jana majira ya saa tano usiku wakati najiandaa kucheki muvi, nikapatwa na msukumo wa kutoka nyumbani na kwenda kuzurura mitaani. Huwa ninafanya hivi mara kwa mara ila msukumo wa jana ulikuwa mkubwa. Nilipotoka ndani, kwanza nikakutana na kibaridi kinapiga, nilitaka kusitisha safari ila nikasema...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Museveni awaomba rasmi msamaha Waganda. Bado nyie CCM!

    Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao. Rai yangu kwa CCM...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna tetesi kuwa CCM na magenge yao yanatafuta njia kuzibiti habari na video za gwajima na wengine wasisambaze.

    Wametafuta mpaka ma IT wao uchwara wajaribu ku hack account ya gwaji boy youtube na lengine wamekataza chombo chochote kisitoe habari za yaliyo ongelewa. Usijeshangaa hapa JF mkafutiwa nyuzi zenu ambazo zinahusu habari ya gwaji kuweka wazi na zikabaki za kumziaki.
  19. JamiiForums Tanzania Silaha kuu ya Wapalestina na waarabu dhidi ya Israel ni UONGO!!!!!!

    Waarabu Wanaendelea kufanya Maigizo Wanaonyesha video au taswira ya mtoto MMOJA aliye na ugonjwa wa Genetic ambao kwa kawaida huenea kwa watu walio na uzao wa uzazi mmoja au uko mmoja kama vile Cystic Fibrosis, na wanasema "ana njaa kwa sababu ya Wayahudi" kuzuia chakula huko Gaza wakati siyo...
  20. JamiiForums Tanzania CHAUMMA hata ikipata viti viwili maalum vya Ubunge vitakuwa vya Mke wa Mwalimu na Kigaila akina mama wengine pambaneni Kwa tahadhari

    Yale ya COVID 19 kule CHADEMA ni ngumu kutokujirudia huko CHAUMMA, Wanawake mnakwenda CHAUMMA Kwa malengo ya viti maalum fanyeni hivyo Kwa tahadhari Sehemu sahihi ni CCM tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…