wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Asee hii hantavirus baada ya wiki itapita na wengi

    Huu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi. Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar. Asee tumekwisha. Niko zangu hapa Ghetto natetemeka balaa isingekuwa msaada wa sigara na ba sijui ingekuwaje yani napanic balaa...
  2. L

    Mdau wa Maendeleo ataka umri wa mkopo uongezwe hadi miaka 40 ili wengi wanufaike

    Mjadala kuhusu mikopo ya vijana inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Vijana umeendelea kushika kasi, huku wadau wakitoa maoni yanayolenga kuboresha ufanisi na upatikanaji wa fursa hizo. Moja ya hoja kuu ni mapitio ya vigezo vinavyotumika kuwafikia wanufaika. Akizungumzia mjadala huo, Vian...
  3. U

    Kitu kimoja kikubwa sana ambacho Kinafanya watanzania wengi kuupenda uongozi wa Rais Samia

    Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza Kwa list fupi: 1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni 2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote 3. Kupunguza uhasama –...
  4. S

    Kamwe usikubali kuhatarisha maisha ya mtoto kwa kumpandisha bodaboda, wengi hawajielewi

    Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule. Yani wewe unaenda kugombania daladala halafu dogo under 5 unarisk maisha yake. Mbaya zaidi boda kavaa mkoti mkubwa...
  5. Watu hudhania kila mzee ni wa kuomba ushauri na guidance, wengi wao wanaweza kuchefuka na hatua kubwa uliyopiga ambayo wao katika umri huo hawakugusa

    Roho mbaya ikizeeka haikauki. Anaweza tu kukuona umewazidi maendeleo watoto wake haina budi kukuelekeza shimoni.
  6. Huu ndio Utabiri unaosubiriwa kutimia na walio wengi

    Kuna watu watafungwa kuna watu watanyongwa kuna watu wataenda jela (polepole September 14 Jumatatu saa 3 usiku na dakika 20) Dalili zunaonesha muda sio mrefu hili litatimia kuanzia kwenye kelele za tume kua wahusika waadhiwe kwa haki na sio kutolewa kafara ukizingatia kesi ya ICC muda sio mrefu...
  7. Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

    Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
  8. Wanaume Wengi Waliokuwa Watumishi Wakistaafu Wanakufa Mapema Kwa sababu Wanakutana na Ghasia za Mke ambazo alizokwepa akiwa kazini

    My Take Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine. Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
  9. Asante Mungu kwa kutuonyesha "ukihiyo" wa Othman Chande, wengi hatukumjua kabla

    Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo. Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka tulikuwa tunamjua, kwa kweli wote ni wale wale. Ripoti aliyotoa na anayoitetea ni kinyume kabisa cha...
  10. M

    Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  11. U

    Hebu acha ushamba wa kusema eti 𝗦𝗵𝗲 𝗵𝗮𝘀 𝗮 𝗱𝗼𝗰𝘁𝗼𝗿𝗮𝘁𝗲 𝗱𝗲𝗴𝗿𝗲𝗲 𝗶𝗻 𝗹𝗮𝘄 Sema SHE has a doctorate in Law!

    Watanzania bwana maneno mengi lakini lugha ya kiingereza ni mtihani mkubwa sana kwenu ! Kwa taarifa yako Ukishasema ana 𝗱𝗼𝗰𝘁𝗼𝗿𝗮𝘁𝗲 basi maana yake tayari anayo elimu ya juu kabisa ya kiwango cha shahada ya tatu yaani (PhD!) Acheni ujuaji
  12. Bila kuwa na Boda Boda, tungekuwa na majambazi wengi

    Tanzania tumshukuru mchina bilakuwa na boda boda tungekuwa na majambazi wengi , kuna sura unakutananayo unaona kabisa hii bila boda boda Ingetoa roho za watu , vijana wengi wamejishikiza kwenye boda boda
  13. M

    Rafiki zangu wengi niliosoma nao primary na O level wapo vizuri kimaisha. Mimi sijatoboa kwa kweli pamoja na kupambana

    Wadau leo niko very stressed. Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena. Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu. Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula. Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...
  14. Watu wengi hawanielewi ninaposema nina malengo ya kugombania urais mwaka 2035

    NOTE Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo yao imenyooka ila kwa nchi kama Tanzania ambayo mifumo yake sio mizuri maandalizi binafsi ni muhimu...
  15. Mimi nakubali walikufa 500 siku je ni wachache hama wengi? Je waliuwa ili waingie ikulu? Au walikuwa wanazuia watu batili wasiingie ikulu?

    Hahahahahhhhhh hicho ni kilio sio kicheko, je walikufa ni wachache au wengi? Nauliza je walikuwa wanawapinga wakina naninwasiingie ikulu?je uliepinga uliua 500 watu wajiskiaje?
  16. UZUSHI Yoweri Museveni Afrika ina wajinga wengi sana

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii huhusani Facebook likiwa na nukuu ambayo inatoa ijumbe kutoka kwa raisi wa Uganda yoweri museven amesema kuwa afrika ina wajinga wengi sana. Katika chapisho hilo ambalo limewekwa kwenye mitandao ya kijamii lina nukuu ya ujumbe...
  17. M

    Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  18. X

    Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

    Mabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema. Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
  19. M

    Iran imetufunza jambo kama taifa

    Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
  20. A

    Hivi kwanini miaka ya hivi karibuni Wanawake wengi wanajifungua kwa kisu (oparesheni)?

    Napenda kupata uelewa zaidi kutoka kwa Wananchi na wadau husika wa sekta hii... Kwanini kipindi hiki idadi kubwa ya wamama wanajifungua kwa kisu (oparesheni) yaani katika Asilimia 100, kati yao 40% wanajifungua salama (bila kisu) na 60% au zaidi hujifungua kwa kisu. Hiyo ni tofauti na miaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…