Je unapata muda wa kujikagua kimwili? Huwa unaangazia maeneo gani?
Rangi?
Uzito
Wepesi?
Afya ya ngozi?
Nywele?
Meno
Moyo
Via vya uzazi?
Kiroho je? Unapata nafasi ya kujichunguza?
Afya ya akili
Kinga za kiroho
Utimamu wa fikra
Uthabiti wa nafsi
Utulivu wa roho
Nina hakika wengi hawana huo muda...
Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana.
Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
Baada ya October 29 kwa kweli watu hawana tena mzuka na mpira. Nipo kwenye group lina watu 237 si jana, juzi wala leo watu hawajapost habari za mpira. Ni muda sasa hizi teams zinacheza hakuna mvuto wala heka heka.
Hii ni ishara kuwa watanzania sasa wamekua na kukataa kutumika. Wamegundua kuwa...
Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika.
Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300.
kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
Kibamba wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi
Licha ya Serikali kukiri kuwa Tanzania si masikini wa vyanzo vya maji, bado kero ya maji imeendelea kukithiri hasa kwa miji mikubwa kama Dar es Salaam.
Kero hiyo imedhihirika tena mwisho mwa mwaka 2025, kwa jiji la Dar es Salaam kukumbwa...
Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa.
Mpo mpo tu kama machizi kulikuwa na haja gani ya kutoa rushwa, kukodi majambazi kuuwa watanzania ili mpate madaraka sasa nini cha maana mlicho ambulia ? mpo kama makichaa...
Lengo si kuwahamasisha watoto waishie darasa la saba, la hasha kabisa. Lengo ni kuwaonesha wazazi uhalisia wa mambo; kwamba ajira wanazozitamani kwa watoto wao ni chache sana na si kila mtu atapata nafasi hizo.
Hivyo ni muhimu kumuandaa mtoto katika mazingira yatakayompa ujuzi mbalimbali ili...
Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima ila chalii.
Anarudi nyumbani hali inazidi kuwa mbaya, anapigwa minyororo kama mbwa, mama...
Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau mbalimbali kujitolea kujenga bweni jipya litakaloongeza uwezo wa shule hiyo kupokea wanafunzi wengi zaidi...
Nimetuliza kichwa na kufuatilia mijadala kila kona hasa hapa bongo,naona kuna kundi la asilimia fulani humlaumu kocha kwa kitendo cha kutaka/kutoa timu uwanjani.
Ila kwa utafiti wangu kidogo nimegundua wengi waliweka mikeka na kumpa mwarabu,hivyo baada ya mazonge ya mchezo basi wao shutuma zao...
Habarini,
Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye...
Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao.
Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, uchumi na biashara wala mada pana.
Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo.
Halafu...
Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita
Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo
Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt.
Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
Kabla ya kuanza tuangalie nini maana ya Ignorant ni mtu anayekosa ujuzi, taarifa, uelewa au ufahamu kuhusu jambo fulani — hasa pale ambapo jambo hilo linatarajiwa kwa kawaida liwe linafhamika au mtu awe na maarifa juu ya mambo hayo. Ignorant kwa Kiswahili tunaweza kusema Mtu asiye na maarifa...
JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA YAENDELEE..............
NILIKUWAGA NAONA NI UONEVU WA URUSI , KUMBE MADAI YAKE YALIKUWA NA MASHIKO ......
OIL...
"Kujibrand", "Kulinda brand" ni mambo yanayowaumiza wasanii wengi kimyakimya na baadae kuja kuumbuka vibaya mambo yanapowazidia. Wasanii wengi wanadhani "Branding" ni kuishi maisha feki ya kitapeli ili uonekane wa thamani huku ukiteketea ndani kwa ndani. Mkubwa Fella kwa sasa anaomba michango ya...
Hili suala huwa silielewi kabisa. Unakuta chawa ni muislamu safi, au mkristo safi na wanamheshimu Mungu sana, hata ukisoma comments zao utaona wakiwa wanaongea kuhusu Mungu huwa wanaongea kinyenyekevu sana
Lakini sielewi ndio mstari wa mbele kushabikia mauaji ya October 29 na kudai waliouawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.