Ndugu zangu sipo hapa kupiga siasa au kuchochea chuki, bali ni kuleta ndoto yangu niliyoota usiku wa kuamkia leo
Nimeota gari la askari limepata ajali, wakafariki askari wengi sana. Basi watu walioshuhudia ajali ile wakaanza kushangilia kwa kuruka ruka. Wanaonekana kufurahia ile ajali na vile...