wazo

  1. Tech Max

    Naomba wazo la biashara la mtaji wa 15m hapa mkoa wa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji wa 15m hapa mkoa wa dar es salaam
  2. A

    KERO Kiwanda cha kutengeneza matofali katika Mtaa wa Mkanada, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni kinatupigia kelele sana

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Mkanada, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni. Kwa muda sasa, tumekuwa tukikabiliwa na kero kubwa ya kelele zinazotokana na kiwanda cha kutengeneza matofali kilichopo katika eneo letu, hali inayotunyima utulivu na kuathiri maisha yetu ya kila siku. Mashine zinazotumika...
  3. Alexido jz instagram

    WAZO LA PAUL MAKONDA KUIFANYA ARUSHA KUWA DUBAI LINAWEZEKANA?, NDIO KAMA TUTAIUNGANISHA NA NAIROBI,

    TUanze na miundo mbinu, si rafiki sana, mfano soko la kilombero njia muhimu kwenda kwenye vivutio panatoa harufu sana na ni kero ya miaka mingi. Soko kuu arusha bondeni tangu enzi za mrisho gambo liliwekwa tangazo la ujenzi wa soko la kisasa lakini kimya. Changamoto za kibiashara kati ya arusha...
  4. Tech Max

    Naomba wazo la biashara la mtaji wa 10m hapa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
  5. Tech Max

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
  6. Mzee Mwanakijiji

    Angalizo kesi ya Tundu Lissu: Mahakama Kuu isifanye kazi ya CCM

    Na. M. M. Mwanakijiji Chama cha Mapinduzi kiko katika matatizo makubwa sana. Chama hiki kinachounda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado kinaishi kwa fikra za kushika hatamu. Katika fikra hizi chama hiki hakikubali kuwa kiko kwenye matatizo makubwa. Tatizo lake kubwa ni jinsi gani...
  7. Mlinzi Shujaa_

    Wazo la kuanzisha ngao combat

    Mwaka 2019 katika mkoa wa dar es salaam tanzania, kulikua na matukio mengi sana ya panya rodi kuvamia watu mitaani na majumbani, kupiga watu mapanga ya kichwani, mikononi na kupora mali zao kama vile simu, pesa, na vito vya thamani na wengine hadi viatu na nguo walikuwa wanavuliwa. watu wengine...
  8. Gunner11

    Wazo la leo: Elfu 20 ya mwanaume ni bora kuliko billion ya Mwanamke

    Mkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke. Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke. Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion. Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke...
  9. plock

    WAZO LA KUPUNGUZA AJALI ZA OVERTAKING

    Ninashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja. Dereva anapowasha indicator ili ku overtake, kifaa kitambue kama kuna gari linalokuja kutoka upande wa pili, kwa mfano...
  10. Mathias Byabato

    Wazo: Kuthibiti ajali magari kugongana,tutumie 2+1

    Ndugu wanabodi. Nimefikiria mbinu inayoweza punguza sana ajali za magari kugongana hasa katika Barbara zetu kuu. Hapa chini ni mapendekezo ambayo nafikiri yakitumiwa na Tanroad,Serikali kuu na polisi kuna uwezekano mkubwa kupunguza hizi ajali. Mfumo wa 2+1 ni nini. Mfumo wa 2+1 Road System...
  11. Kaka yake shetani

    Swali:Fikra uzaa wazo au wazo uzaa fikra ?.

    Swali ili ni sawa na kuku na yai nani wa kwanza. Ukitafuta maana zake: Fikra ni mchakato wa akili wa kutafakari, kuchambua na kuunganisha mambo. Wazo ni kitu kinachojitokeza kutokana na mchakato huo—mfano suluhisho au mpango fulani. Je ni fikra au wazo kati ya hizi
  12. Kaka yake shetani

    Wazo lako linaweza kuwa Mwanzo wa Mafanikio ya Mtu mwingine

    Hoja kubwa si kwamba “usimwamini mtu yeyote,” bali ni kwamba wazo pekee halitoshi kulinda thamani yake. Mwanadamu anaweza kuona wazo la mwingine, kuliboresha, kulitekeleza haraka, kupata mtaji, au kulipeleka kwenye soko kabla mwenye wazo hajafanya hivyo. Kuna kosa ambalo watu wengi wenye...
  13. nzalendo

    Nimepata wazo la kulima

    Sehemu flani hivi chaka kimtindo, Kando ya kimfareji flani ambacho hakikauki mwaka mzima, Naenda kupiga kambi nitaishi hapo hapo Nitalima tu mboga mboga twa fasta kama mchicha na spinachi mixer bamia na pili pili. Pia nitaweka tu migomba na tu papai,,,nitatia sungura na tu kuku twa...
  14. Bishweko

    Siku CHADEMA tukichukua nchi nini tutafanya kwa taifa letu?

    Mara nyingi wananchi hasa watanzania wamekuwa na hamu sana kusikia au kujulishwa kuwa CHADEMA tukichukua nchi na kuunda serikali kama chama tawala nini tutafanya kwenye hili taifa. Kwanza kabisa wananchi watanzania watanufaika na uhuru wao na haki za binadamu. Kila mtanzania atakuwa huru kutoa...
  15. stephenga

    Wazo la Project ya Kusaidia Watoto wa Shule Mabegi

    Nina wazo la kuanzisha project ndogo ya kusaidia watoto wa shule za msingi wanaotoka mazingira magumu kupata begi la shule lenye vifaa muhimu vya kujifunzia ndani yake—kama madaftari, vitabu, kalamu, mkebe n.k. Kwa sasa nataka kuanza kama initiative yangu binafsi, mimi na washikaji wachache...
  16. Burn the bridge _Tz

    Wazo langu la kuoa MWANAMKE bikra bado lipo pale pale

    Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya ub***o wa mwanaume mwingine.. Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye amewahi kukaa Dog style kwa wanaume wengine Never Uvumilivu huo sina
  17. Gunner11

    Mafanikio Halisi: Watu au Vitu?

    Swali: mbona watu husahau umuhimu wa watu na kuvipa vitu umuhimu mpaka waafikiapo mwisho wa safari? Watu wengi wakifika mwisho wa maisha hasa wazee.. Huwa na tabia flani hivi za kuthamini sana upendo... Wengi wao huwa kama watoto tena... Yaani the ego looses control and the pure human nature...
  18. Joshua Mbezi

    Nataman Uongozi Wa Hili Jukwaa Mfanyie Kazi Wazo Hili;

    Kwa miaka kadhaa tangu nijiunge na Jukwaa hili sijawahi kukutana na mtu kwenye jamii yangu anayetumia Jukwaa hili Kiufupi hawajuhi kama Tanzania tuna social media yetu inayofanya kazi kama zilivyo Instagram au Facebook Sasa kwanini uongozi usianzishe mchakato wa kupeleka Jukwaa hili kwa...
  19. Pendaelli

    Kwa nini serikali haipati wazo la kuanzisha miji mipya ya kimkakati ya maendeleo jumuishi?

    wazo hili limenijia baada ya safari yangu ya kusini mwa tanzanina kuona uwanda mkubwa usio na makazi ya watu wala hifadhi, ni pori kubwa maelfu ya heka yasio tumika kwa namna yoyote. Wazo lika nijia, kama kipindi kile cha mwalimu nyerere kulianzishwa vijiji na mashamba ya ujamaa kwa nini sasa...
  20. Fene

    Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na Kitengo cha Kitaifa cha Kupokea Changamoto za Wananchi

    Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na App Moja ya Kitaifa ya Kuripoti Changamoto za Wananchi Teknolojia imebadilisha namna serikali nyingi duniani zinavyowahudumia wananchi. Nchi kama Indonesia imefanikiwa kupitia mfumo wa SP4N-LAPOR!, ambapo mwananchi anaweza kuripoti changamoto yoyote na...
Back
Top Bottom