waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Prof. Kitila Mkumbo - Tukiongeza Ufanisi Tutafaidika Zaidi na Bandari Zetu

    WAZIRI PROF. KITILA MKUMBO - TUKIONGEZA UFANISI TUTAFAIDIKA ZAIDI NA BANDARI ZETU "Wenzetu wamepeleka sumu nyingi kwa watu na hawataki tuiondoe, tulikuwa tunawaangalia wakadhani CCM haipo, CCM ipo, serikali ipo na watu wake tupo tutafanya kazi hii (ya kutoa elimu kuhusu uwekezaji wa bandari)...
  2. Waziri Jenista Mhagama akabidhi vifaa vya TEHAMA, Michezo, Afya na Elimu

    Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. JENISTA J. MHAGAMA Amefanya Ziara Katika Kata ya Kilagano Kijiji cha Mgazini na Kijiji cha Kilagano. Katika Ziara hiyo Mhe. Jenista Mhagama ameambatana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya...
  3. M

    SoC03 Barua Ya wazi kwake Waziri wa Uwekezaji Kitila Mkumbo

    Tanzania na Uwekezaji Barua ya wazi kwa Mhe Kitila Mkumbo, Waziri wa Ofisi ya Rais Uwekezaji na Mipango Mhe Kitila, Hongera kwa uteuzi wako kuongoza Wizara hii muhimu. Umepata ubatizo wa moto na sio mafuta kufuatia “ishu” ya uwekezaji kwenye Bandari na Seikali ya Dubai. Nionavyo malumbano...
  4. Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

    Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo. Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu "Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu. Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka...
  5. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari. Mbarawa: Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango...
  6. R

    FARAGHA: Waziri amwagiza Mganga Mkuu wa Serikali kufuatilia suala la Taarifa Binafsi za Mgonjwa kuanikwa Mtandaoni

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe. Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
  7. Ummy: Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya Mifupa MOI ambapo lilianza kutekelezwa zaidi ya...
  8. S

    Waziri Mhagama awataka wananchi jimbo la Peramiho kumshukuru Rais Samia

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WANANCHI JIMBO LA PERAMIHO KUMSHUKURU RAIS DKT SAMIA. NA STEPHANO MANGO, SONGEA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Joakim Mhagama ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Peramiho ya kukagua miradi...
  9. L

    Namshauri Ummy Mwalimu Waziri wa Afya kutengua Kauli ya kuruhusu Clinic binafsi katika hospitali za umma

    Ndugu zangu watanzania, Muda mfupi nimetoka kumsikiliza Waziri wa Afya mh Ummy mwalimu kiongozi mchapa kazi na ambaye siku zote na wakati wote amefanya kazi kubwa Sana na ya kutukuka katika kila Wizara aliyopelekwa na kuaminiwa . Kauli ya Waziri inatoa ruhusa kwa madaktari kuwa na private...
  10. Waziri Ummy: Wawajibisheni Watumishi ila msiwapeleke Mahabusu

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya nchini kutoona haya kuwawajibisha watumishi wa afya wanapokwenda kinyume na muongozo wa utumishi wa kada hiyo. Agizo hilo amelitoa leo Jumatatu Julai 10, 2023 wakati wa ziara yake ya kukagua utoaji wa huduma za afya na upatikanaji...
  11. Naibu Waziri Katambi - Serikali Itaendelea Kulinda Maslahi ya Vijana

    NAIBU WAZIRI MHE. KATAMBI - SERIKALI ITAENDELEA KULINDA MASLAHI YA VIJANA Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inawajali vijana na itaendelea kulinda...
  12. Waziri Mhagama Akabidhi Vitendea Kazi Kwa Watendaji wa CCM Peramiho

    WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI VITENDEA KAZI KWA WATENDAJI WA CHAMA (CCM) PERAMIHO Watendaji wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Peramiho wamehimizwa Kuendelea kushirikiana katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi na kuhakikisha Miradi ya maendeleo inafanikiwa na kutoa huduma sawa sawa kwa...
  13. Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

    Nukuu: Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact. Mwambukusi.
  14. Waziri wa Ulinzi Asema JKT Inatekeleza Maagizo ya Rais Samia

    WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kuienga Taifa (JKT) kesho, amesema IKT itaendelea kutekeleza, agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuibua na kutambua vipaji vya vijana na kuviendeleza. Bashungwa aliyasema hayo jana...
  15. Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo. == Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
  16. Tuliokuwa tukimsilibia Waziri Nchemba atumbuliwe na Rais leo hii tunajisikiaje akiendelea Kuaminiwa na kuwa Waziri wa Fedha tu?

    Leo ndiyo nimeamini Wanadamu wanaweza Kukuchukia kwa kila namna na hata Kukuombea Ufe kabisa au Maisha yako yawe Magumu kama yao ( waliyonayo ) ila Mwenyezi Mungu na Malaika wake wakisema HAPANA basi jua ni HAPANA Kweli. Mwenye ule Wimbo niupendao ( jina nimesahau ) wa Zablon Singers aniwekee...
  17. Serikali imefuta Tozo Kwa muamala ya kutuma na sio miamala ya kutoa kama wanavyojinasibu

    Napenda kuwataarifu kuwa Tozo zilizofutwa ni Kwa miamala ya kutuma pesa pekee Mfano umeweka pesa kwa Wakala na umahitaji kufanya transfer kwa nature ya maumala huo Hauna Tozo Ila ukienda Kwa Wakala au Benki kutoa pesa utakatwa Tozo Mfano nimeambatisha makato ya mtu anaetoa 70k Kwa Wakala...
  18. Waziri wa Mambo ya Ndani ashauri Bunge kuruhusu matumizi ya Mirungi, adai haujawahi kuua mtu

    Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo. Waziri huyo amesema, sidhani kama Mirungi ni hatari zaidi kuliko Kahawa na Pombe. Kwa hivyo mabibi na mabwana, naona bora tuiondoe...
  19. J

    Waziri Kairuki afanya ziara ya kikazi Tanga

    WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TANGA WAZIRI wa Nchi,@ortamisemitz Mhe. Angellah Kairuki leo tarehe 06 Julai 2023 amewasili Wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo. Mhe.Kairuki atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Elimu na Afya. Pia...
  20. Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

    Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu. Pia soma > Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…