waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mwanafunzi yatima aliyedahiliwa kusomea Udaktari UDOM kukosa mkopo wa elimu ya juu

    Inakuwaje mwanafunzi yatima anayesoma shahada ya Udaktari katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akose mkopo wa elimu ya juu licha ya kuwa na uhitaji wa msaada huo? Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa mwanafunzi huyo amepata nafasi ya kusoma kozi ya Udaktari, hana mzazi hata mmoja, lakini amekosa...
  2. B

    HOTUBA NZITO YA LISSU, AMVAA WAZIRI BASHE, ATAKA AJUZULU KWA MAZITO YA MPINA, USHAHIDI WATOLEWA

    https://youtu.be/8e1UBU81_gc?si=-Nj3kkMhZEImuesj
  3. Wizara ya Ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi Mjini alipopewa nafasi ya kuwasalimia wakati wa ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania , Mhe. Deogratius Ndejembi...
  4. H

    TANROADS ikamilishe usanifu na maandalizi ya kitaalamu ya barabara za kipaumbele Msalala, Ushetu na Kishapu - Waziri Mkuu Dkt. Nchemba

    TANROADS ikamilishe usanifu na maandalizi ya kitaalamu ya barabara za kipaumbele Msalala, Ushetu na Kishapu. Serikali itakapoanza kupokea miradi mipya, maandalizi ya barabara hizi yawe yamekamilika. Kipaumbele chetu ni barabara zinazofungua maeneo ya uzalishaji. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶...
  5. H

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 🗓️ Novemba 11, 2026 📍 Segese...
  6. F

    Ukame na kuadimika Kwa maji nchini kumeongezeka sana alipoingia Waziri Aweso, tatizo ni Nini?

    Hellow! Ndugu aweso, unapeleka wapi maji? Kuna Maeneo ambayo hayakuwahi kuwa na shida ya maji, lakini Leo tatizo ni Kila mahali. Tueleze tujue njia unayotumia kukausha vyanzo vya maji ili wananchi tuhangaike, Maji yangekuwa ni twiga wa Serengeti, tungesema yanasafirishwa nje ya nchi, Sasa...
  7. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  8. Crocodiletooth

    Naomba kuifahamu cv ya waziri wetu wa afya!

    Mwenye nayo aitupie hapa lengo ni kufahamu kwa nia iliyo njema elimu za viongozi wetu,ili nasi tuige na tufanikiwe. INSHAALLAH.
  9. F

    Hili la kuzuia adhabu ya viboko mashuleni ni kinyume cha katiba, Waziri wa elimu ajiuzulu haraka

    Katiba ya nchi inatambua uwepo wa Mungu Na Kwa kuwa Mungu ameamrisha katika Katba yake( NENO) kuwa fimbo itumike Kwa mtoto ili kumuepusha na ujinga uliofungwa ndani yake na kumuepusha na shimo la mauti na ndio sababu zilitungwa kanuni kuruhusu fimbo mashuleni. Sasa hili la kufutwa adhabu...
  10. Pdidy

    Waziri husika nakuomba kuchunguza makampuni ya China ya afya kutoa huduma bila wataalamu wenye sifa

    WAZIRI HUSIKA AOMBWA KUCHUNGUZA MAKAMPUNI YA AFYA YANAYODAIWA KUTOA HUDUMA BILA WATAALAMU WENYE SIFA Kwa heshima na taadhima, Mheshimiwa Waziri husika, naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Kwa sasa, kuna makampuni mengi ya afya yaliyojitokeza katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam...
  11. Dronephonex

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin. Polisi wamdaka na kutoa maelezo haya…

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin,polisi wamdaka nakutoa maelezo haya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetangaza kumkamata kijana aitwaye Kelvin Daniel, mwenye umri wa miaka 26, kwa tuhuma za kumrekodi mwanafunzi wakiwa faragha na kusambaza picha...
  12. Ntemi_Ntale

    Wakuu Ni Sahihi Waziri Mkuu Kuomba Kibao cha Kumsindikiza Baada ya Kuhutubia Wananchi?

  13. Sifi Leo

    Je ni aibu waziri mkuu kuambiwa na mwananchi" waziri mkuu mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini?

    Kuna clip inatembea mtandaoni mwananchi anamwambia waziri Mkuu" Mh waziri Mkuu Mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini " je ni aibu?je waziri Mkuu anaweza kumwambia rais hiyo kauli? Je rais aliipokea kauli hiyo? Tanzania.
  14. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Iraq Ali al-Zaidi awaonya wanamgambo wanaosaidiwa na Iran

    Waziri Mkuu wa Iraq Ali al-Zaidi aliwaambia viongozi wa Mfumo wa Uratibu wa Washia kwamba alikuwa amepitia sehemu za mpango wa kijeshi wa Marekani uliovuja uliowasilishwa kwa Rais Donald Trump ambao ulielezea matukio 3 yanayowezekana, ikiwa ni pamoja na uvamizi wa ardhini wa Marekani kusini mwa...
  15. figganigga

    Bila uwajibikaji ajali haziishi. Leo wamekufa Waziri yupo anacheza draft

    Tanzania bila viongozi kuwajibika ajali haziishi. Leo Iringa wamekufa Watu 20.. Hakuna kiongozi anayejali japo kutoa pole Samia Suluhu alitoa pole kwa Mtu mmoja alokufa huko Zimbabwe sijui Chivayo, Watanzania zaidi ya 20 wanakufa hatoi pole.. Anapamba kuona Mtanganyika Lissu anafunyongwa...
  16. H

    𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔 - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔 Uongozi unaowajibika kwa Wananchi wake. Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpatia namba ya simu mwananchi wake kwa ajili ya kuwasiliana naye.
  17. 100 others

    Eisenkot Anakwenda Kuwa Waziri Mkuu Wa Israel.

    Israel imepoteza ushawishi mkubwa duniani kote, kiasi kwamba hata Wayahudi wa Marekani wanapinga serikali hiyo ya Kizayuni. Hatua za wanasiasa wa Israel za kufanya mauaji ya kikatili pale Gaza, imepelekea Wayahudi wengi kuchukiwa na kutukanwa na hata kupigwa huko Ulaya na Marekani, kwani sasa...
  18. A

    KERO Waziri wa Mikopo UDSM ni changamoto sanaa

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao. Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
  19. N

    Vp kama gari za Mawaziri, Naibu Waziri na RC zingepunguziwa herufi na kuongezewa "Three digits"??!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Tuna Wizara 27. Tuna mikoa 31. (1) Naibu Waziri - NW 01, NW 02 mpaka mwisho NW 27. (Regional Commissioner) RC 01, RC 02 mpaka mwisho RC 31. Mimi kwa Akili Zangu hizi hizi Ndogo sijaona umuhimu wa kuwa na NW OR UBB ilhali ingeweza tu kuwa NW 27 au NW 19. NB...
  20. H

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba aahirisha bunge

    Leo nimewasilisha hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Tano wa Bunge la 13, jijini Dodoma, nikisisitiza uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma na utekelezaji wa maazimio ya Bunge. Fedha za umma ni kodi za wananchi. Chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tutaendelea...
Back
Top Bottom