waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    PreGE2025 Waziri Bashe ni tishio kwa wasaka Urais 2030

    Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua kwenye mitandao ya kijamii. Unapoona Kigogo anamchafua Bashe ujue ni sehemu ya mkakati huo...
  2. Waziri ana nafasi ya kujua mambo mengi, wanayosema wanakuwa wameshauriwa na wataalamu wengi. Hawasemi tu kwa kuropoka

    Kwanini unchallenge mtu wa rais? Mnaoponda Waziri wa Rais maana yake hapo una mchallenge Rais na Rais hapingwi. Ukimdharau mtu pengine awe na madhaifu ndio tumpelekee Rais ili akae na watu wake. Washauri wake mtaandika mengi ila Waziri hata kama angekuwa na elimu ndogo ana washauri wake...
  3. Waziri Nape: Huduma ya Internet imerejea kwa 94%

    Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo irejee kwa 100% "Kazi Inaendelea vizuri. Mpaka mchana wa leo Tarehe 15/5/2024, Huduma za Internet...
  4. N

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mh.Waziri Mkuu awali ya yote nakupa pongezi na shukrani Kwa kulipambania taifa letu kwenye pilika za kuleta maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na uwezo wa kuendelea kulipambania taifa letu Ili lisonge mbele. Mh. Waziri mkuu nakuja kwako naleta Malalamiko yangu Kwa niaba ya wenzangu tuliokuwa...
  5. Leo ukipewa nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira utafanya nini kuongeza Ajira nchini?

    Mara nyingi tumekuwa tukishauri viongozi vitu vya kufaya ili kusaidia maboresho katika Wizara na Serikali kwa ujumla. Sasa leo ukipewa wewe nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi na Ajira, utafanya nini cha tofauti ili kusaidia kuongeza Ajira katika nchi yako?
  6. PreGE2025 Rais Samia amepunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI - Waziri Ummy

    Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka. Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa kwenye jambo hili , naomba Aliyeelewa anieleweshe Natanguliza Shukrani
  7. L

    PreGE2025 Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa ashiriki Tulia Marathon Mkoani Mbeya, watu wamiminika na kufurika kwa wingi

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka chini ya udhamini wa Tulia Trust iliyo chini ya Mheshimiwa Speaker wa bunge la jamuhuri ya muungano wa...
  8. U

    Mfahamu Waziri wa michezo wa nchi ya Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju

    Wadau hamjamboni nyote? Mfahamu Waziri wa michezo Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju Aurore Mimosa Munyangaju (born as Aurore Mimosa), is a Rwandan businesswoman and politician who serves as Minister of Sports since 5 November 2019. Mimosa holds a certificate in dealing simulation, awarded by...
  9. Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

    Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine. ======================== Muslim refugees heading...
  10. J

    Wizara ya Maji yaidhinishiwa na Bunge la Tanzania jumla ya Bajeti ya Shilingi 627,778,338,000

    WIZARA YA MAJI KUANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA GRIDI YA TAIFA YA MAJI - WAZIRI AWESO Waziri wa Maji Nchini Mhe. Jumaa Aweso amesema Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mkakati wa Gridi ya Taifa ya...
  11. J

    Waziri Aweso: Ndani ya miaka 3 ya Rais Samia huduma ya maji safi na salama imeimarika vijijini na mijini

    NDANI YA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA IMEIMARIKA VIJIJINI NA MIJINI - WAZIRI AWESO Asema Vijijini huduma imeimarika kutoka wastani wa 77% Desemba 2022 hadi 79.6 Desemba, 2023 Mijini kutoka wastani wa 88% Desemba, 2022 hadi 90% Desemba, 2023 Waziri wa Maji Nchini Mhe...
  12. Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Kesho, Panapitika: Waziri Bashungwa

    MAWASILIANO YA BARABARA DAR - LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi - Dar es Salaam ambapo tayari eneo la somanga limeanza kupitika na...
  13. Waziri wa Ujenzi atoa maelekezo mawasiliano Barabara ya Dar - Lindi yarejee ndani ya Saa 72

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na...
  14. LUKU za Maji zinakuja lini jamani ili haya mabili ya kubambikiziana yaishe?

    Naomba nikikumbukushe Mhe. Waziri Mama Samia alituhidi Mita za Maji na akasema hataki tena kusikia mambo ya kubambikiziana bili ya yule peleka huku ya huyu weka kule zife Kiukweli inasikitisha inatia aibu hasa Dar es Salaam ongezeko la mabili linaendelea kama kawaida ..unit wanazokupa...
  15. Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao

    Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao
  16. Balozi wa Marekani nchini Tanzania asema anafurahishwa na washiriki wa Stories of Change kwa uandishi wao

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day) kwa Mwaka 2024 yanayohitimishwa leo Mei 3, 2024. Maadhimisho hayo yanayofanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre yanngozwa na...
  17. Hongera Dr Gwajima (Mb) waziri wa jinsia kwa kutatua kero kupitia mitandao usichoke tafadhali

    Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia. Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
  18. Waziri Mkuu Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopata ujenzi wa Miradi ya Umwagiliaji, kuhakikisha wanaitekeleza kwa weledi na ubora

    WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu. Majaliwa Ameyasema hayo Jana katika hafla ya utiaji...
  19. SoC04 Kodi Zinazowezesha Maendeleo (Taxes for Progress); maoni kwa Waziri wa Fedha

    Mheshimiwa Waziri wa Fedha, Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati mbaya, wawekezaji wa kigeni wanahofia kuja kuwekeza hapa nchini kutokana na kodi nyingi na ngumu...
  20. Waziri wa Mambo ya Ndani: Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia wakati wa Uchaguzi Mkuu 2024 na 2025

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema katika uchaguzi ujao ukiwemo wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia ili kuhakikisha unakuwa uchaguzi wa Huru na Haki huku Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura akisema wako tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…