waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri mkuu Mwigulu Nchemba tuangalie mustakabali wa vijana wetu

    ▪︎ Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana ▪︎ Ashawishi matumizi ya Kiswahili kwenye mikutano ya jukwaa hilo▪︎ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Afrika kwa umoja wao waangalie mustakabali wa vijana wa bara hilo kwa vile wana uwezo mkubwa licha ya...
  2. Huyu Waziri alikuwaga mtata sana....!

    Waziri wa sasa atakayethubutu kufanya hivi leo, atatekwa na kufunguliwa kesi ya UHAINI!
  3. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Urusi na Afrika

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi. Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana...
  4. HOJA Bomoabomoa ya majengo Nzega na Tabora mjini haiana afya kwa Serikali. Waziri mwenye dhamana jiandae kutumbuliwa

    Tumeona waziri mwenye dhamana masanja kadogosa kaagiza TANROAD kubomoa majengo ambayo yamepita kwenye reserve ya barabara hasa maeneo ya mjini ambapo watu wanajitafutia kipato. Ni kweli watu walikosea kujenga katika maeneo hayo kwa sasa umewapa siku saba wabomoe wenyewe na wasipofanya hivo...
  5. Waziri Homera atangaza Ugunduzi wa Gesi Asilia Wa Futi Za Ujazo Bilioni 223

    Waziri wa Nishati, Dkt. Juma Zuberi Homera, ametangaza rasmi ugunduzi mpya wa gesi asilia wenye kiasi cha futi za ujazo bilioni 223 katika Kitalu cha Mnazi Bay, mkoani Mtwara, kufuatia uchimbaji wa kisima cha utafiti cha Kasa-1X ST2. Ugunduzi huo umefanywa na Shirika la Maendeleo ya Petroli...
  6. Kwa nini Wayahudi watamchagua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu?

    Hizi ni baadhi tu ya sababu zinazonifanya nimchague Benjamin Netanyahu: 1. Alirejesha mateka wote. 2. Alimwangamiza Nasrallah. 3. Alimwangamiza Yahya Sinwar. 4. Alimwangamiza Ismail Haniyeh. 5. Alimwangamiza Mohammed Deif. 6. Alivunja muundo wa uongozi wa Hamas na Ali waangamizwa maelfu ya...
  7. A

    KERO Waziri alisema mgao uishe; miezi 10 baadaye Kinondo bado inapewa maji kwa zamu

    Mimi ni mkazi wa Kinondo, Mabwepande. Katika eneo langu tumekaribia kutimiza wiki mbili bila maji. Kinachoumiza zaidi ni kwamba bado tunasubiri zamu, halafu hata zamu ikifika baadhi yetu hatupati huduma. DAWASA itueleze: mgao huu una mwisho lini, na maji yatafika lini kwa wale ambao zamu zao...
  8. Waziri Masauni ashiriki mkutano wa mawaziri wa Mazingira wa Afrika nchini Armenia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) ameshiriki Mkutano wa Mawaziri kutoka Barani Afrika waliokutana kujadili msimamo wa Afrika na vipaumbele vyake ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa 17 wa Nchi...
  9. H

    Waziri Kombo na Aweso wakijipanga kabla ya mkutano wa 4 Biennale ya Luanda

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Maji Jumaa Hamidu Aweso mapema leo jijini Luanda, Angola wakijiandaa na kujipanga kushiriki Mkutano wa 4 la Biennale ya Luanda—Jukwaa la Afrika kuhusu Utamaduni wa Amani...
  10. waziri mkuu Mwigulu Nchemba arejea nchini akitokea marekani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la...
  11. Anaandika Juma Aweso, Waziri wa Maji

    Tunawaomba wananchi kutumia maeneo rasmi ya huduma ya maji kuepusha Taharuki. "Nimefatilia zaidi swala la upatikanaji wa Maji Kijiji cha Iponda baada ya taarifa zilizowekwa mtandaoni kwa kutuma timu ya wataalamu wafike haraka na kunipa taarifa sahihi; lengo kuu ni kujiridhisha na kuwa na...
  12. Waziri Dkt. Dorothy Gwajima,Umri wa wale watoto ushafika hata wakikataa shule utawafanya nini.

    Kuna mda mwengine hata katiba na sheria za hapa tanzania zinapitiwa juu kwa juu. Nimeona ile video wakijitamba wale watoto wengine mambo ya kubeti,wengine kuingia rasmi na mambo kudanga. Ukiangalia kisheria wale washafikisha umri wa 18. Na umri ule anauwezo wa kuoa,kuolewa,kufanya kazi na...
  13. H

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa kilimo barani Afrika katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des...
  14. H

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya - Waziri Mkuu Nchemba

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya chakula. Na zaidi ya yote, tuwekeze katika uwezo wa kilimo barani Afrika. Kwa kweli, kabla ya njaa haijatushinda, tuchukue hatua, tuwekeze na tuvumbue pamoja. Tujenge...
  15. Waziri Mkuu: Usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inauchukulia usalama wa chakula kuwa sehemu muhimu ya usalama wa taifa na msingi wa kudumisha uthabiti wa uchumi. Amesema upatikanaji wa chakula na lishe ya uhakika una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi na kuiwezesha Serikali...
  16. Watanzania Wanawadai EL Nino, Viongozi wa Dini Wadai Walifunga na Kuomba El Nino Isije na TMA wanasema El Nino ilianza mwezi wa 5. Tushike la Nani?

    My Take Tushike lipi? https://www.instagram.com/reel/DevpsREotHp/?psln=ZXdlbzlocTFxODEy Kutoka Kwa TMA wao wanasema El Nino ilishaanza Toka mwezi wa 5. https://www.instagram.com/reel/DexIUhdsYeW/?obrf=MWhuZXZzbGpiY2NodA== My Take 2 Watanzania ndio watu pekee Duniani wanaoombea wapate majanga...
  17. Mtwara: Waziri wa Afya Mchengerwa anazindua Bima ya Afya kesho. UVCCM hawataki niende kumsikiliza. Wananitishia

    Wakuu, Kesho Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bima ya Afya kwa Wote, Awamu ya Pili. Hapa nilipo nipo njiani naelekea Mtwara. Lakini nipo chonjo sana. Hawa UVCCM hawataki nihudhurie kisa niliandika habari ya wao kula Rushwa. Wanadai...
  18. A

    KERO Responded Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka

    Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli? Hadi hivi leo maji hatuna tunateseka sana wengine kazi zimesimama tumefunga ofisi zetu sababu ya maji, nipo maeneo ya...
  19. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Elimu, Profesa wa Ukweli, Prof. Adolf Mkenda.

    Wanabodi, Niko usawa wa Maktaba Kuu jijini DSM, kuwaletea live mubashara, Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Hii ni live streaming ya PPR https://www.youtube.com/live/by_M-S5y2nQ?si=unvr7AjYMYBjHUyW TBC pia wako live https://www.youtube.com/live/82WSK_aP0gA?si=sHuGGozGjH9KJ6OM Karibuni...
  20. Waziri Makonda umekataa kutupa hela waandishi wa mtandaoni kwani sisi sio Content Creators?

    WAZIRI MAKONDA UMEKATAA KUTUPA HELA WAANDISHI WA MTANDAONI KWANI SISI SIO CONTENT CREATORS? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Juzi tulionana pale kwenye Final ya Pongwe Cup, Upanga, ukiwa kama Mgeni Rasmi. Sikupata nafasi ya kukujulisha hili kutokana na hali iliyokuwepo. Hii ni mara ya pili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…