Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
WAZIRI HUSIKA AOMBWA KUCHUNGUZA MAKAMPUNI YA AFYA YANAYODAIWA KUTOA HUDUMA BILA WATAALAMU WENYE SIFA
Kwa heshima na taadhima, Mheshimiwa Waziri husika, naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi.
Kwa sasa, kuna makampuni mengi ya afya yaliyojitokeza katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam...
Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin,polisi wamdaka nakutoa maelezo haya
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetangaza kumkamata kijana aitwaye Kelvin Daniel, mwenye umri wa miaka 26, kwa tuhuma za kumrekodi mwanafunzi wakiwa faragha na kusambaza picha...
Kuna clip inatembea mtandaoni mwananchi anamwambia waziri Mkuu" Mh waziri Mkuu Mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini " je ni aibu?je waziri Mkuu anaweza kumwambia rais hiyo kauli?
Je rais aliipokea kauli hiyo?
Tanzania.
Waziri Mkuu wa Iraq Ali al-Zaidi aliwaambia viongozi wa Mfumo wa Uratibu wa Washia kwamba alikuwa amepitia sehemu za mpango wa kijeshi wa Marekani uliovuja uliowasilishwa kwa Rais Donald Trump ambao ulielezea matukio 3 yanayowezekana, ikiwa ni pamoja na uvamizi wa ardhini wa Marekani kusini mwa...
Tanzania bila viongozi kuwajibika ajali haziishi.
Leo Iringa wamekufa Watu 20.. Hakuna kiongozi anayejali japo kutoa pole
Samia Suluhu alitoa pole kwa Mtu mmoja alokufa huko Zimbabwe sijui Chivayo, Watanzania zaidi ya 20 wanakufa hatoi pole.. Anapamba kuona Mtanganyika Lissu anafunyongwa...
๐๐๐จ๐๐จ๐ ๐ก๐๐ ๐๐ ๐ฌ๐๐ก๐๐จ ๐ก๐๐ง๐๐๐จ๐ฃ๐๐๐๐
Uongozi unaowajibika kwa Wananchi wake.
Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpatia namba ya simu mwananchi wake kwa ajili ya kuwasiliana naye.
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
picha
unaowajibika
uongozi
wake
wananchi
waziriwaziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
๐ง๐ฒ๐ต๐ฎ๐บ๐ฎ ๐๐ต๐ถ๐ป๐ฎ
Israel imepoteza ushawishi mkubwa duniani kote, kiasi kwamba hata Wayahudi wa Marekani wanapinga serikali hiyo ya Kizayuni.
Hatua za wanasiasa wa Israel za kufanya mauaji ya kikatili pale Gaza, imepelekea Wayahudi wengi kuchukiwa na kutukanwa na hata kupigwa huko Ulaya na Marekani, kwani sasa...
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao.
Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
Anonymous (f160)
Thread
changamoto
daruso
kuomba
kuomba rushwa
loan
loan officer
mikopo
rushwa
serikali
udsm
viongozi
wanafunzi
waziri
wizara
zao
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Tuna Wizara 27. Tuna mikoa 31.
(1) Naibu Waziri - NW 01, NW 02 mpaka mwisho NW 27.
(Regional Commissioner) RC 01, RC 02 mpaka mwisho RC 31.
Mimi kwa Akili Zangu hizi hizi Ndogo sijaona umuhimu wa kuwa na NW OR UBB ilhali ingeweza tu kuwa NW 27 au NW 19.
NB...
Leo nimewasilisha hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Tano wa Bunge la 13, jijini Dodoma, nikisisitiza uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma na utekelezaji wa maazimio ya Bunge.
Fedha za umma ni kodi za wananchi. Chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tutaendelea...
Tunakoelekea waziri Mkuu na Makamu watatumwa mpaka kwenye vibao kata, ili hali sio shughuli za kiserikali.
Ila sishangai maana Kizimkazi festival, huwa inasababisha watumishi wa umma wote kufunga ofisi za umma na kwenda kukata viuno kule Zanzibar Kizimkazi ili mama afurahie mauno ya watumishi...
Baada ya uhuru ilikuwa hivyo. Anaandika hivi Nyerere katika kitabu TANU na raia mwaka 1962.
"Nimetaja Mawaziri kama mfano tu. Lakini maneno haya yanawahusu Waafrika wote wenye hali nzuri. Leo Permanent Secretary Mwafrika mshahara wake ni Shs. 4,000/- kwa mwezi. Hatujali Permanent Secretary...
Waziri wa wizara ya vijana, pole Kaka vijana wa mjini wamekuingiza chaka.
Waziri wa kilimo Bashiru wewe umepigwa chenga la mwili linaitwa mwana ukome na utakomeshwa.
Ila vijana wa umoja wa vijana ccm Mungu anawaona kwa ili tunawashukuru
==
"kuna zaidi ya bilioni 120.48 zimetolewa kwa mwaka...
Wizara ya Elimu nchini Kenya imethibitisha vifo vya wanafunzi watatu waliokuwa wamejiandikisha kufanya mtihani wa kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) mwaka 2026, huku wawili wakifariki kutokana na maradhi na mwingine akidaiwa kuuawa nyumbani kwao.
Katika taarifa iliyotolewa Jumatano, Novemba 4...
Agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mwezi Oktoba 2026, mkoani Shinyanga, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Msalala, wilayani Kahama, limeanza kutekelezwa baada ya vifaa na mitambo ya ujenzi kuanza kurejeshwa katika maeneo ya miradi husika, hatua inayolenga kuhakikisha...
Kiutendaji ,Waziri wa habari, utamaduni,Sanaa na michezo ndiye anayesimamia na kushauri vyombo vya habari kuripoti habari zenye kuleta tumaini ndani ya nchi ,kukemea vyombo vya habari vinavyoripoti habari zenye kutonesha vidonda vya waliouwawa Oct 29 pia ni majukumu yake kama Waziri husika...
Hili swalanla wasiojulikana kujiamulia watakavyo linalotuumiza vichwa, ni jambo dogo sana ikiwa Waziri Ridhwani Kikwete akiamulia kulivalia njuga.
Awamu ya pili ya mzee Mwinyi marehemu, Aliinuka Mtu mmoja tokea kule Kilimanjaro aliitwa Lyatonga Mrema, alikuwa akitamka Neno, ndani ya masaa...
Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrika
bara
kutokana
mkubwa
mkuu
muhimu
mustakabali
mwigulu
mwigulu nchemba
pamoja
uwezo
vijana
waziriwaziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba