waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Rasmi: Rishi Sunak Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza

    Rishi Sunak, (42) ameshinda Kura za Uongozi wa Chama cha Conservative na atakuwa Mhindu wa kwanza na Mtu wa kwanza ‘wa rangi’ kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak anakuwa Kiongozi mwenye Umri Mdogo zaidi kushika Wadhifa huo kwa zaidi ya Miaka 200 na Waziri Mkuu wa 3 wa Nchi hiyo Ndani ya Miezi...
  2. Huyu hapa anayetazamiwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza mwenye Asili ya Asia

    Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980. Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960. Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa...
  3. Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji na Mkurugenzi wa DAWASA

    Wananchi wa Dar es salaam tumechoka na migao ya maji Ndugu Waziri na Ndugu Mkurugenzi wa DAWASA Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, maeneo ya Mlalakuwa. Napenda nikutaarifu kuwa, sasa katika maeneo yetu na mengine ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na hali mbaya sana ya upatikanaji wa maji ya...
  4. J

    Waziri Bashungwa ahimiza utunzaji wa uoto wa asili na misitu

    WAZIRI BASHUNGWA AHIMIZA UTUNZAJI WA UOTO WA ASILI NA MISITU. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Watanzania kutunza uoto wa asili na misitu iliyopo nchini na kujenga tabia na msukumo binafsi wa kupanda miti. Ametoa wito huo Oktoba 22, 2022...
  5. Waziri wa Maji Juma Aweso fika wilaya ya Moshi ( Mwika) watu watumia maji ya RUWASA wanaharisha , mamia wamelazwa

    Hali ya wananchi wilaya ya Moshi , eneo la mwika mamia ya watu wamepatwa na ugonjwa wa hatari wa kuharisha na kutaapika baada ya kutumia maji ya RUWASA. Kilio hili kimemfikia mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ila hakuhangaika na wananchi Bali amekimbilia kusimamia moto mlima Kilimanjaro. Wagonjwa ni...
  6. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe zuieni uuzwaji wa chakula nje ya nchi, mfumuko wa bei unatisha!

    Mkuu Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje! Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/=...
  7. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Pindi Chana atembelea onesho la kimataifa la utalii la Swahili

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ametembelea Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili lililoanza leo jijini Dar es Salaam akiwa ameambatana na Naibu Waziri wake ,Mhe. Mary Masanja(Mb). Lengo kuu la Onesho hilo ni kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini...
  8. Waziri Makamba: Kila nyumba itakuwa na mtungi wa gesi

    Serikali imesema ina mikakati ya kuhakikisha kila nyumba inakuwa na mtungi wa gesi ya kupikia na kuandaa mifumo mbalimbali kupitia uvumbuzi wa kibiashara ikiwemo kutumia teknolojia ya kupima gesi kidogo kidogo. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Oktoba 21, 2022 na Waziri wa Nishati, January Makamba...
  9. Waziri balozi Dkt. Pindi Chana akutana na wakuu wa Taasisi za Utalii na Maliasili

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana, Jijini Dodoma, amekutana na Menenjinenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi za Uhifadhi za Wizara ya Maliasili na Utalii kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Uhifadhi na uendelezaji wa Utalii nchini.
  10. Huku mambo kero, Waziri wa Kilimo pitia hapa

    Mheshimiwa waziri wa kilimo salam, Mimi ni mkulima wa hali ya chini tu lakini kwakweli kumekuwa na kero kubwa ktk maeneo kadha kwenye vituo vya kupata mbolea kwa bei ya ruzuku. Mtu unaenda leo kutwa inaisha kwajili ya kuandikisha details halafu siku inayofuata unasimama foleni toka asubuhi...
  11. K

    Je, ungeshauri nini kwa Waziri Mkuu wa Uingereza anayekuja?

    Wana JF kwa kipindi kifupi sana ( Chini ya miezi 3) tutashuhudia kiti cha waziri mku kuongoza nchi ya Wingereza-UK kimekuwa kaa la moto. Wawili tayari wamejiudhuru ( Borison na jana ameng'oka Liz Truss ) na next week anachaguliwa waziri mku mwingine wote kutoka chama tawala cha Conservative...
  12. Z

    Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Nchi yetu imefikia hatua sera ya nchi inaweza kutungwa ili kutatua matatizo ya familia ya waziri. Inasadikiwa Mungai alikuwa na watoto walioshindwa Sayansi ya sekondari, akaamua kuyaunganisha masomo. Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilipigwa shinikizo kwa mwaka mmoja kuwapa mikopo wanafunzi...
  13. P

    Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022 Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na...
  14. Uingereza: Waziri mwingine mwenye asili ya Afrika ajiuzulu huku Serikali ikionesha dalili za kuelekea kuanguka

    Suella Braveman ambae alikuwa akiongoza wizara ya mambo ya ndani amejiuzulu leo jioni baada ya kukiuka kanuni za usalama wa habari mitandaoni kwa kutumia anuani binafsi ya barua pepe badala ya anuani maalum ya serikali. Waziri huyo anadaiwa kutumia anuani binafsi kutuma taarifa nyeti katika...
  15. Imekaaje Waziri Mkuu kumkaripia Daktari kwa ujenzi hafifu wa Hospitali?

    Kwanza nitangulie kusema kuwa sina chuki waka hila na mh. Waziri Mkuu Majaliwa. Waziri mkuu ndiye msimamizi wa shughuli ZOTE za kiserikali nchini. Hata hivyo hili nililolisikia kwenye vyombo vya habari ndiyo vinaelezea ukakasi wa siasa tunazojiwekea zisivyoendana na kanuni na utaratibu wa...
  16. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tusaidie huyu kigogo wa CCM Kilosa anatuonea wananchi

    MIWA YA KIKUNDI CHETU IMECHOMWA MOTO KABLA YA MUDA WA KUVUMWA NAKUTUSABISHIA HASARA YA MAMILIONI YA SHILINGI. Huyu ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Kilosa. Ukweli ni kwamba yupo hapo kwenye uongozi siyo kwa nia ya kusaidia wananchi anaowaongoza bali ni kwa ajili ya kujilinda...
  17. J

    Waziri Kairuki: Bilioni 9.45 zitapelekwa Kasulu kupendezesha mji

    BILIONI 9.45 ZITAPELEKWA KASULU KUPENDEZESHA MJI: WAZIRI KAIRUKI OR -TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki amesema Serikali kupitia miradi ya kupendezesha miji (TACTIC), itapeleka shilingi bilioni 9.45 katika bajeti ya mwaka wa fedha...
  18. Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka kwa Moshi wa Kupikia

    Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani. Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto...
  19. Waziri wa Fedha wa Uingereza Bwana Kwasi Kwarteng amepigwa chini rasmi baada ya kuitumikia nafasi ya uwaziri kwa siku 38 tu

    Bwana Kwasi Kwarteng ameondolewa akiwa mkutanoni Washington, Marekani.
  20. Raisi wa ufaransa hatofautiana na waziri wake wa ulinzi kuhusu Ukraine

    Kauli zao zatofautiana kuhusu Ukraine ikishambuliwa kwa nuclear UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments The French leader should not have revealed his hand to Russia, Ben Wallace says UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments UK defense secretary Ben Wallace ©...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…