waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Nahisi wapo watu wana ugomvi na Waziri Mkuu wetu mchapa kazi hodari

    Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara na threads nyingi zimekuwa zikimtakia au kumuombea mabaya Waziri wetu Mkuu mchapa kazi hodari mzalendo wa kweli asiyependa uzembe utokee popote, amekuwa akipigwa Vita na vya kimtandao wa kumuombea mabaya yamfike. Nadhani pengine hili linatokea baada ya...
  2. Historia kuwekwa Tanzania 2025, huenda Waziri Mkuu (Premier) ajaye akawa ni Mwanamke

    Ombi langu Kubwa kwenu kama GENTAMYCINE kwa mnaomuandaa huyo Waziri Mkuu Mwanamke (Mwanamama) ajaye wa mwaka 2025 (ambaye tayari Jina lake nimeshapenyezewa ila kamwe sitothubutu Kulitaja) ni kwamba mlindeni mno ili yale ya Deo na Chopper ya mwaka 2015 yasijirejee tena. Na nasikia huenda hata na...
  3. Hivi Bunge linaweza kukataa kuidhinisha jina la Waziri Mkuu linalopendekezwa na Rais?

    Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata. Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u PM halafu linapelekwa jina lingine, wanaweza kulikataa? Maana wanasema mwenzako akinyolewa wewe...
  4. Ridhiwani Kikwete ni de facto Waziri wa Ardhi? Angelina Mabula de jure? Ridhiwani ajiangalie, maafisa ardhi wanatumia jina lake kumchafua

    Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo. Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule. Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini. Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya...
  5. Waziri wa Afya tusaidie kufuatilia daktari wa Lugalo aliyechangia kifo cha huyu dada

    RIP sis Angel, Jirani, dada, mwanamazoezi mwenzangu leo umelala nyumba yako ya milele. Mh Waziri wa Afya narudia kuwapongeza humu niliwahi kuandika vitendo vya hospitali Kijitonyama juu ya mzee wangu mkafuatilia na wahusika wakakutana na waliyoyatafuta. Leo naja na kisa hiki cha kuhuzunisha...
  6. Putin ajisahau na amuwakia waziri hadharani, jamaa ana msongo sana

    Mzee wa watu keshachanganyikiwa, kama amepagawa vile... For several minutes he accused Denis Manturov of bureaucratic delays in ordering civilian and military planes. "Too long, it is taking too long," said the Russian leader, who has never been one to hold back in criticising top officials in...
  7. Sikuwahi kujua kuwa CCM inamiliki na Migodi

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Sikuwahi kujua kuwa sisiemu inamiliki na Migodi.. Je kuna Migodi mingine ambayo Chama tawala kinamiliki? Na huu Mgodi jina lake unaitwaje? Angalia video hii inayomuonesha waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa akitembelea mgodi wa makaa ya mawe uliopo Mdunduwalo...
  8. Mara: Mkuu wa Mkoa ashangaa Wanafunzi wa Darasa la 7 kutowafahamu Waziri Mkuu na Rais wa Zanzibar

    Kiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo. Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar. Amesema...
  9. R

    Waziri Aweso tusaidie Tanga tupate maji, Tanga Uwasa wanatutesa

    Leo ni siku ya nne hakuna maji kabisa . Mvua zinanyesha na Tanga Uwasa Walikuwa wanasingizia ukame. Sasa mvua zipo za kutosha. Hakuna maji kabisa, siku nne! Tanga Uwasa hawana wa kumwogopa, hawana wa kuwakemea ndiyo maana wanafanya wanavyojua!
  10. Waziri Mwingulu: Miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi

    Waziri Mwingulu ameyasema hayo leo Jumatano Januari 11, 2023 alipokuwa akifungua Kongamano la Kodi Kitaifa jijini Dar es Salaam, akisema tofauti na zamani, sasa miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi.
  11. Ukiondoa Waziri Mkuu, anayefuata kwa kazi nzuri ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

    Sijawahi kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok. Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! Ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
  12. Ukiondoa waziri mkuu anayefuata kwa Kazi nzuri ni Waziri!

    Sijawah kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok. Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
  13. D

    Vishkwambi walivyoahidiwa walimu vimeenda wapi?

    Vishkwambi walivyoahidiwa walimu kupata vimepotelea wapi. Ingekuwa Enzi za JPM:- (1) Vishkwambi vingekuwa vilishasambazwa muda mrefu. (2) Hakuna Kishkwambi hata kimoja ambacho kingekwapuliwa kama ilifanyika sasa.
  14. R

    Ungependa nani ateuliwe kuwa Waziri wa Fedha Tanzania?

    Let assume tunamtafuta mtu wa kumpa nafasi ya Waziri wa fedha; lakini kabla ya kuteua wewe mwananchi ukapewa nafasi yakupendekeza MTU ambaye Una Imani naye. Ungempendekeza Nani? Siyo lazima awe mwanasiasa anaweza akawa hata mtumishi wa umma au mfanyakazi wa private sector. Tutajane hakuna ajuaye.
  15. Waziri Mkenda: Marufuku wanafunzi kurudishwa nyumbani kisa ada

    Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi. Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada? Kazi ipo.
  16. S

    Aliyemrekodi nesi mbishi apandishwe cheo. Rais Magufuli alimpandisha cheo trafiki aliyemrekodi mke wa Waziri Mahiga

    Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire. Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo. Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing...
  17. T

    Waziri wa Fedha, ni wakati muhimu wa kukaa na wafanyabiashara wadogo kabla mambo hayajaharibika zaidi

    Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo. Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje...
  18. Mpango wa waziri Makamba wa kupunguza bei ya petroli kwa 75% na Tanzania kuwa petrol hub umeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki. Mpango ulikuwa kwa kushirikiana na nchi rafiki za OPEC+ kujengwa kwa...
  19. Dharau kubwa, waziri wa CCM anawaza simu za mkopo wakata taifa lina shida ya maji na umeme kila kona

    CcM imejaa tabu na matatizo 👇
  20. Waziri Ummy: Nimeanza kuona uzembe kwa Watumishi wa Afya, Tutawawajibisha

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria vinavyodaiwa kuisha muda wa Matumizi. Ummy amesema “Nimeona clip Mtu anang’ang’ana kumpima Mgonjwa Malaria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…