waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Naona hazina ya kiuongozi kwa Naibu Waziri, Atupele Mwakibete na Steven Byabato, wajibidishe, wawe wachapakazi na wanyenyekevu

    Katika manaibu Waziri ambao nikiwaangalia naona taifa Lina hazina ya uongozi, ni hao vijana wawili, natamani waendelee kupata mentorship ya kiuongozi, wajibidishe kwa wananchi waliowapa kura, hao ndio base yao, na watanzania kwa ujumla. Uongozi wa kitaifa uwalee na kuwapa mafunzo ya aina...
  2. Waziri aagiza dereva wa gari aliyemgomea trafiki anyang'anywe leseni

    Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani. Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na...
  3. Naibu Waziri: Madereva hatarishi wafutiwe leseni za udereva

    Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini ametoa maelekezo hayo kwa Makamanda wa Mikoa kuwafutia na kuwanyang'anya leseni madereva hatarishi ambao wamekuwa hawafuatia na kuzingatia sheria za usalama barabarani licha ya Elimu ya mara kwa mara ambayo imekuwa ikitolewa na Jeshi la Polisi...
  4. B

    Katiba Bora: Waziri kipenzi wa Kenyatta akimbilia mahakama

    Ama kweli Katiba bora ni raha sana. Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kwenye serikali ya Kenyatta amekimbilia mahakamani kujiokoa dhidi ya kukamatwa na polisi: Protect me, former Interior minister Fred Matiang'i tells court Enyi mlioko madarakani tambueni kuwa vyeo ni dhamana na kuna leo na...
  5. Kwanini mvua imnyeshee Waziri Jafo huku mgeni wake akifunikwa na mwamvuli? Ukoloni mamboleo

    Hapa ni Airport wakati waziri Jafo akimpokea mgeni kutoka falme za kiarabu. Waziri kulowa na mvua ruksa ila mgeni hapana? Hii hapana kwangu mimi.
  6. Wavuvi Kanda ya Ziwa wamuonya Waziri Bashe uvuvi haramu

  7. Heko Waziri Ndumbaro kwa kujibu kwa heshima hoja za wabunge

    LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali. Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa wakitoa kauli za dharau bungeni wanajiamini na nini? Mwigulu : Mimi Dokta yangu ni ya darasani sio ya...
  8. Heko Waziri Ndumbaro kwa kujibu kwa heshima hoja za wabunge

    LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali. Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa wakitoa kauli za dharau bungeni wanajiamini na nini? Mwigulu : Mimi Dokta yangu ni ya darasani sio ya...
  9. Wazazi jukumu lenu lisiwe ni kuwasomesha watoto tu, jitaidini kuwatafutia connection. Dunia imebadilika

    Salaam Wakuu. Dunia ya sasa mambo yamebadilika tofauti na miaka ya nyuma , (nasikia) zamani ukisoma hadi level ya degree ilikuwa ni rahisi sana kupata nafasi ya kazi pasina na hata kujuana na mtu katika idara au taasisi fulani.Wazazi wa wakati huo jukumu lao lilikuwa ni moja kuwapeleka watoto...
  10. Baada ya Hayati Magufuli ni Hussen Bashe

    Awamu ya tatu na ya nne tulikuwa na wazir mwenye misimamo mikali kabisa alieitwa John Pombe Joseph Maghufuli, Kwa sasa tuna wazir wa namna hyo hyo anaitwa Hussen Bashe ..... Bashe ni mzalendo , Bashe ni mpambanaji , very young and highly exposed , anayevaa uhusika , mwenye misimamo isiyoyumba...
  11. Waziri Mwigulu Nchemba aache hasira! kujibu maswali ya wabunge ni wajibu sio fadhila

    WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AACHE HASIRA! KUJIBU MASWALI YA WABUNGE NI WAJIBU SIO FADHILA! 1) Ohooo...!! Nadhani hiyo statement ya Dkt. Mwigulu Nchemba ("Daktari wa Uchumi" na Waziri wa Fedha) kuhusu "Honorary Degrees" mbona haijakaa vizuri, hasa ukizingatia hata Rais Samia Suluhu Hassan juzi tu...
  12. Waziri Bashe: Bei za vyakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi 2023

    BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
  13. Wananchi wa Kibaha Vijijini kubomolewa nyumba zao, Mbunge asema anapeleka mashtaka kwa Waziri Mkuu

    Baadhi ya Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini Mkoani Pwani wamelalamika uamuzi wa kubomolewa kwa nyumba zao pasipokuwa na taarifa huku wakidai kutokuwa na tamko rasmi la taarifa kutoka kwenye mamlaka. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamedai zoezi hilo limefanyika Februari 5, 2023 na kutarajiwa...
  14. Ombi: Tunamuomba Rais Mwinyi amuwajibishe waziri wake kabla ya wananchi kumuwajibisha

    Kitendo alichokifanya waziri wako wa kilimo, umwagiliaji, maliasili na mifugo mh Shamata Shaame Khamis sio cha kiungwana na kiutu. Kile ni kitendo cha kinyama ambacho hakutakiwa kumfanyia mtanzania mwenzetu au binadamu mwenzetu kwa sababu yoyote ile. Mtu kaingiza chakula mnafanyia unyama ule...
  15. M

    Je, Waziri Nchemba ni 'Hirizi' ya Awamu ya Rais Samia na kwamba ikitupwa Serikali haitoongoza vyema Tanzania?

    Labda Siku atakayomjibu hovyo Boss wake ambayo naiona haiko mbali ndipo ataondolewa katika Wizara aliyoko ili Watanzania tupumzike na Dharau zake, Kiburi chake na Ushamba wake.
  16. Waziri Masauni, IGP Wambura na Ukimya juu ya mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini

    Wakuu Salam. Mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini hasa mikoa ya Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, ona sasa Mtwara yanastua, yanakera, ni hali ya kutisha, hujui lini na wewe utafikiwa. Imefika mahali jamii inauliza hivi nchi hii sheria hakuna? hata tamko la mkuu wa jeshi la polisi kwa eneo...
  17. Kwako Waziri wa Ardhi Tanzania

    Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nakuandikia hili,ikiwa ni kiulizo&taarifa kuwa; Je,umeshindwa kutatua changamoto ya uporaji Ardhi inayofanywa na mamlaka za Ardhi zilizo chini yako nchini? Mfano; Ichunguze Idara ya Ardhi Manispaa ya Morogoro, Kuna uhuni mwingi unaendelea...
  18. Wizaria ya Elimu na NECTA, Ni muda sasa mtumie weledi wenu vizuri kwenye Elimu yetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika...
  19. Cameroon: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi ahukumiwa miaka 30 jela, mkewe pia jela miaka 10

    Mahakama imemhukumu Edgar Alain Mebe Ngo'o kwa kosa la ubadhirifu takribani Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 93) katika mkataba wa kununua vifaa vya kijeshi kutoka Brazil. Mkewe, Bernadette, pia amekutwa na makosa ya aina hiyo na kuhukumiwa miaka 10 jela, wote wamekana makosa na kuahidi kukata...
  20. Suala la wateuliwa CWT: Jenista Mhagama, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kashindwa kazi

    Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia. Waziri husika hakufanya kazi yake. Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa ngazi ya juu ni lazima utanguliwe na vetting. Vetting hii inafanywa na vyombo tofauti ikiwemo TISS...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…