wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanajisahau sana. Hawajui uswazi ni kawaida watoto kulala chumba kimoja na wazazi sababu ya ugumu wa maisha

    Mshahara wa mhindi sh 150,000 halafu chumba elfu 35 utaweza kupangisha vyumba viwili? Acheni porojo
  2. JamiiForums Tanzania Jaji aonya wazazi kuwatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo

    Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Jaji Paul Ngwembe amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wanaowatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo mahakamani. Jaji Ngwembe amesema hayo wakati akitoa elimu ya msingi ya sheria kwa wananchi mkoani Morogoro wanaofika katika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi. 2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wawezesheni walimu kiuchumi

    Walimu wetu wanatumia mda mwingi Sana kutuandalia kesho ya watoto wetu, vipato vyao havitoshi kumudu mahitaji yao. Viongozi wa dini wanalishwa na waumini wao lengo kuu Ili wasiwaze watakula nini. Maana huwezi mtumikia Mungu na mali yaani uhudumie kiroho huku ukafanye vibarua Ili familia iishi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini sana katika kuchagua vyuo hasa vya NACTE kuwapeleka watoto wenu

    Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. . Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wazazi wamuua mtoto wao ili wapate utajiri

    Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri. Tukio limetokea katika...
  7. JamiiForums Tanzania Wazazi pangeni muwe na muda na watoto wenu - Archbishop Jude Thaddaeus Ruwa'ichi

    Usipomsikiliza wewe watakuja waharibifu watamsikiliza nae atawasikiliza Mwenye masikio na asikie
  8. JamiiForums Tanzania Juliana Shonza apokea vyeti kwa kutambua mchango wake katika jumuiya ya wazazi CCM

    MHE. JULIANA SHONZA APOKEA VYETI KWA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA JUMUIYA YA WAZAZI CCM Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Danieli Shonza amepokea vyeti viwili vya shukurani kwa Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Ndugu Gilbert Kalima. Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Songwe...
  9. JamiiForums Tanzania DC wa Rungwe, Jaffar Haniu atoa wito Vyombo vya Habari vitoe elimu kwa wazazi kuwapeleka watoto shule

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na kuzungumza na wananchi. Vituo alivyotembelea ni pamoja na Redio Rungwe na Chai FM vyote vikiwa Tukuyu Mjini. Katika vituo hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda Mkoani Mara. Serikali iingilie kati kwa baadhi ya mambo

    Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika shule ya Sekondari Nyiendo kujadili mustakabali wa shule kwenye maeneo tofauti na hasa eneo kuu la...
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi msipowafuatilia watoto wenu chuo mtajutia mwishoni

    Wazazi na walezi, Tembelea watoto wako wanaosoma vyuo! Hasa hawa walioenda ngazi ya cheti baada ya kumaliza kidato cha nne, wengine wameoa na kuolewa! Binti haingii darasani, anafua na kupika kwa kijana waliyekutana naye chuoni. Kuna ambao pesa ya ada hajalipa anahudumia "mke"! Unaweza fikiri...
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO VIDEO: Wazazi angalieni Walimu Shule ya Sekondari Majaliwa

  13. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi tunaofanya biashara tuwaandae watoto mapema wafike mbali kutuzidi, shule ipewe nafasi lakini iwe kwajili ya maarifa ila sio ndoto za kuajiriwa

    Hata mimi mwenyewe tangu mtoto naaswa, soma sana mwanangu uje upate kazi nzuri, elimu ndio ufunguo wa maisha, n.k. misemo yote hio inapindishwa ili mtoto adhani kwamba njia pekee ya kutoboa ni kuja kuajiriwa wakati kuna alternatives far more better, elimu inatupa maarifa muhimu lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Wadada wanapenda kuuliza ATI kazi Gani unafanya? Wanamtaka mwanaume atakaetatua shida zake! Mtuonee huruma tuna watoto na wazazi!

    Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni! Na maswali yenu ya kipuuzi...
  15. JamiiForums Tanzania Wazazi jukumu lenu lisiwe ni kuwasomesha watoto tu, jitaidini kuwatafutia connection. Dunia imebadilika

    Salaam Wakuu. Dunia ya sasa mambo yamebadilika tofauti na miaka ya nyuma , (nasikia) zamani ukisoma hadi level ya degree ilikuwa ni rahisi sana kupata nafasi ya kazi pasina na hata kujuana na mtu katika idara au taasisi fulani.Wazazi wa wakati huo jukumu lao lilikuwa ni moja kuwapeleka watoto...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza: Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Thaqaafa waandamana kudai matokeo ya watoto wao

    Wazazi wa watoto waliokuwa wanasoma katika shule ya sekondari Thaqaafa iliyopo wilayani Nyamagana jijini Mwanza wameandamana kudai matokeo ya watoto wao waliomaliza kidato cha nne 2022 kufuatia kuwepo kwa sintofahamu. Wazazi hao wamesema wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana katika...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

    Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike. Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume. Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mzazi, nini kinakupa ugumu kumuomba msamaha mtoto wako pale unapomkosea?

    Wazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea. Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa...
  19. JamiiForums Tanzania Hiki kisa kimenisikitisha Mno, wazazi kizazi hiki kimeharibika, saidieni Binti zenu

    HIKI KISA KIMENISIKITISHA MNO, WAZAZI; KIZAZI HIKI KIMEHARIBIKA, SAIDIENI BINTI ZENU. Anaandika, Robert Heriel Mama mmoja amenipigia simu juzi, akanisimulia kisa hiki; " Nina Binti yangu, nimemsomesha mpaka CHUO akamaliza shahada yake ya Kwanza Mwaka 2016. Hakurudi nyumbani akatomea Huko...
  20. JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu inayoandaliwa haishiriki Wadau Muhimu (Walimu, Wazazi, wanafunzi)

    Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma, 1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje. Mfano, Mwaka jana 2022...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…