wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na watoto/vijana wadogo kutembea Usiku mitaa ya Sinza na Kinondoni

    Wasalaam Wataalam wa Darisalaam, Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku, kwanini? Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four. Ndevu Bado zinaota ota. ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha TIA kwanini mnawatia wazazi na wanafunzi hasara?

    Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa watoto wao hawana sifa za kuendelea na masomo, huo ni uhuni chuo kimefanya na haijulikani kama fedha...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi msifiche watoto wenyewe ulemavu, usonji na down syndrome

    Hali ya kuwaficha watoto wenye ulemavu, kama vile wale wenye ugonjwa mfanano(Down syndrome) na usonji (autism), ni suala linaloathiri haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya elimu, kucheza na kujumuika na wenzao katika jamii. Wazazi wengi wanaweza kufanya hivyo kwa sababu ya hisia za...
  4. JamiiForums Tanzania Dar inaongoza vijana watu wazima kuishi kwa wazazi wao

    Habari zenu, Mjanja M1 nimeona maeneo mengi Dar vijana wenye umri mkubwa miaka 30 na kuendelea wakiishi kwa wazazi wao na wengine kuzalia makwao. Kautafiti kangu kamegundua zaidi kuwa kuna wanaume waliooa pia ambao wanaishi na wake zao kwenye nyumba za wazazi wao. Vijana wengi wa Dar...
  5. JamiiForums Tanzania Tukio la Ubakaji shuleni: Wazazi muwe Makini na watoto mnaopeleka shule za Bweni

    TUKIO LA UBAKAJI SHULENI: WAZAZI MUWE MAKINI NA WATOTO MNAOPELEKA SHULE ZA BWENI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwaka 2016 nilipata kibarua cha kujiegesha katika shule ya binafsi maeneo ya Mwembe Mtengu, Kigamboni. Ile shule nikakuta waalimu wengine vijana ambao ni rika langu. Hapakuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwani kuotea ndevu nyumbani ndio kigezo cha kufukuzwa? Naambiwa nikajitegemee wanataka (wazazi) nife kwa njaa!

    ...
  7. JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi Wilayani Ludewa tuwapeleke watoto shuleni

    WAZAZI NA WALEZI WILAYANI LUDEWA TUWAPELEKE WATOTO MASHULENI Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva ametoa rai kwa wazazi wote kuhakikisha Watoto ambao wamefikia umri wa kuanza masomo ya Awali, Darasa la Kwanza na wanaoanza Kidato cha Kwanza- kwa mwaka wa masomo 2024 kufanya hima...
  8. JamiiForums Tanzania Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

    Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33)...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded NHIF watumie mfumo wa fingerprint scanner kutambua wanufaika/ watoto badala ya kusumbua wazazi

    Habari wadau. Kumekuwa na wimbi la wafanyakazi wa NHIF waliopo mahospitali kuwataka wazazi wabadilishe vitambulisho vya watoto kwakuwa picha zilizopo kwenye vitambulisho hazifanani na watoto kutokana na kubadilika. Mimi hiki sikatai. Watoto wadogo wako katika hatua ya makuzi si jambo la...
  10. JamiiForums Tanzania Namna za kuongeza Usalama wa Mitandao kwa Watoto

    Kwa kuenea kwa teknolojia na intaneti, watoto wengi wanakua kama watumiaji wa kidijitali na wapenzi wa mitandao ya kijamii. Ingawa kuna faida nyingi za matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto, kuna hatari kadhaa kama vile kutolewa kwa maudhui yasiyofaa, uhusiano na watu wasiojulikana, na...
  11. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

    Baada ya kuripotiwa Shule ya Msingi ya Mlembea inayomilikiwa na Serikali katika Tarafa ya Mashati, Halmashauri ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kuandikisha Wanafunzi watatu pekee kwa ajili ya Mwaka wa Masomo 2024, uffanuzi umetolewa. Awali imeelezwa kuwa baadhi ya sababu za na uhaba wa Wanafunzi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Matokeo ya shule za serikali ni aibu, tupambane tupeleke watoto shule za serikali

    Wanajamvi habari zenu? Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika. Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo. Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

    Amini nakwambia, hapa duniani kuna watu ambao wanahitaji kitu kimoja tu. Nacho ni mtu wa kuwaambia " hakuna tatizo kabisa endapo utafanya hivyo " au " usiogope" Miongoni mwa watu hao ni kundi la wazazi wanao struggle kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za kulipia za kiingereza. Watoto...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na shule zinazofaulisha sana (Top schools)

    Habari wakuu, Ningependa kujikita moja kwa moja kwenye mada. Hii ni kwa wazazi ambao huwapeleka watoto kwenye shule zinazofanya vizuri sana kwenye matokeo kuwa makini na uamuzi huo. Japo si shule zote ila wengi wao ndio walivyo. Ni kweli watoto wanaosoma kwenye shule hizo hufanya vizuri...
  15. JamiiForums Tanzania Katavi: Wazazi watakiwa kuhakikisha wanawapeleka Shule Watoto wao

    Wazazi na Walezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametakiwa kuwapeleka Watoto shule ili kuanza masomo kwa muhula wa kwanza ambao umeanza rasmi hii Januari 8, 2024. Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Dkt. Alex Mrema amesisitiza Watoto wote wenye umri wa kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

    Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu.. Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee??? Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana. Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Mawaziri wa Elimu na TAMISEMI, Shule ya Msingi Nyerere, Moshi kuna shida kubwa. Tunaomba mtusaidie

    Habari kaka? Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi JK Nyerere, iliyopo Manispaa ya Moshi. Mwaka jana uongozi wa shule uliitisha kikao cha wazazi na kueleza nia ya serikali ya kuigeuza shule hiyo kuwa ya mchepuo wa kiingereza (English Medium school). Katika kikao hicho wazazi...
  18. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kusumbuliwa na wazazi wetu kwa sababu ya michepuko yetu tujuane hapa kupitia visa vyetu

    Inakuaje waheshimiwa? Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu. Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇 Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
  19. JamiiForums Tanzania Dozi 24 za kuzuia watoto wetu wa kiume wasiharibikiwe

    Dozi 24 za Kuzuia Watoto Wetu wa Kiume kuwa Mashoga! Denis Mpagaze _________________________ Ushoga unakuja kwa kasi sana! Wahanga ni watoto wetu wa kiume. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu tumewatelekeza watoto wa kiume. Nguvu nyingi tumeelekeza kwa watoto wa kike. Kuwainua watoto wa kike ni...
  20. JamiiForums Tanzania George Mwakalinga: Wazee na Wazazi wasaidie kuwahamasisha Watoto wao kushiriki shughuli za maendeleo kwa Jamii

    Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Kyela FM iliyopo Mkoani Mbeya, George Mwakalinga ameuomba Umoja wa Wazawa wa Kyela waishio ndani na nje ya Kyela kuwatafuta wazawa wengine ambao bado hawajajiunga ili kuweka umoja wenye nguvu na mshikamano kwa ajili ya kuijenga wilaya yao. Mwakalinga ametoa rai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…