wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Wazazi na Malezi

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu ya kitanzania na sababu kubwa ya changamoto hii ni wazazi kutoa malezi duni kwa watoto. Malalamiko yamekuwa mengi sana kuhusu mmomonyoko huu wa maadili kwa miaka ya hivi karibuni lakini inasahaulika kwamba msingi mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania Wazazi walaumiwe na serikali ilaumiwe watoto wadogo wanashinda stendi kufanya biashara

    Inapofika msimu wa kuandikisha watoto serikali inazisitiza wakaandikishwe,lakini wakishaanza shule ufuatiliaji wake unapunguwa hali inayopelekea watoto kuzurula mtaani.Wazazi walaumiwe na serikali ilaumiwe watoto wadogo wanashinda stendi kufanya biashara ni aibu tunatengeneza taifa gani?Tazama...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati

    Wadau mimi ni mdau wa elimu kama mjumbe wa kamati mojawapo ya shule. Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati. Mfano fedha ya Machi na Aprili 2024 hadi sasa hazijaingizwa. Mitihani ya muhula wa kwanza ni hatihati kufanyika. Bwana Mkenda...
  4. JamiiForums Tanzania Katavi: Wanafunzi wazibua choo kwa mikono, Wazazi wamjia juu Mwalimu

    Wazazi wenye Wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Kaliwaoa iliyoko Kata ya Ilembo, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamechukizwa na kitendo cha mwalimu ajulikanaye kwa jina la Ndikulio Matenga shuleni hapo kutoa adhabu kwa Wanafunzi wakiume wa Kidato cha Kwanza kuzibua choo kwa kutumia...
  5. JamiiForums Tanzania Wazazi na Walezi huu ni ujumbe wenu wa thamani kuelekea siku ya familia duniani

    Salaam nyingi za upendo kwenu. Wazazi na Walezi, tunapoelekea kwenye siku ya familia duniani tarehe 15 Mei, 2024, tafadhali tuanze ukurasa mpya wa kuwa karibu zaidi na watoto wetu. Zawadi iliyo bora zaidi kwa mtoto wako kwenye nyakati za Dunia ya leo, ni kuwa karibu naye, tena karibu zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Ila hawa wazazi wanaowatelekeza watoto wao vyuoni wana maana gani?

    Mtoto ulimlea mwenyewe kwa kutshughulisha na akija chuo na akapewa fedha za kujikimu unaona kana kwamba shida zimeisha . Mfano ★Anaenda hana nguo za kumtosha ★Hana simu janja wala PC ★Anaenda hana fedha ya hakiba . Na bado haitoshi gharama za bima na malipo mengine ayafanye yeye kwa kigezo...
  7. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye Twende kazi wadau na maoni yenu
  8. JamiiForums Tanzania Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  9. JamiiForums Tanzania Nawapa pole sana wazazi wenye watoto wa kike vyuoni hasahasa hivi vyuo vya katikati

    Salama kitu gani? Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu. Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata...
  10. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya wazazi CCM Kinondoni ni mfano wa kuigwa

    JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA KINONDONI NI MFANO WA KUIGWA, MR UK -PROFIL MASAWE KATIKA SIASA KAZI MAARIFA. Na Comrade Ally Maftah Nikiwa kama mpenzi na mkereketwa wa Chama cha Mapinduzi, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, mpenzi wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Mkutano Mkuu...
  11. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya wazazi (CCM)Kilimanjaro yapigwa pini, ni kuhusu ujenzi wa bwalo la chakula Kibo Sekondari

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo. Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wazazi wajibikeni…

    Wazazi timizeni wajibu wenu. Mzigo wa kuwatunza mabinti zenu wamebebeshwa vijana ambao bado wanajitafuta Mahusiano ya kimapenzi yamekua liability kwa kijana wa kiume. Vijana wa kiume wanashindwa kufanya maendeleo, ambao hawana vipato vya muendelezo wanaamua kununua makahaba ili kukwepa costs za...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

    Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact. Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia. Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi wetu:-Mgeni akiwa anakula ukimuangalia unapigwa, ukipigwa ukalia unapigwa na usipolia unapigwa

    Wazazi wetu walikuwa hawaeleweki wanataka nini. *Mgeni akifika halafu mtoto akawa anamuangalia, anapigwa. *Akiwa anakwepa kumuangalia mgeni (anaangalia chini), anapigwa. *Mgeni akitengewa chakula halafu mtoto akamuangalia wakati anakula, anapigwa. *Mtoto akipigwa akalia, anapigwa. *Na...
  15. JamiiForums Tanzania Wazazi mnapaswa kutambua vipaji vya wanenu

    Katika dunia tuishiyo leo, ni bora kuwa vizuri katika jambo fulani(kuwa expert) kuliko kuwa na ma vyeti mengi lkn uko shallow! Yaani unatakiwa kuwa mjuzi katika filed husika. Mfumo wa elimu hauna specifications kwamba wewe una kipaji gani bali ni one fits all. Hivyo basi wazazi wanapaswa...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Wazazi wanataka kumtafutia mchumba

    Naombeni ushauri mama yangu kanipigia simu ana sema mwaka huu nikienda Kigoma bila binti wa wawatu nitakuta ameniandalia binti huko wakuja nae mjini. Swali: hivi ukichaguliwa mwanamke na wazazi kwa karne hii hua kuna vibe na kudumu kweli!? Kwa alie na experience 🙏🏿
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa sasa mnapenda kulelewa na Wanawake wakubwa? Wazazi kuna walakini kwenye malezi

    Sasa hivi vijana walio wengi hawataki wasichana rika lao na wanahitaji kulelewa tu. Mikoa inayoongoza ni Dar es Salaam, Dodoma, Arusha sio kwa kiwango kikubwa ila wapo, pamoja na Mwanza. Wazazi wa vijana wa sasa,kuna walakini kwenye malezi yenu. Tusipoangalia, Tanzania itajaa vijana tegemezi...
  18. JamiiForums Tanzania Nimelikataa jina walilonipa wazazi wangu

    Mwaka 2009 wakati nikiwa form 3 nilienda kanisani na kumwambia baba mchungaji nataka kubadilisha jina hili walilonipa wazazi wangu silitaki. Eti wamenipa jina la babu yangu mzaa baba, babu mlevi kiwembe balaa kwa madem, alikuwa na utajiri wa ng’ombe 500 mbuzi kibao wote kahonga madem, mifugo...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania bara bado kuna maeneo msichana kuvaa suruali ujue ni kahaba, mhamiaji au hana wazazi

    Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni. Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Muziki wa Warekani Weusi hasa hiphop ni sumu, Wazazi na walezi tujitahidi kuwaepusha watoto na huu ujinga

    Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…