The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
Wadau hamjamboni nyote?
"Ahsante sana Wakili Msomi Peter Madelek kwa mchango wako wa kufanikisha Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo mkutano ambao ni hatua muhimu sana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025"
https://www.youtube.com/live/ofrr-5ZXSAM
[Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Jonas Semu kwenye Maadhimisho ya Miaka 11 ya Kuzaliwa kwa ACT Wazalendo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, Makao Makuu ya Chama, Dar es Salaam]
Ndugu viongozi na wanachama wote mliohudhuria...
https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP
Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja.
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
Wakuu,
Moja ya true story ni juu Kipenyo Eli aliejipenyeza from Israel hadi kufika kwenye mamlaka za juu kabisa nchini Syria. Kipindi cha miaka ya 60s, Syria iliisumbua sana Israel sambamba na kuua raia wake.
Mossad wakaingia mzigoni na kumuandaa kijana E. Cohen as Kamel Thabeet na kumpa...
Nani angedhania Ibrahim Traore anaweza kutokea kama mtu mwingine?
https://youtu.be/LAZvEVvWbz4?si=3p_Us_YL6BWaNWpc
Crew wa Air France na mwekezaji uchwara wa kifaransa wajikuta korokoroni kwa kumkejeli rais wa nchi wakidhani ni kidampa.
Kwamba kina Traore wanasafiri kama abiria wa kawaida...
Kwa sasa naona serikali iko busy sana kuzalisha wazalendo wengi wawe na uzalendo kwa mtu au watu au chama,badala ya kuzalisha wazalendo kwa Taifa, naiona hatari sana kwenye hili Taifa letu hapo baadae.
Ikiwa Kila mwenye nguvu iwe ya fedha au ya dola akiweza kujitengenezea wazalendo wake kama...
Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao
ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa
ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii?
===
"Tumefanya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, na tumeona mapungufu makubwa. Kwa mfano, Kanuni za Maadili zinawalazimisha vyama kusaini makubaliano yanayokiuka Katiba, na kuwanyima haki ya kushiriki uchaguzi. Hili...
https://www.youtube.com/live/boUBc1geEE0
UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI 2025/26
“Serikali inaogopa uchaguzi huru na haki”
Utangulizi
Tarehe 09 Aprili 2025 Waziri Mkuu aliwasilisha Bungeni mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na...
https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U
Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na tupaze sauti dhidi ya ukosefu wa ajira na hatma yetu." Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo...
RATIBA YA PBZ PREMEIR LEAGUE IHESHIMIWE
Shirikikisho la Soka la Zanzibar ZFF lilikuwa limepanga Ligi Kuu ya PBZ iendelee kuchanja mbuga kuanzia Aprili 5, 2025 na kutafuta vidume vya Zanzibar ili kuweza kuwakilisha katika michuano ya vilabu barani Afrika ambapo bado ZFF ina uwanachama...
Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauwaji ya Raia)
ACT Wazalendo tunalaani vikali tukio la mauaji ya kinyama dhidi ya Ndugu Juma Ame Ngwali, mwenye umri wa miaka 58, mkazi wa Kijiji cha Ndooni, Shehia ya Uweleni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Marehemu...
Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na...
Kama kuna kosa serikali ya Awamu ya Sita itafanya, ni kutowalipa Makandarasi wa ndani, wazalendo kabla ya uchaguzi Nonember 2025.
Hili ni angalizo tu!
Tukiachana na kodi za PAYEE, NSSF, WCF na michango mingi inayochelewa kulipwa kwa kukosa pesa, hali ya ajira kwa wafanyakazi na vibaru a wa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe wake waliobahatika kuuona Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Inshallah tuendelee kumuomba Allah (S.W)...
Wakuu
Kwa Taarifa zilizonifikia ni kuwa kikao cha Tundu Lissu pamoja na Ado Shaibu (KM ACT WAZALENDO) na Ismail Jussa, kilichofanyika jana ofisi za chadema AGENDA yao ilikuwa ni kuhusu NO REFORM NO Elections na hivyo wamekubaliana, hiyo imepelekea ACT kuitisha halmashauri kuu ili AGENDA hiyo...
Jeshi la Kongo lime collapse na Wanamgambo wa Wazalendo wameanza kushambulia jeshi la Kongo huko Uvira.
Sasa hivi M23 wanaangalia tu kazi inafanywa na Wazalendo ambao wameshatuhumiwa kwa mauaji na ubakaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binadamu dhidi ya Wananchi wa Kongo DRC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.