wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA tubadilike, ACT-Wazalendo wanatuzidi sana kufanya siasa za weledi, sisi tumebakiza kulalama Twitter

    Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals. Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu. Harakati za kisiasa bila common sense. Ona wenzetu. 👇
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Polisi Tunduru wazuia mkutano wa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutokana na kuwepo matishio ya ugaidi

    Mnatuzuga
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Wazalendo wa Ukraine wakuta ngome zimekimbiwa, waliingia huku wamejiandaa kwa mapambano

    Hivi vita kuna wakati vinakua kama kioja, kuna maeneo Ukraine wanaingia fulu combat wakiwa tayari kupambana na kukuta yamekimbiwa na kubaki kama ghost town. IZIUM, Ukraine (Reuters) -Ukraine said its troops have marched farther east into territory recently abandoned by Russia, paving the way...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kuwaponda CHADEMA kuwa hawana ofisi sio vizuri. Muwe mnawashauri kwa barua wajenge ofisi

    This is not good at all 👇
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Mbele kwa mbele, shughuli ya wazalendo wa Ukraine inaelekea Luhansk - zege hailali

    Piga, garagaza chochote kilicho mbele hadi ardhi ikombolewe, vilianzia Crimea vinaishia Crimea..... Vijana wa Ukraine wataingia kwenye vitabu vya historia kama mashujaa waliojitoa mhanga kwa ajili ya kulinda taifa lao, bendera yao, wazee wao, watoto wao na jamii yao yote. Vijana wa Kiafrika mna...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG inaonesha ACT WAZALENDO wanaongoza kwa Ufisadi Zanzibar. Allah Wasaidie Wazanzibar

    Salaam Wakuu, Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza. Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), waligawana Madaraka na Vyeo huko Zanzibar. Mfano: Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu mkuu wa Chama...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe wazalendo, utanzania ni kama ngozi

    Kiukweli inasikitisha sana kuwa, moja ya mambo yanayo rudisha nyuma maendeleo ya miradi na maendeleo kwa ujumla ni sheria ya manunuzi ya umma. Nadhani wengi wetu tumeona waraka kupitia whatsap grup na sociali media nyingine juu ya kurekebisha kanuni za manunuzi ya umma. Kwakuwa hii ndio fursa...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Reading in between the lines & listening in between the words. Ikitokea kuna kitu amekinoti lakini hakukisema, ukikijua kuna ubaya tumseme?

    Wanabodi, Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa. Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

    Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!. Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu. Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa...
  10. Fukua

    JamiiForums Tanzania Wazalendo uchwara hii ni awamu ya SAMIALOGY na sio MAGUFULIFICATION

    Kazi iendelee. 😂😂😂😂😁😁😁😁 Hii ni tafsiri ya mtoto wa form one mwaka 2022 huko shule NAMTUMBO SAMIALOGY ni sera/tawi la sayansi ya uongozi linalojikita zaidi na utoaji wa haki, huduma bora,maridhiano, utawala wa sheria, uwazi na uwajibikaji,ucha Mungu, uzalendo wa kweli na utoaji wa huduma safi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan inaleta matumaini gani kwa siasa za Tanzania?

    Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Haikuwa ni hali ya kawaida kuona viongozi wa juu wa kisiasa wenye itikadi tofauti, kuketi pamoja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar: Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo imefanya mazungumzo na Rais Samia

    Zitto kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua zake za kukutana na viongozi wa Vyama mbalimbali vya siasa. Mazungumzo yetu yalihusu mabadiliko mbalimbali yanayokusudiwa nchini kwetu
  13. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yazidi kuibomoa CHADEMA. Je, hizi nguvu wanazitoa wapi huku Tanzania bara?

    Wamebomoa ngvu ya Chaso vyuo vikuu kibao 👇
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa haya wanayotufanyia CCM kuna uwezekano mkubwa wa kuwag'oa 2025 lakini sio kwa chama chetu CHADEMA au ACT Wazalendo

    Wananchi hawana mbadala wa kuipachikia CCM ila ukweli ni kuwa hawaitaki tena. Sio wazee wala vijana. Tozo, ufisadi upendeleo umekithiri ndani ya CCM huku raia wakiwa hoi kimaisha. ACT Wazalendo ni mamluki waganga njaa. Hawapo kwaa ajili ya kumsaidia mwananchi aondokane na utawala usiofaa wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Songea: ACT Wazalendo yavuna mamia ya wanachama wa Chadema

    Aliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022. Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na ACTwazalendo Mjini Songea.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Act wazalendo wana nia thabiti ya kuimarisha upinzani? Au ndio wanatumika kudidimiza ? Kila siku purukushani zisizoeleweka.

    Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Natamani kuhama CCM, kipi chama makini kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA?

    Hawa Act Wazalendo wana harufu ya udini. Halafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kiongozi wao wa Chama nasita kuhamia. CHADEMA walikuwa vizuri enzi za Dkt. Slaa na niliwakubali sana. Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia. CUF. Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.
  18. 2019

    JamiiForums Tanzania Wanaokataa Wamasai kuhamishwa wana ubinafsi mkubwa sana, siyo wazalendo

    Achana na nyumba wanazojemgewa. Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe? Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo wapiga ‘U Turn’, nao wataka Katiba Mpya Kwanza

    ACT hakina msimamo kinaenda na upepo kinaangalia vyama vikubwa kama Chadema vinataka nini. Mwanzo walikuwa na kauli mbiu yao ya TUMEHURU KUELEKEA KATIBA MPYA, leo wanasema KATIBA MPYA NI SASA. Tusiwabeze ACT bado ni wachanga hawajui kwenye siasa ili uaminiwe unahitaji consistency. Waendelee...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Halima Mdee na Wenzake 18 watahamia ACT Wazalendo au Umoja Party kama sio kuteuliwa Serikalini

    Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA. Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa. Muda...
Back
Top Bottom