wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?si=_psmu3H58c7p20re...
  2. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?is=Wg_4_djGZTsIrnyM
  3. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Msajili wa vyama vya Siasa aache vitisho na hujuma dhidi ya vyama vya Upinzani

    Msajili wa Vyama vya Siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) (barua ya tarehe 07 Mei, 2026 yenye kumbukumbu namba HA. 322/362/16A/22) akikitaka kijieleze kwa nini kisisimamishwe usajili wake au kutozwa faini kwa kile alichokieleza kuwa ni 'ukiukaji wa sheria ya vyama...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo wa ACT Wazalendo anatoa neno leo Mei 8, 2026

    https://www.youtube.com/live/1EUtCsWFvso
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo hamuwezi kukubalika tena hata mkipiga kelele kubwabwaja ovyo

    Mlishatambulika kuwa mpo Pamoja na CCM na hata wakati wananchi wanapigwa risai ile Oktoba 29 mlikuwa pamoja na CCM mkifanya maigizo ya uchaguzi feki. Leo hii mnazunguka na kujifanya mnapinga uovu na ukandamizaji wa CCM mtandao. Hamuwezi kutoboa hata kitogo.
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Kabaney Mojah, Diwani wa ACT Wazalendo kata ya Oldonyo Sambu, atimkia CCM

    Diwani wa Kata ya Oldonyo Sambu, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Kabaney K. Mojah, ametangaza kujivua udiwani na uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumatano, Aprili 15, 2025, na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mojah ametangaza uamuzi huo jijini Arusha alipokuwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Dk Chakwera apokea ombi la kumtembelea Lissu gerezani, akutana na CHADEMA, ACT, Prof Kabudi

    Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais Mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera leo Aprili 10 amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya vyama vya siasa na watendaji wa Serikali jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa vyama alivyokutana navyo ni CHADEMA kilichoongozwa na Makamu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania ACT- Wazalendo kubeba gharama mazishi ya Bwege

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kushtushwa na kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa mwanachama wake, Seleman Bungara maarufu Bwege, kilichotokea ghafla asubuhi ya Machi 30, 2026, alipokuwa akipatiwa matibabu ya kusafisha figo jijini Dar es Salaam. Chama hicho pia kimeahidi kugharimia mazishi ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo

    Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo. Kati ya wazalendo ni hawa hawanufaiki lolote kipesa kwa wanayofanya 1. Huwezi kuwa Mzalendo na mwizi wa kura halafu ukajiita mzalendo. 2. Huwezi kuwa Mzalendo na kuuwa vijana bila kufuata sheria 3. Huwezi kuwa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TFF sio kundi la kigaidi kama wanavyosema polisi bali ni kundi la Watanganyika wazalendo. Ushindi upo karibu

    Moja ya kiongozi wa Kundi la Tanzania Freedom Fighters(TFF) amefafanua na kueleza maana halisi ya kundi hili Amesema TFF ni kundi la wananchi wa Tanganyika Wazalendo na sio kundi la kigaidi au la uasi kama wanavyosema Jeshi la Polisi. Aidha amesema kindi hili limezaliwa baada yaliotokea Oktoba...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo (Abdul Nondo) atema cheche muda huu

    https://www.youtube.com/live/OKUOZERlsJs?si=hSMyZIJG7kS6N1kT ------------ "Waziri wa Vijana anapewa fedha anakuja kutuambia sisi vijana kwamba fedha hizo zimepelekwa wizara za kisekta, sisi tulitarajia Waziri Joel Nanauka baada ya kupokea ile hundi aje awaeleze vijana kwamba bilioni 200 zipo...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bwege: Nikiwa ACT Wazalendo, nimeitwa sana mchochezi kwa kusema baadhi ya mambo muhimu na wakinichokonoa na walipuwa

    Bwege ameendelea kuyasema mengi zaidi, ambapo leo amesema wakati yupo ACT Wazalendo ameitwa sana mchochozi kwa kusema mambo muhimu. Soma Pia: Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA Aidha amesema wakimchokonoa basi atawalipua wote, huku akisema viongozi wao walikuwa awana msimano hata katika...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu!

    Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu! Uchungu wa madaraka ya haraka badala ya kupigania mifumo unaweza kudhani inasaidia chama kumbe ni bora uagalie mbali na kupigania mifumo kwanza. Hili ndiyo sababu ya kifo kijacho cha ACT wazalendo. Upinzania wa...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo, https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/tumuombee-rais-tuliombee-taifa-5362604 Pia soma Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao?. Na...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yatupa maombi ya wagombea ACT Wazalendo, wafugua kesi upya

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ni ushahidi kuwa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, kuna shida ya watu Wazalendo

    Huu ndio ukweli mchungu na ndio maana tupo katika halii hii na huenda tukaendelea kushuduhia mambo mengi zaidi ya haya tunayoyaona leo. Pia, yaliyotokea Oktoba 29 ni ushahidii mwingine wa kukosekana wazalendo katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Jambo la msingi: Kupitia mauji ya Oktoba...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yazuia uharibifu wa vifaa vya uchaguzi katika maombi yaliyofunguliwa na wagombea 17 wa ACT Wazalendo majimbo ya Unguja

    Mahakama Kuu ya Zanzibar, Masjala ya Tunguu, mbele ya Mheshimiwa Jaji Salma Hassan, leo imetoa Amri ya Muda ya Kusitisha Kitendo (Status Quo) katika Maombi Madogo ya Madai Na. 18 ya Mwaka 2026. Amri hiyo imesimamisha rasmi mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wa kuharibu vifaa na nyaraka...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano na Waandishi wa Habari na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Februari 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/Dnr2XjQk2GU?si=x1aUXvl0spja3PyI
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Watanzania wazalendo wameanza kujibu taarifa za kupotosha za DW

    Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW. Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu. DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa...
Back
Top Bottom