wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Masettler wa Kiyahudi waendelea na njama zao za kuwafukuza Wakiristo katika nchi takatifu

    Masettler wa Kiyahudi huko West bank wameendelea na harrassment yao kwa Wakiristo waishio huko. Lengo ni kuwafrustrate Wakiristo hao ili waondoke katika ardhi hizo. Mashambulizi ya Masettler wa Kiyahudi hivi karibuni ni kushambulia kanisa kongwe la St George lililojengwa maeneo hayo toka karne...
  2. hamis77

    Ushawishi wa wayahudi katika mifumo ya kiuchumi na kisiasa duniani

    Katika mjadala wa nguvu za mataifa na udhibiti wa rasilimali duniani, jamii ya Kiyahudi huibuka mara kwa mara kama kundi lenye ushawishi mkubwa sana hasa katika masuala ya kifedha, kisiasa, na kiteknolojia. Ingawa hoja hii mara nyingine huibua mijadala mikali, ukweli wa kihistoria, takwimu, na...
  3. Ibilisi Mjalaana

    Mbeya ambapo kuna wayahudi wengi weusi lakini cha ajabu redio za huko zinaongoza kwa vipindi vya waganga muda wa usiku

    Shalom shalom Nenda moja kwa moja Kwenye mada Kwamuda mrefu nimekua mkazi wa mbeya watu wa huku wengi wameshika dini sana ukiwaona kwa nje na hata kuongoza kuwa na manabii na mitume wengi kushinda hata Israel yenyewe taifa teule. Watu wa huku wengi ni wakristo karibu asilimia 99 mchana wako...
  4. Ibilisi Mjalaana

    Tukutane hapa Wayahudi wa Kyera na waarabu wa Liwale

    Asalam aleykum Shalom shalom Hili ni jukwaa huru, kama utakua mfatiliaji wa nyuzi mbalimbali katika majukwaa haya; 1. Hoja mchanganyiko 2. International forum 3. Jukwaa la siasa Basi utabaini uwepo wa wahayudi na waarabu kutokea katika pande mbalimbali za Tanzania ambao Wana misimamo mikali...
  5. sanalii

    Fun thread: Wavaa kobaz vs wayahudi wa bonyokwa

    Huu sio uzi wa chuki wala kejeli, ni namna ya kutazama haya makundi mawili hapa jamiiforums ambayo, wao huwa wanaangalia kigezo cha dini tu, yani yuko radhi usiku aite mchana ili kutetea upande wake. Ukichukulia haya mambo serious unaweza kuumwa kichwa, haya makundi ni special na sio ya kuyapa...
  6. Mi mi

    Unaweza kumshinda Marekani bila nguvu za kijeshi mfano China anaenda taratibu lakini kwa umakini mkubwa

    Kumshinda marekani kupitia nguvu za kijeshi haitoshi pekee. Maadui zake marekani wanapaswa kujiza titi kupitia nguvu za kiuchumi na kiteknolojia ili kumshinda marekani na washirika wake. Unapokuwa na uchumi mkubwa ni lazima tu suala la ulinzi nalo litakuwa Imara. Watu husema wachina ni...
  7. Eli Cohen

    Wayahudi wa Bonyokwa huku ni vigere vigere na vifijo 🎉

  8. Gobole Lenye Risasi

    Allah katika Quran anasema wewe Muislamu ukiwa na shida ya Kiimani waulize Wayahudi na Wakristo hao ndo wanajua

    Surat Yunus (10:94) "Basi ikiwa uko katika shaka juu ya yale tuliyokuteremshia, waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako..." (Qur’an 10:94) Allah anasema kwa Mtume Muhammad, ikiwa unayo shaka juu ya yale yaliyoteremshwa kwako, basi waulize wale waliokuwa wakisoma vitabu vya kabla yako (yaani...
  9. Sigonella Island

    Wayahudi wamekimbilia wapi miji yote mieupe hamna hata mbwa barabarani

    Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
  10. Mlaleo

    Shehe Mwarabu mvamizi huko Australia awashambulia tena Wayahudi kwa Chuki kali sana kama Allah

    Imam wa Australia ambaye aliomba msamaha kwa mahubiri ya chuki dhidi ya Wayahudi sasa anataka 'kuwaua wadhalimu wote'. Sheikh Ahmed Zoud hivi majuzi alifutilia mbali madai kwamba Wayahudi wana kiu ya umwagaji damu na wasaliti, lakini kauli mpya zinazua maswali iwapo anatumia filimbi ya mbwa...
  11. Ibilisi Mjalaana

    Utafiti: Wanyakyusa wana manabii na mitume wengi kuliko wayahudi

    Huu ni utafiti mdogo usio rasmi ambao unaoenesha karibu Kila mtaa au Kijiji huko Mbeya kina nabii mmoja na mtume mmoja, Hali ambayo hata UKo Kwa wayahudi Toka enzi na enzi Hadi Sasa haijwahi tokea, swali je hii comeback ya ajabu imetokea wapi? Maana hata ukichanganya waarabu na wayahudi Kwa...
  12. Jackwillpower

    Ibada ya ijumaa chanzo chake ni Ugomvi wa Muhammad na Wayahudi

    NINI CHIMBUKO LA IBADA YA IJUMAA? Ibada ya siku ya Ijumaa imeelezewa chanzo chake katika kitabu kilichoandikwa na Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu wa Ansaar, kwa jina: "Historia ya Mtume Muhammad (S.A.W)" – na Muhammad Abdalla Riday, Ansaar Muslim Youth Organisation UK, Na. 47. Katika sehemu ya...
  13. U

    Kwanini Mungu aliwapenda ,kuwatetea, kuwapigania na kuwalinda Wayahudi? Je mataifa mengine kwanini hawakupewa upendeleo huo mkubwa?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafadhali toa sababu za msingi ukinukuu vyanzo makini Lugha zisizo na staha haikubaliki Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
  14. Gobole Lenye Risasi

    Chanzo cha Ugomvi wa Muhammad na Wayahudi kumwita yeye Mdanganyifu

    Jambo hili linaelekea kwenye historia ya kidini na uhusiano mgumu kati ya Wayahudi na Uislamu katika zama za Muhammad . Ili kulielewa vizuri, ni muhimu kuzingatia muktadha wa kihistoria na kijamii: 1. Historia ya Wayahudi Arabia Kabla ya Uislamu, kulikuwa na makabila ya Kiyahudi kama Banu...
  15. Technophilic Pool

    Ilikuaje wazungu wakaja kudominate dunia wakati hata si wateule wa dini kama wayahudi na waarabu? Kuna somo kubwa sana hapa

    Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
  16. Metronidazole 400mg

    Wayahudi halisi ni weusi , wale waliopo pale Israel ni wamchongo, mda ukifika wayahudi halisi (weusi ) watakuja kuchukua nchi yao

    Unajiita nchi teule alafu eti, mnaua watu wasio na hatia ( hasa watoto wadogo )....alafu mnajitetea kwa kivuli cha kuwa nyie ni TEULE, hapana hapana!!, tumeshtuka. Mimi naamini kwenye maandiko ya Biblia takatifu, hawa wa Israel wa sasa ni wa mchongo, waisraeli halisi bado wapo utumwani(...
  17. Mi mi

    Kiasi gani cha nguvu wanazo Wayahudi/Waisrael katika siasa na uchumi wa Marekani ?

    Naomba kujibiwa swali hili bila mihemko. Ningependa kujuzwa ni kwa namna gani Wayahudi na raia wa Israel wana nguvu kiasi gani ndani ya marekani, kiuchumi na kisiasa ? Treatment anayopata Israel ni ya kiwango cha juu sana ambayo hakuna taifa hapa duniani ina hiyo favour kwa marekani...
  18. R

    Hoja juu ya Biblia Agano Jipya: Je ni kweli Wayahudi walikuwa wakifungua kaburi baada ya kumzika mfu ili kumpaka marashi?

    Tunaelezwa katika maandiko ya Injili kwamba siku Yesu alipofufuka wanawake watatu walienda kaburini wakiwa na marashi/manukato ili waupake mwili wa Yesu. Je, kweli kihistoria hii ilikuwa desturi ya Wayahudi mtu ameshazikwa wafungue tena kaburi na kumpaka manukato (or preservatives in that...
  19. Kinyungu

    INRI= Yesu mfalme wa wayahudi

    Maandishi haya, I.N.R.I., yanatokana na Kilatini: Iesus = Yesu Nazarenus = Mnazareti Rex = Mfalme Iudaeorum = Wayahudi ambayo maana yake ni "Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi." Maneno haya yaliandikwa kwenye msalaba wa Yesu kwa amri ya Pontio Pilato, kama ilivyoelezwa katika Injili ya...
Back
Top Bottom