watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, kuna madhara yeyote watoto kutumia pempasi?

    Wadau nimekutana na hii video mama huyu akiwa anaongea mengi ila mojawapo ni hili la kuhusu uvaaji wa pempasi kwa watoto. Je hili ni janga au ni kukosa elimu sahihi kuhusu matumizi ya pempasi? Ninawafahamu wazazi kadhaa hawataki kabisa kusikia hii kitu kuhusu pempasi. Naamini humu tuna...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto wanne wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto

    Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa 6:30 usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika makazi ya watu yaliyopo ndani ya eneo la mgodi wa Mwadui, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Anaelawiti watoto adhabu iwe kuhasiwa, viboko 180 na abandikwe mhuri wa moto kwenye paji la uso

    Adhabu ni kuchagua! Tunajaza wafungwa wa bure magerezani! Nashauri adhabu kwa yeyote anaelawiti watoto wadogo! Awe mwalimu, shekhe, mchungaji, padri,dereva, mjomba, kaka, baba, bodaboda au jirani. IKITHIBITIKA Kalawiti au kubaka ADHABU IWE NI KUHASIWA, na viboko 6 kila siku mfululizo ndani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Takribani watoto 800 hugundulika kuwa na saratani kila mwaka

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, leo Septemba 23, 2022 ameweka wazi kuwa, kila mwaka takriban watoto 800 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani nchini Tanzania hivyo kuchangia ongezeko la vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Waziri Ummy amesema hayo katika kikao na Taasisi ya Global HOPE iliyoko...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume unapotoa pesa za maelezi hakikisha watoto wanajua lasivyo hawataona umuhimu wako na kudhani mama yao ndie anaekamilisha kila kitu

    Walengwa: 1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto 2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha familia , mavazi, elimu, n.k bila watoto kujua. aliotengana na ambao wanakuwa nje ya nyumba kikazi kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mazishi ya Queen yamewageuza viongozi wetu Afrika kuwa watoto wa shule

    Hadhi waliopewa viongozi wetu wa Afrika kwenye mazishi ya Queen sikuyapenda hata mimi, kama watoto wa shule vilee!! wamefuata nini cha mno? ona usafiri walipewa tofauti kabisa na wengine. Nani katuroga? njaa au nini? usipokwenda watakufanya nini?
  7. JamiiForums Tanzania Polisi watakiwa kuwapa msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili

    Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanyakazi Dawati la Usalama Wetu kwanza kuwapa elimu ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili. Akifungua mafunzo ya siku saba ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kama una zaidi ya watoto wanne, na unaishi mjini, kuna ushauri wenu hapa

    Kama wewe ni muajiriwa, na una watoto wanne nakuendelea, na unaishi mjini, fanya yafuatayo:- Tafuta chanzo kingine cha mapato, iwe biashara, udalali n.k Tafuta shamba ulime, au nunua chakula kwa wingi pale kinapokuwa kimeshuka bei na uweke stock, ili kuweza kupata chakula cha kutosha; haya...
  9. JamiiForums Tanzania Kuhani Musa Richard Mwacha - Malezi mabovu, kujamiiana hovyo kunakopelekea kukataa mimba/kutelekeza watoto ni moja ya vyanzo vya panyaroad

    Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kudekeza watoto ni hatari

    Wazazi nchini wameaswa wasiwadekeze watoto, ikiwa ni pamoja na kuzuia wasifanye kazi shuleni kwani ni hatari kwao siku za usoni. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Shule ya Msingi Rockeni Hill na Shule ya Sekondari Anderlek Ridges, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, Alexander Kazimili na...
  11. JamiiForums Tanzania Kutokomeza Panya road na Watoto wa mitaani, serikali ianzishe operation ya "Kamata jiunge JKT"!

    Hao vijana Wana nguvu za kutosha zilizokosa mpenyo ndio maana wanatusumbua mtaani! Nchi yetu ina ardhi ya kutosha sana ya kuendesha kilimo na ufugaji,kamata vijana Hawa peleka jkt wakalijenge Taifa letu kuliko kuwa wakabaji! Operation "Kamata jiunge jkt tumikia Taifa lako"inawafaa Sana Hawa...
  12. JamiiForums Tanzania Watoto wengi wanakutwa na Saratani iliyofikia hatua mbaya

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Damu kwa Watoto kutoka Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dkt. Heronima Kashaigil amesema kuwa watoto 5 hadi 7 wanahudhuria Kliniki ya matibabu ya Saratani kila siku, sawa na watoto 250 kwa mwezi. Utafiti uliofanywa na Shirika la ICCARE Tanzania ulibaini...
  13. JamiiForums Tanzania Wakina mama wenye watoto wakiume, Haya malezi mnayojidanganya ni kuwajali watoto kiuhalisia ni hatari kwenye ulimwengu wetu wa wanaume

    Sana sana kwa wamama ambao wanalea peke yao watoto wa kiume Imefikia stage niseme tu kwamba baadhi ya wamama wanaolea watoto wao wa kiume hawana tofauti na mama kondoo anealea mtoto simba kwa malezi ya kikondoo. Ndio tunajua kwamba mnawapenda watoto wenu lakini muwe mnakumbuka hao watoto ni...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto na suluhisho la Watoto wa mtaani

    Wakati sisi tukila kushiba na kulala pazuri kwenye majumba mazuri kuna mtoto wa mika 7 hadi 17 analala nje ya kibalaza bila shuka wala godolo! Mimi binafsi huwa najiuza hawa Watoto wanatokaje majumbani mwao nakuja kulanda landa mtaani kwa akili ya haraka unaweza kuanza kulaumu wazazi ama walezi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

    Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika. Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Mtwara: Wazazi wanawaficha watoto wenye VVU

    Afisa Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Mangaka Wilaya ya Nanyumbu, Janeth Chikawe ameeleza kuwa Mkoa huo umekuwa na idadi kubwa ya wazazi ambao hawawapeleki watoto kupata dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa kuwafungia ndani. Amesema watoto wengi wanaokosa huduma hiyo ni wenye...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo vya ghafla vya watoto

    Huduma ya kwanza ni huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wababa mliotelekeza watoto subirini mpaka mtafutwe na watoto wenu, acheni usumbufu!

    Anaandika, Robert Heriel Sakata la Ommy Dimpoz na baba yake linanifanya na mimi nipigilie msumari kusisitiza. Kuna wanaume wenye tabia za kizamani kuwa ati, anaacha kwa makusudi kabisa kulea mtoto wake halafu anakuwa na mtazamo kuwa; "Akikua atanitafuta, atamtafuta baba yake". Hiyo tabia ipo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

    Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuota kwa meno siyo chanzo cha tatizo la kuhara kwa watoto

    Ukuaji wa watoto hupitia hatua nyingi tangu kuzaliwa kwao. Mabadiliko haya huhusisha tabia na namna ambavyo mifumo ya mwili hufanya kazi. Ukuaji wa watoto huwa haufanani, lakini wengi huanza kuota meno wakiwa na umri wa kati ya miezi 4 hadi 7. Tofauti na jinsi ambavyo wazazi wengi huamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…