watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ashambuliwa na watoto wake baada ya kutaka kuuza ardhi ya familia

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50, Kanu Mugwere, ameshambuliwa na watoto wake wakipinga uamuzi wake wa kutaka kuuza ardhi ya familia kwa shilingi milioni 1.5. Kulingana na taarifa, Mugwere alikuwa akilenga kutumia fedha hizo kugharamia matibabu ya mtoto wake mmoja mwenye ugonjwa wa akili...
  2. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Watoto wa Mitaani

    Watoto ni hazina ya nguvu kazi ya kesho, na wanahitaji mazingira bora kwa ajili ya kuwasaidia katika safari yao ya kukua na kujenga taifa letu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kubwa sana katika kutoa msaada unaofaa kwa watoto hawa ili waweze kupata elimu bora, mazingira yanayowawezesha kukua...
  3. JamiiForums Tanzania Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

    The true education has three qualities 👇 1. It helps you to acquire power. 2. It helps you to maintain power. 3. It helps you to protect the acquired power. Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine. Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa...
  4. JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

    Habari yako ndugu msomaji. HUU NI UZI AMBAO NILIUANDIKA MWAKA 2021 KATIKA STORIES OF CHANGES,ILA NIMEONA NIUTUPIE HUKU Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka. Jambo...
  5. JamiiForums Tanzania Anataka nizae naye watoto

    Huyu dada nafahamiana nae kwa mda wa mwaka na miezi kadhaa hivi. Tulikutana katika mishe mishe za maisha tukajenga urafiki wa kawaida. Binafsi nafurahia sana urafiki wetu, ni dada flan ivi ana akili sana ya maisha. Wiki iliyoisha amenipigia simu anahitaji kuongea nami lakini si kwa simu...
  6. JamiiForums Tanzania Matokeo ya shule za serikali ni aibu, tupambane tupeleke watoto shule za serikali

    Wanajamvi habari zenu? Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika. Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo. Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

    Amini nakwambia, hapa duniani kuna watu ambao wanahitaji kitu kimoja tu. Nacho ni mtu wa kuwaambia " hakuna tatizo kabisa endapo utafanya hivyo " au " usiogope" Miongoni mwa watu hao ni kundi la wazazi wanao struggle kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za kulipia za kiingereza. Watoto...
  8. JamiiForums Tanzania Katavi: Wazazi watakiwa kuhakikisha wanawapeleka Shule Watoto wao

    Wazazi na Walezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametakiwa kuwapeleka Watoto shule ili kuanza masomo kwa muhula wa kwanza ambao umeanza rasmi hii Januari 8, 2024. Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Dkt. Alex Mrema amesisitiza Watoto wote wenye umri wa kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hili linaweza kuwa suluhisho la kulea watoto wa kubambikiziwa?

    Habari za uzima wakuu? Nikiwa naelekea katika harakati jumatatu njema kabisa, nikakutana na hii kitu hapa. Hii ni HOME DNA TESTS KIT, kama ambavyo wanawake wanaweza kujipima mimba na wanaume wameletewa hii. Kwani Nchini Tanzania zimefika hizi au Ndio kupima kwa kila mtu mmoja mmoja na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania WANAUME MNAOPELEKA SHULE WATOTO WENU: Njooni hapa, DNA muhimu.

    DNA muhimu Vijana. Kama mwanaume unaanzaje kumuamini KE uliyekutananae ukubwani, Yani anakuambia mtoto ni wako na wewe ME unaamini, Ni mistake kubwa sana ME sisi tunafanya, Hutakiwi kumuamini mtu uliyekutanane ukubwani Hata akiwa mkeo Ni makosa makubwa ME tunafanya
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na taifa kuwa na Rais Mwanamke, idadi ya watoto wanaojilea kabla ya muda imeongezeka

    Hakuna sera nzuri za kulinda maisha ya watoto. Watoto wengi wanaanza kufanya kazi za majumbani kama kupika, kufagia na kuosha vyombo wakiwa na miaka minne hadi saba. Hii ni asilimia 90 Tanzania nzima. Lakini ni kwa sababu wazazi wao hasa akina mama wanahangaika kufanya biashara ndogondogo...
  12. JamiiForums Tanzania Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

    Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu.. Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee??? Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana. Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Mawaziri wa Elimu na TAMISEMI, Shule ya Msingi Nyerere, Moshi kuna shida kubwa. Tunaomba mtusaidie

    Habari kaka? Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi JK Nyerere, iliyopo Manispaa ya Moshi. Mwaka jana uongozi wa shule uliitisha kikao cha wazazi na kueleza nia ya serikali ya kuigeuza shule hiyo kuwa ya mchepuo wa kiingereza (English Medium school). Katika kikao hicho wazazi...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Adolf Mkenda, hakikisha watoto wote wanaingia shule

    Katika pita pita zangu huku na kule nimeshuhudia baadhi ya wazazi wakilalama hasa kuhusiana na vitu vidogo vidogo ambavyo vyengine vinahusiana na uwezo wa mzazi na vingine na vyeti vya kuzaliwa wengine wanakosa fedha ambazo mzazi hutakiwa kulipia hapa kuna viwango tofauti zipo shule hutoza 26000...
  15. JamiiForums Tanzania Komredi Reuben Sagayika Awashika Mkono Watoto Yatima Kuelekea Mwaka 2024

    CDE. REUBEN SAGAYIKA AWASHIKA MKONO WATOTO YATIMA KUELEKEA MWAKA 2024 Ndugu Reuben Sagayika ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa pamoja na Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa kutokea Mkoa wa Geita, Ndugu Mery Mazula wameongozana na viongozi mbalimbali wa CCM tarehe 31 Disemba, 2023 na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400

    Waziiri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila Utaratibu ndio umebadilika sasa Watoto Watasaniliwa Shuleni kwa gharama ile ile ya tsh 50,400. --- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila kilichobadilika ni utaratibu wa kuwasajili ambapo utaratibu...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu yanahitajika kwenye hili Wazee

    Wakuu Kuna manzi nataka mfungulia biznenga,Ili akila mtaji nipate sababu ya kupiga chini. Anasema anataka kuuza vitu vinavyopendwa na wanawake na watoto. Ushauri wenu juu ya nn auze,unaweza okoa jahazi Natanguliza Heri ya mwaka mpya Kwa wote
  18. JamiiForums Tanzania George Mwakalinga: Wazee na Wazazi wasaidie kuwahamasisha Watoto wao kushiriki shughuli za maendeleo kwa Jamii

    Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Kyela FM iliyopo Mkoani Mbeya, George Mwakalinga ameuomba Umoja wa Wazawa wa Kyela waishio ndani na nje ya Kyela kuwatafuta wazawa wengine ambao bado hawajajiunga ili kuweka umoja wenye nguvu na mshikamano kwa ajili ya kuijenga wilaya yao. Mwakalinga ametoa rai...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Shule za siku hizi bado watoto wetu wanafundishwa mambo ya utamaduni?

    Kwa siku hizi naona kuna uzungu mwingi sana kwa vijana wengi, nikajiuliza hivi watoto wa sasa wa shule za msingi hufungwa mambo ya kitamaduni? Hapo ni watoto wa shule ya Msingi Oysterbay wakichenza ngoma za asili kwenye mahafali ya mwaka 1987. Je, wa sasa wanaweza cheza ngoma?
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi walioharibika waliolelewa na mzazi moja hutokea upande wa single mama?

    Kuna wanaokuwa vizuri lakini tuwaangalie wale walioharibika Husika na kichwa cha habari, Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…