watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Uingereza kupiga marufuku vapes ili kuzuia kutumiwa na Watoto

    Serikali ya Uingereza inatarajia kupiga marufuku matumizi ya Sigara za Kielektroniki ikiwa ni sehemu ya mipango ya kukabiliana na ongezeko la matumizi makubwa ya vijana katika uvutaji huo. Takwimu za Shirika la kutoa Misaada la Action on Smoking and Health (Ash) limeema 7.6% ya Watoto wenye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ndugu yetu aliyekamatwa kwa kuzuia Watoto kwenda shule mbona hapewi dhamana na Polisi?

    Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu. Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la...
  3. JamiiForums Tanzania Gwajima: Mama katili anaetesa watoto wa kufikia amekamatwa

    Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, ametoa taarifa juu ya kushikiliwa kwa muhusika aliewanyanyasa watoto wake wa kufikia. Waziri Gwajima ameandika kwenye ukurasa wake wa "X", "Video fupi inayozunguka mitandaoni na yenye kipande...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Mama wa kambo awatesa watoto wa kufikia (Inasikitisha sana)

    Hili ni tukio la kweli. UNYANYASAJI KWA WATOTO NI KOSA KISHERIA, TOA TAARIFA UNAPOONA MATUKIO YA NAMNA HII KWENYE JAMII.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mliopanga kuipa Taifa Stars 1.2 Bilion kwa mchezo wa leo hata wakifungwa wapeni Milioni 600 kama kifuta jasho please

    Leo kila Mtanzania anafaraja kwamba baada ya kujitafuta sana leo tumejipata. Siyo kwamba hatuna team ila team inayopelekwa mbele inakosewa. Kikosi cha leo kuna watu waliwaambia kuna 1.2 bilioni, natambua walisema hivyo hawakumaanisha ila tuwashinikize watekeleze. Kama waliweza kuahidi fedha...
  6. JamiiForums Tanzania Wazazi msifiche watoto wenyewe ulemavu, usonji na down syndrome

    Hali ya kuwaficha watoto wenye ulemavu, kama vile wale wenye ugonjwa mfanano(Down syndrome) na usonji (autism), ni suala linaloathiri haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya elimu, kucheza na kujumuika na wenzao katika jamii. Wazazi wengi wanaweza kufanya hivyo kwa sababu ya hisia za...
  7. JamiiForums Tanzania Mkaguzi Kata: Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii isiyo na uhalifu

    Mkaguzi kata Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii Isiyo na uhalifu, atoa madaftari kwa Salim. Mkaguzi Kata ya Kerege, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Suleiman Ameir amewataka wazazi wa kata hiyo iliyopo Wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga Kuhakikisha watoto wanapata elimu ambayo itawakomboa kifikra...
  8. JamiiForums Tanzania Wenye watoto wadogo

    Hivi imewahi kuwatokea mtoto wenu mdogo kamkazania au kumng'ang'ania a stranger ambaye hamjui kamuona tu ila fasta anamkazania hata kumlilia?
  9. JamiiForums Tanzania Tukio la Ubakaji shuleni: Wazazi muwe Makini na watoto mnaopeleka shule za Bweni

    TUKIO LA UBAKAJI SHULENI: WAZAZI MUWE MAKINI NA WATOTO MNAOPELEKA SHULE ZA BWENI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwaka 2016 nilipata kibarua cha kujiegesha katika shule ya binafsi maeneo ya Mwembe Mtengu, Kigamboni. Ile shule nikakuta waalimu wengine vijana ambao ni rika langu. Hapakuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Joto Kali: Wanawake Wajawazito na Watoto Wachanga Waathirika Zaidi

    Wanawake wajawazito wanaweza kuwa hatarini zaidi wakati wa joto kali kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Joto kali linaweza kuzidi uwezo wa mwili wa kudhibiti joto la mama mjamzito, na hii inaweza kuongeza hatari ya matatizo wakati wa ujauzito na kujifungua. Muda wa kujifungua, wanawake...
  11. JamiiForums Tanzania Fountain Gate Academy Tabata rekebisheni Barabara za kuingia Shuleni, mnatesa Watoto

    Jana nimepita mitaa ya Shule ya Moja ya Shule za Fountain Gate iliyopo Tabata Sigara jijini Dar es Salaam, nimekutana na tatizo kubwa sana la Barabara inayoingia katika Shule hiyo, na mbaya zaidi ni Barabara inayotumika na Watoto kufika shuleni hapo cha kushangaza barabara hiyo imekuwa mbovu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la Ajira kwa Watoto: Serikali Ichukue hatua kuchangia Elimu Bora na kulinda haki za Watoto

    Watoto wa umri kati ya miaka 5-17 wengi wao wanakumbwa na hali ya kulazimika kufanya kazi badala ya kwenda shuleni. Baadhi yao hulazimishwa kufanya kazi ili kusaidia familia zao na wengine hupata changamoto ya kushindwa kusoma kwa sababu ya majukumu ya kazi wanayopewa. Hii kusababisha wanafunzi...
  13. JamiiForums Tanzania Namna bora ya Kuwasaidia Watoto wenye Usonji nchini Tanzania

    Usonji ni ugonjwa wa ukuaji unaoathiri idadi kubwa ya watoto duniani kote, ikiwa ni pamoja na wale wa Tanzania. Kwa bahati mbaya, kutokana na miundombinu duni ya nchi nyingi na rasilimali chache, hususani katika kusaidia watoto wenye usonji juhudi nyingi zimeonekana kukutana na changamoto...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Magaidi wa ADF wauawa na watoto mateka waokolewa

    Magaidi ya ADF ambayo ni mlengo wa magaidi ya Islamic State (dola la kiislamu) yameuawa na wanajeshi wa Uganda na DRC, pia watoto na akina mama walioshikiliwa mateka wakombolewa. Jamaa wamewahishwa kwa mabikira. ========= Three rebels were killed, and eight individuals, including five children...
  15. JamiiForums Tanzania Swali; Baba watoto hao wanacheza mpira?

    wakuu habari za uzima? Nipo hapa na mwanangu tunaangalia mpira.kipindi unaanza aliona hawa watoto wanaoingia pamoja na wachezaji akaniuliza. Baba hao watoto na wao wanacheza, nikamjibu hapana. Akauliza sasa wanafanya nini humo, imebidi nidanganye kwamba hao ni baba zao wamewasindikiza. Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi Wilayani Ludewa tuwapeleke watoto shuleni

    WAZAZI NA WALEZI WILAYANI LUDEWA TUWAPELEKE WATOTO MASHULENI Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva ametoa rai kwa wazazi wote kuhakikisha Watoto ambao wamefikia umri wa kuanza masomo ya Awali, Darasa la Kwanza na wanaoanza Kidato cha Kwanza- kwa mwaka wa masomo 2024 kufanya hima...
  17. JamiiForums Tanzania Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

    Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33)...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded NHIF watumie mfumo wa fingerprint scanner kutambua wanufaika/ watoto badala ya kusumbua wazazi

    Habari wadau. Kumekuwa na wimbi la wafanyakazi wa NHIF waliopo mahospitali kuwataka wazazi wabadilishe vitambulisho vya watoto kwakuwa picha zilizopo kwenye vitambulisho hazifanani na watoto kutokana na kubadilika. Mimi hiki sikatai. Watoto wadogo wako katika hatua ya makuzi si jambo la...
  19. JamiiForums Tanzania Namna za kuongeza Usalama wa Mitandao kwa Watoto

    Kwa kuenea kwa teknolojia na intaneti, watoto wengi wanakua kama watumiaji wa kidijitali na wapenzi wa mitandao ya kijamii. Ingawa kuna faida nyingi za matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto, kuna hatari kadhaa kama vile kutolewa kwa maudhui yasiyofaa, uhusiano na watu wasiojulikana, na...
  20. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Baada ya Shule kuandikisha Wanafunzi Watatu tu, Serikali yaanzisha msako kutafuta Watoto waliopo mtaani

    Siku chache baada ya JamiiForums kuripoti juu ya Shule ya Msingi ya Mlembea Wilayani Rombo kuandikisha Wanafunzi Watatu pekee wa Darasa la Kwanza, baadhi ya Wananchi wamedai moja ya changamoto inayosababisha hali hiyo ni uongozi wa Shule. Mwananchi mmoja amesema “Watoto wangu wawili wamesoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…