watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 John Mrema: Watoto wanaotaka kujiandikisha waende na cheti cha kuzaliwa

  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)

    Awali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forums kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu. Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika shule ya binafsi (Experancia) iliyoko wilaya ya Sengerema. 1. Watoto wanapatiwa adhabu zenye kuwazidi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yajipanga kuzuia watoto kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wabaini madudu haya

    Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watoto kuimbishwa nyimbo za kuwasifu Wanasiasa si sawa, huenda wakikua watajutia kama nilivyojuta

    Wakati nipo shule ya msingi miaka iliyopita nilichaguliwa kushiriki paredi na kuimbisha nyimbo kwenye paredi hiyo, nakumbuka mpaka leo nyimbo zile, nyingi zilikuwa za kumpigia chapuo Rais fulani kwani ilikuwa karibu na uchaguzi japo nimekuja kutambua shughuli ile vizuri baad ya kukua, kw wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya? Je wanakuwa wanapenda au ni matapeli tu?

    Dada: money penny nisaidie Money penny: ndio boss Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa Money penny: ndio boss Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mzee atoa machozi kisa mke wake. Watoto acheni ubaguzi badilikeni.

    Kuna siku nilikuwa nipo sehemu. Watu wakawa wanapiga stori kuhusu wamama kuwafungia vioo waume zao kwa watoto wao ili wasipate msaada. Yaani mama anawaambia watoto wake kuwa baba yenu mkimtumia hela anaimalizia kwa wanawake, pombe etc. ili mradi tu mme wake hasitumiwe hela. Muda mwingine maneno...
  7. JamiiForums Tanzania DC Mwangwala: Familia zimegeuka na kuwa taasisi zinayojikita zaidi kwenye uchumi badala ya malezi

    Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, leo Oktoba 12, 2024 amezindua kampeni ya Tuwaambie kabla hawajaharibiwa wilayani Moshi, katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Polisi Moshi Tanzania (TPS). Akizungumza wakati wa...
  8. JamiiForums Tanzania Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  9. JamiiForums Tanzania Maoni Juu ya Juhudi za Serikali katika Matukio ya kupotea kwa Watoto

    Tukio la kupotea kwa mtoto Joel Johannes Mariki linaibua maswali kuhusu uwezo wa serikali kushughulikia matukio ya dharura kama haya. Pamoja na jitihada zilizofanyika, ni wazi kuwa kulikuwa na changamoto katika utafutaji, hasa kutokana na ukosefu wa matumizi ya teknolojia za kisasa na rasilimali...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi msilee watoto kwa mantiki ya kujiwekezea baadae

    Wazazi achaneni na mawazo ya kuwasomesha watoto ili kwamba wakishakua na kuanza kazi waanze kuwagharamia kwa mishahara yao! Kulea watoto ni jukumu la mzazi yeyote alieamua kuanzisha familia na si uwekezaji. Achaneni na hii dhana.😩
  11. JamiiForums Tanzania Pemba kunahitajika zaidi elimu ya uzazi wa mpango, Watoto wanateseka

    Naandika andiko hili fupi nikiwa Unguja - Zanzibar baada ya safari ya takribani Wiki Mbili nikiwa kisiwani Pemba. Mimi ni Mwandishi wa habari na nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi Tanzania bara na Visiwani ila nilichokikuta Pemba bado kinanijastaajabisha hadi sasa naandika andiko hili...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi mnaolinda sana watoto kupitiliza, mnawaandaaje kukabiliana na maisha halisi ya hapa Bongo?

    Watoto wana haki ya kudeka na kufaidi matunda ya wazazi lakini ni muhimu pia wao wajifunze kuwajenga uwezo wa kujisimamia bila backup ya mzazi. Kwa maisha ya kiuhalisia ya hapa bongo lolote laweza tokea ila angalau mtu ajue kujifulia nguo, kuweza kutumia usafiri wa umma, kuweza kula vyakula...
  13. JamiiForums Tanzania Good News: Nimepata watoto mapacha mmoja Benjamin mwingine Netanyahu

    Karibuni duniani mashujaa Benjamin na Netanyahu, kuna nguvu kubwa kwenye majina yenu.
  14. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya jinsia moja kwa watoto wa kike Zanzibar yashika kasi! Wanaharakati, Wanasiasa, Jamii na Serikali wanena

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR. ‘ZANZIBAR ni njema atakaye na aje’, Msemo huu ni maarufu sana visiwani haapa, na kwamba umetokana na ukarimu wa watu wake tangu asili na asili. Bila ya shaka hakuna asiejua kuwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiishi kwa msingi ya kiimani inayopelekea kuishi kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wale Mnaooa Wanawake Wenye Watoto, Mshauri Wenu Huyu Hapa!.

  16. JamiiForums Tanzania Family bedroom kama man watoto under teenage

    Wanasema kuzaa si kazi kazi ni kulea, unaposafiri na under teenage unawajibika kuhakikisha usalama wao ikiwezekana una lala nao chumba kimoja.
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kwetu wakristo watoto wa nje wana haki sawa ya kurithi mali kama watoto wa ndani ya ndoa, Dada wa Arusha awape mali watoto wa Housegirl

    Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje. Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Wazazi Temeke Hawawajibiki Vizuri Kulea Watoto wao

    “Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto. Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya kulinda watoto wetu na hili kuna mfano mzuri sana shule za temeke ambazo watoto wa shule za msingi na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kutengeneza bembea za kisasa kwa michezo ya watoto

    Habari zenu wakuu. Natafuta fundi ambaye anaweza kutengeneza bembea za kisasa Kwa michezo ya watoto. Location. Morogoro mjini
  20. JamiiForums Tanzania Watoto wa nje ya ndoa hawana haki ya kurithi mali zilizopatikana ndàni ya ndoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hapa kûna terminologies(istilahi) kadhaa Ambazo sharti nizitolee maelezo Kabla sijaendelea mbele kwèñye hili àndiko. Istilahi hizô NI kama Ifuatavyo: 1. NDOA 2. Mtoto wa nje ya Ndoa 3. HAKI 4. Urithi 5. Watoto wa ndàni ya Ndoa. 6. Mali Ndoa ni Makubaliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…