watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Marekani wana haki kudai kwenda na watoto wao kazini kama Elon Musk?

    Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana! Haya madai yana mashiko?
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kagera - Mwassa: Wazazi pambaneni Watoto wenu wasiwe machawa

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya kutumia muda mwingi kujipendekeza na kuwa machawa. Mwassa ametoa kauli hiyo Februari 11, 2025 kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Waislamu amkeni sasa, mtaala mpya wa elimu hauna nafasi ya kuwabeba kiujanja watoto wenu!

    Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Mjumbe wa kamati kuu UWT-Taifa achangia bati 40 kwa familia ya watoto yatima

    Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri. Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya Handeni Bi Mariam Mwanilwa amechangia Bati 40 kwa familia ya watoto Yatima 6 iliyopo Mtaa wa Zizini...
  5. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali: Polisi walikosea kuwaua walioteka watoto Mwanza

    "Watekaji wawili walikuwa wanajihami kwa mapanga lakini askari polisi zaidi ya 20 walishindwa kuwadhibiti wahalifu hao wawili wenye mapanga na kulazimika kuwapiga risasi. Yani askari zaidi ya 20 wanashindwa kuwadhibiti wahalifu wawili wenye mapanga na kulazimika kuwaua kwa mbali kwa kuwapiga...
  6. JamiiForums Tanzania MTAALA MPYA WA ELIMU: Kilio kipya kwa watoto wa maskini na janga la kizazi chao chote!

    Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo. 1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka. 2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila...
  7. JamiiForums Tanzania Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto mwenye umri wa miaka sita akutwa amefariki kwenye korongo la maji, wazazi tukumbuke usalama wa watoto kipindi hiki cha mvua

    Wakuu kipindi hiki cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa ni hatari kwa usalama wa watoto wadogo, wazazi tuwe makini na watoto wetu hasa maeneo wanayocheza na kuwadhibiti kutoka nyumbani pindi mvua zinaponyesha ili tuwaepushe na hatari hizi. ===== Mtoto Aliyefahamika Kwa Jina La Vicent Konga...
  9. JamiiForums Tanzania Namna ambavyo watoto wa kike wanavyoandaliwa kuwa viongozi wakiwa skulini

    anaongeza kuwa klabu za uongozi ni msingi wakuwajenga wasichana kujiamini na kuwa viongozi wa baadaye. Kwa Skuli ya Benmbella, Mwalimu Bakari Mohammed anaeleza kuwa uchaguzi wa serikali za wanafunzi unawahamasisha watoto kujiamini. Rais wa wanafunzi huchagua baraza lake la mawaziri na kushiriki...
  10. JamiiForums Tanzania VIDEO: Watoto hawa wanatrend Afrika, wateka Mioyo ya wengi – umejifunza nini?

    Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda?
  11. JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia yawaliza watoto wa Jenerali Kiwelu

    Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiitaka Mahakama kutenda haki kwa usawa na wakati, watoto wa aliyekuwa Jenerali Tumainieli Kiwelu wanaomba shauri lao la kuondolewa kwa wasimamizi wa mirathi ya baba yao lililofunguliwa May,2024 limalizike. Rais Samia akiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya Sheria...
  12. JamiiForums Tanzania Tuwaache watoto wawe watoto.

    Siungi mkono mtoto mdogo kama huyu kuingizwa kwenye harakati za siasa. Tunaandaa taifa gani? Huyu aachwe kwanza acheze na wenzake na kufurahia ladha nzuri ya uji. https://www.instagram.com/reel/DFkLCcJO978/?igsh=MXd3cWZuYmNpYzlmbg==
  13. JamiiForums Tanzania Mgomo wa walimu hautakoma, tunaua watoto wetu

    Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge Walimu nao wamegoma Na mgomo haukutangazwa hadharani Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni wanayopewa na Serikali 1. Watoto wa shule wana muda mrefu wa kucheza tu Yaani walimu ikifika saa 4...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake

    Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake
  15. JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wengi hawapendi kuitwa majina yao halisi na watoto wao?

    Kwa mfano baba anaitwa Juma hatotaka mwanae amuite wee Juma Ila atataka amuite baba au mama anaitwa Esta. Hatoruhusu mtoto wake amuite Esta Ila amuite mama.Je Kuna shida gani mwanao akikuita jina lako?
  16. JamiiForums Tanzania Mungu hawasaidie sana watoto wa kiume tamaa inawamaliza

    Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kwamba maisha siyo tu kuhusu NGONO. Kuanzia mwanzo wa mazungumzo hadi mnapofika kitandani, na hata mkiwa juu ya kila mmoja, kila kitu kinahisi vizuri. Lakini mchezo hubadilika mara tu unapomwaga mbegu. Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kuwa ulikuwa unafanya...
  17. JamiiForums Tanzania Wazazi waambieni ukweli watoto wenu kuhusu uchumi na mahusiano!

    Wazazi wakiafrika ni kama mmezubaa sana, mfumo wa uchumi ni zaidi ya kumsomesha mtoto na angojee ajira!. Kuna jitihada fulani lazima zifanyike pia ndani ya familia kuhusu watoto wako na maswala ya uchumi. kutokupata elimu ya uchumi walau kwa uchache inapelekea vijana waingie kwenye vitu vya...
  18. JamiiForums Tanzania Anayewahamasisha mtoe watoto English Elementary ndio huyo ana support bunge la Iraq kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa

    Mhamasishaji wenu: https://www.jamiiforums.com/threads/nasimama-na-bunge-la-iraqwi.2301833/ Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza kutiki one by one hadi unamchukua mazima. Anaewaambia mtoe watoto elementary eti mnapoteza hela ndio...
  19. JamiiForums Tanzania What is so special kuhusu kurudisha watoto kayumba hadi mje kudiss shule za English Elementary humu? Mtutajie basi na matumizi mengine mnayobana

    Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kwenda bar kwa maana chupa 2 mbili tu kwa kila siku 364 za mwaka mzima sio chini ya 500,000 kwa mwaka. Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kuchukua wale mademu wa Telegram kwa maana demu mmoja tuseme 30,000 mara tatu kwa mwezi ni sawa na 90,000 kwa...
  20. JamiiForums Tanzania palm mall kibada kwa steven kigambon.ushauri weka michezo ya watoto

    hongera yoyote aliyejenga pale ila angetaka kumaliza mchezo aweke michezob ya watoto kama pale city mall. utapata wateja sana. naomba kushauri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…