Yani mtoto akilia sana hanyamazi, anaitwa Anko mwenye sura ngumu, anamwambia “we we, ntakumeza” bas mtoto alimuangalia anaona hili li monster linaweza nimaliza kweli, dogo ananyamaza. Akilia tena anaambiwa tunamuita Anko.
Hapo inakwambia kua
1. handsomeness is kind
2. Handsomeness is peace...