watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jambo hili limenishangaza sana tuwe makini na malezi ya watoto wetu

    Wakuu, Majuzi kati nilienda kumsalimia kaka yangu. Kaka huyu anaishi na mkewe na watoto wawili wa kike. Hawajafika miaka kumi. Kwa bahati mbaya wakati nafika mkewe braza (shemeji) naye alikuwa anasafiri kwenda kwao kwani kutakuwa na sherehe, hivyo braza na watoto watakuja kesho kutwa yake...
  2. JamiiForums Tanzania Je, mabinti wa shule walaumiwe kwa kushika mimba?

    Habare comrades Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi msiwapangie au kuwatafutia wachumba watoto wenu

    Wazazi msiwapangie au kuwatafutia wachumba watoto wenu. Kuna rafiki yangu mmoja tumeshibana sana.Tangu shule ya msingi mpaka sasa hivi nywele zinakaribia kubadilika rangi. Baada tu ya kuhitimu chuo kwa upande wangu nilitafuta mke anayeendana na mahitaji yangu,kuanzia muonekano n.k na kuishi...
  4. JamiiForums Tanzania Kitendo cha "jinamizi mimba za watoto wa shule" kushika kasi kinatufunza kuwa, viongozi tusiongee kila jambo hadharani

    Wanafunzi wa kike wakishapata mimba walikuwa wanakabiliwa sana na mazingira magumu ya kurudi shule tangia enzi za Kikwete. Na katika kipindi chote hicho hakukuwa na tatizo. Shida ni maneno ya kejeli yaliyotolewa na viongozi wa awamu ya tano juu ya jambo hili. Maneno ambayo hayapaswi kamwe...
  5. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Baba atelekeza watoto 5 alioachiwa

    Sasa ni kama watoto yatima wanaolelewa na mlezi, lakini wazazi wao wako hai. Watoto hao watano wa familia moja-- wa kwanza akiwa na umri wa miaka 12 na wa mwisho mwaka mmoja, walitelekezwa na wazazi wao kwenye nyumba iliyobomoka iliyo mtaa wa Kazima, Manispaa ya Mpanda mkoani Rukwa na sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Rwanda yadaiwa kuwafunga na kuwatesa watoto wa mitaani

    Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema Rwanda inataka kuhalalisha mchakato unaoonekana kuwa wa maonevu wa kuwakamata na kuwafungia watoto wa mitaani kwa kisingizio cha kuwabadilisha tabia. Kulingana na Lewis Mudge mkurugenzi wa shirika hilo upande wa Afrika ya...
  8. JamiiForums Tanzania Watoto wa wapiga kura wanakosoma VS Watoto wa wapigiwa kura wanakosoma

    Wanasiasa/Viongozi wa serikali ambao wanaongoza kutokana na chama chao cha siasa kushinda uchaguzi. Hao ndio wanaoweka sera katika kufanya taifa liendelee kizazi mpaka kizazi. Serikali iliyopo madarakani viongozi wengi watot wao wanasoma Feza kwa mfano watoto wa Magufuli,Mwigulu,Bagaile in...
  9. JamiiForums Tanzania UN: Watoto milioni 258 duniani hawaendi shule

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuna mgogoro mkubwa wa elimu duniani hivi sasa, na kwamba watoto zaidi ya milioni 258 walio chini ya umri wa miaka 17 hawaendi shule. Amina Mohammed alisema hayo jana Ijumaa katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wametufungaje kwa mfano?

    Kocha OGS alikuwa na sabb gani kumtoa Will, Ole ameniudhi sana. Katimu kakuongezea kujaza point unakaacha kana tupigaje ?? Sasa!! Kwa nn ole amekaa tu anaangalia uwanjani, ina maana haoni failure akaswirtch game kubadili mfumo, move nk Si Bora angeenda kulala tu.?!!
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi 17,000 kuanza kusakwa watoto kukacha kidato cha kwanza

    Serikali ya Mkoa wa Mtwara imesema itaanza kuwasaka wazazi ambao watoto wao wameshindwa kuripoti shuleni kuanza kidato cha kwanza mwaka huu. Wanafunzi hao wa kidato cha kwanza wameshindwa kuripoti shuleni, huku idadi ya waliofaulu ni zaidi ya 20,000, hivyo serikali kuagiza wazazi wote waliogoma...
  12. JamiiForums Tanzania Embu tujuzane mafanikio yakoje au muitikio ukoje wa utelekezaji wa rai ya kufyatua watoto?

    Habari wana JF Mwenye Enzi Mungu aliagize nendeni mkaijaze dunia. Muheshimiwa Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli naye alitoa rai kwa wananchi wa Tanzania wafyatue watoto. Huu ni mwaka mpya, mimi tayari nimefyatua kamoja mwaka jana na nina mpango wa kufyatua kingine mwaka huu, sasa sijui wewe...
  13. JamiiForums Tanzania Changamoto zinazo walazimisha watoto kuacha masomo Sudan

    Utafiti uliofanywa na wizara na Unicef Utafiti uliofanywa na Wizara ya Elimu kwa ushirikiano na UNICEF umebaini kuwa zaidi ya watoto milioni 3 hawahudhurii masomo nchini Sudan Watoto wa Sudan huondoka nyumbani kutafuta ajira kila siku badala ya kuhudhuria masomo, kutokana na umasikini...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Watoto na Wajukuu wa Marais wastaafu tunawahudumia pia?

    Nafahamu kwamba tunawahudumia kama nchi familia ya Rais aliyeko madarakani kwa maana ya malazi, chakula, usafiri, ulinzi, Elimu mpaka harusi na mazishi. Sasa je, hiyo huduma huwa inakoma wanapomaliza Urais au inaendelea? Na je kama inaendelea ni wapi mwisho? Nafahamu kama Raisi mstaafu...
  15. JamiiForums Tanzania Vifo vya wajawazito, watoto vyapungua Njombe. Dk. Ndugulile atoa pongezi

    Mkoa wa Njombe umepongezwa kwa kupunguza vifo vya kinamama kutoka 250 kwa vizazi hai laki moja mwaka 2005 hadi vifo 94.8 huku vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano vikitoka 51 hadi vifo viwili kwa kila vizazi hai 1,000 Desemba 2019. Pongezi hizo zilitolewa jana na Naibu Waziri wa Afya...
  16. JamiiForums Tanzania Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti?

    Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti? Yaani Baba ana kanuni na taratibu hii, Mama ana kanuni na taratibu hii. Yapi maoni yako?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri kwa watoto kuanzia miaka mitatu

    Kuna post nyingi kuhusu kutafuta shule ninaamini ni jambo muhimu kwa kila mzazi. Ningependa uzi huu ndio uwe kimbilio la wengi kama unafahamu shule yoyote nzuri mkoa wowote mwaga sera zake hapa ada zake, mgawanyiko wa ulipaji. Mimi ningependa kufahamu shule nzuri kwa watoto kuanzia miaka...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto wa mitaani hawatendewi haki

    Watoto wa mitaani hawatendewi haki, walipaswa kuwa shule ila wanaachwa kuzagaa hovyo bila muelekeo. Watoto hawa wanapaswa kuwa chini ya uangalizi, RC yupo, ustawi wa jamii wapo, wanakula mishahara na kupishana chooni tu. Tunataka maelezo, mnakwama wapi? Napaza sauti kwa niaba ya watoto hawa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukioa mwanamke Mtutsi lazima apandikize mtoto wao kwenye watoto wako?

    Hii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda. Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako. bidada huyo atafanya juu chini agegedwe na ndugu Yake au mtutsi mwenzake aliyekaribu nae ili ampe mimba. Huyo mtoto anahesabiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Iringa: Matukio takribani 404 ya ukatili wa kingono kwa watoto yaripotiwa katika kipindi cha Januari mpaka Novemba mwaka 2019

    Mkoa wa Iringa kwa kipindi cha Januari mpaka Novemba 2019 umekuwa na matukio takribani 404 ya vitendo ya ukatili wa kingono kwa watoto ikiwa ni tatizo kubwa linalowakabili watoto katika malezi na makuzi yao nchini. Hayo yamebainika mkoani Iringa wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Afya, Mendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…