Poleni na majukumu wadau,
Story ipo hivii,,
Mtaani kwetu huku Sutimbi, kuna jamaa flani ni mchizi wangu kiaina maana tumefahamiana Bar miaka kadhaa iliyopita (tumwite Masudi) na mara nyingi tunakutana baada ya saa za kazi na weekends.
Jamaa anafanya kazi shirika flani la kimataifa linamlipa...