Umoja wa Mataifa (UN) unaadhimisha Siku ya Kichomi Duniani, Leo Novemba 12. Kichomi husababisha na Virusi, Bacteria au fangas na huweza kuzuilika kwa chanjo, chakula bora au kuwa katika mazingira sahihi.
Katika maadhimisho ya mwaka huu UN wamesema watoto 800,000 hufariki kila mwaka kwa kichomi...