watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi ya Museveni, Chato: Watoto wa nani watasoma humo?

    Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi TBC mnajielewa kweli? Saa 4 usiku mnaonyesha cartoons wakati watoto wameshalala

    Kwa kweli mna bore muda huu hata mngeweka picha ya Bushman ingependeza mnaweka cartoons kweli Kodi zetu ndio mnazitumia hivyo?
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini jezi za yanga za watoto hazina tangazo la sportpesa ila zinatangazo la gsmfoam mgongoni?

    Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ni chanzo cha masomo ya ziada kwa watoto

    Shule zinashindana kwenye ufaulu wa watoto kwa kushirikiana na wazazi wa watoto. Wanafanya hivyo kwa mbinu tofauti ikiwemo ya watoto kusoma masaa mengi hata weekend na long vacation, kuwakaririsha maswali ya mitihani na hata kuiiba mitihani yenyewe. Serikali Ina mchango mkubwa sana kwenye hili...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

    Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
  6. JamiiForums Tanzania Mfumo unaotoa tathmini ya Tija ya tution inayofanywa na walimu Nyumbani

    Habarini wana bodi. Thred hii iende kwa wazazi wote ambao wanajituma kwa mali na hali kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu yenye ubora na viwango kwa kuzingatia mafunzo muda wa ziada/tution. Kwa muda mrefu nimeshiriki katika kutoa tathmini ya maendeleo ya watoto ya kielimu kama...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Acheni tu Shule za Kishua kama za FEZA na St. Mary zifaulishe sana na zetu zifelishe

    Kwa nyakati tofauti Leo ( Jioni Saa 12 kuelekea Saa 1 ) nimepita katika hizi ( hizo ) Shule FEZA na St. Mary na kukuta Watoto wapo Kimya Madarasani mwao wanajisomea na nilipopita katika Shule za Kawaida ( za Mangumbaru ) nikawakuta Watoto wapo Madarasani wanavuta Bangi, wanaangalia Picha za...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

    SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO. Anaandika Robert Heriel. Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji aua watoto wawili wa kambo na kuwazika ndani

    Habari za kusikitisha kutokea Kaliua Tabora Baba wa Kambo amewaua watoto wake wawili kwa kuwaziba pumzi na kisha kuwazika ndani ya nyumba kabla ya kutoroka kusikojulikana Tukio Hilo limetokea Novemba 17, 2021 Wilayani Kaliua na kuthibitishwa na RPC wa Tabora Richard Abwao Chanzo cha mauaji...
  10. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fikiria unapata nguo Kama hizi kwa 5000 tu Bei ya jumla

    Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani, nimekurahisishia nguo Kali kwa bei poa
  11. JamiiForums Tanzania Baba tafuta muda uwe unakaa na mtoto/watoto wako

    Mawasalimu kwa jina la JMT. Nalishuhudia hili jambo. Kumbuka ewe baba umri unaenda itafika kipindi hauna nguvu za kufanya kazi, utakuwa umestaafu na utakuta haukujenga ukaribu na wanao. Watoto ni faraja ya uzeeni kaa nae vizuri. Tunajua Majukumu ya baba ni kutafuta riziki ya familia lakin...
  12. JamiiForums Tanzania Tunawatunza vyema watoto wetu?

    Jumla ya watoto 6,168 wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kati ya Januari hadi Desemba 2021, Bunge limeelezwa leo Ijumaa Novemba 12, 2021. Kati ya hao, watoto wa kike walikuwa 5,287 na wanaume ni 881 ambao kesi zao zikiripotiwa katika vituo vya Polisi nchini. Takwimu hizo zimetolewa bungeni na...
  13. JamiiForums Tanzania Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

    WAZAZI ACHENI UHUNI NA VISINGIZIO VYA KIPUUZI. TOENI URITHI KWA WATOTO. ELIMU SIO URITHI Anaandika Robert Heriel. Yule shahidi kutoka Nyota ya Tibeli. Andiko hili laweza waumiza wengi. Ikiwa unajihisi unamoyo dhaifu nakusihi usisome. Na ikiwa utasoma basi nisihusike na maumivu na madhara...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi kubwa sana la Ulimbukeni na ushamba kwa Watanzania hasa Mtu akijua kusoma na kuandika

    Dunia nzima ukisikia jina Ukechukwu, Obina directly linakupeleka kwenye asili yake. Ukisikia Patel, Sanjay, unapata asili yake. Ukisikia Yamamoto, Sadaaki Numata unapata mwanga huyo asili yake wapi. Hali kadhalika kwa Tanzania ukisikia majina kama Kamugisha, Aika, Bhoke unapata picha asili yao...
  15. JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na watoto wenu kuangalia muvi zenye superheroes Content

    Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii. Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content zinazotengenezwa na kampuni ya Marvel. Muvi hizi zinapendwa na watu wengi sana duniani wa rika zote na...
  16. JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa mwaka 1937, hawa vijana wawili wa mbele ni watoto wa wapigiwa kura, kule nyuma wamesimama watoto wa wapiga kura

    Wenye hats wanaliitwa toff kids.
  17. JamiiForums Tanzania Niger: Watoto wapatao 25 wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto

    Watoto wapatao 25 wenye umri kati ya miaka mitano na sita wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto Wengine kadhaa walijeruiwa wakati wa ajali hiyo ya moto ambayo ilitokea Jumatatu asubuhi wakati watoto wakiwa darasani wakisoma katika shule iliyopo eneo la Maradi. Chanzo cha moto huo bado...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Malawi kuna watoto wakali sana.

  19. JamiiForums Tanzania TUONGEE KIUME: Mwenzetu aliletewa watoto wake baa na mkewe...

    Kama una kawaida ya kwenda baa utakuwa unaelewa kuwa hiyo ndiyo sehemu hutokea mambo ya kushangaza zaidi ya sehemu yoyote ile. Nina uhakika ukiwa huko umewahi kushuhudia mzee mtu mzima akiwa amelewa chakari, amevua shati liko mabegani, anacheza wimbo wa ‘chizi karogwa tena’. Lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Kheri iwaendee wazazi wa watoto hawa wanaokuzwa katika maadili na hofu ya Mungu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…