wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Namba ya Huduma kwa Wateja ya Wizara ya Ardhi haipokelewi, siku nyingine haipatikani

    Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada wa kitaalamu unakuta namba haiiti na wameitangaza kwenye website ya wizara, au namba inaita ila...
  2. Nikifanya mapenzi na huyu mchepuko napata sana wateja siku hiyo

    NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO. Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo fulani linaloniumiza kichwa.Mimi nimfanyabiashara wa samaki hapa soko la samaki tanga ninamke nawatoto...
  3. Apple yafunguliwa Madai ya Tsh. Trilioni 10.19 kwa kulazimisha wateja kutumia huduma za iCloud

    Kundi la watumiaji huduma liitwalo Which? kutoka Uingereza, limefungua madai ya pauni bilioni 3 (zaidi ya Tsh. Trilioni 10.19) dhidi ya kampuni ya Apple, ikidai kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imekiuka sheria ya ushindani kwa "kulazimisha matumizi ya huduma zake za iCloud kwa wateja". Inasema...
  4. M

    Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  5. H

    Jumbe za matangazo na taarifa za serikali zimekuwakero kwetu wateja TCRA jitafakarini

    Habarini, Kwakweli sasa imekuwa kero kwa jumbe za matangazo,promotion,taarifa,nk kutoka serikalini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara,nk yaani kwa siku mmiliki wa simu/line anapokea zaidi ya jumbe 20. Kulingana na sheria ya mitandao huu ni usumbufu na kuingilia uhuru wa mteja kwani makampuni...
  6. Ni wapi naweza kupata wateja wa mifuko ya karatasi kwa jumla?

    Nawasalim kwa jina la jamhuri Wakuu nauliza wapi naweza kupata wateja wa hii mifuko ninategeneza na plani yangu ni kuongeza soko lake ili kujipatia kipato zaidi.
  7. Laini za Simu zilizosajiliwa nchini zafikia Milioni 80.7, Vodacom yaongoza kwa Wateja, TTCL na Airtel zashuka

    MAWASILIANO: Takwimu za Mawasiliano ya Huduma za Simu kwa Robo Mwaka (Juni - Septemba 2024) zinaonesha kulikuwa na ongezeko la Laini 4,137,981 za Mawasiliano ya Mtu kwa Mtu (P2P) na Laini Milioni 1.02 za Mawasiliano ya Mashine (M2M) hivyo kuwa na jumla ya Laini Milioni 80.7. Kwa mujibu wa...
  8. Dkt. Manguruwe anyooshewa kidole akidaiwa kufanya utapeli kwa baadhi ya wateja walioitikia kuwekeza kwenye kampuni yake

    Haya sasa sema kimeumana Dr. Manguruwe akaliwa kooni adaiwa katapeli watu. Bwebwe nyingi huko mtandaoni kumbe nyuma ya camera anayake mambo =================== Katika hali isiyokuwa ya kawaida na isiyotarajiwa kampuni ya Pig Investment International (Kijiji cha Nguruwe) inayomilikiwa na Simon...
  9. Wajue Aina ya wateja unaowataka kabla hujafungua biashara yako, itakusaidia

    Kwenye biashara tuna waza mambo mengi sana hasa Mitaji,maeneo,wafanyakazi,bidhaa,nk Lakini watu wengi sana huwa tunasahau jambo 1 kujua aina gani ya wateja unawahitaji katika biashara yako. Ukiwa kama mfanyabiashara kuna FACTS lazima ukubaliane nazo utake au usitake ukubali au usikubali. 1...
  10. E

    Nifundisheni namna ya kudili na wateja Wakopaji

    Wakuu, Kila nikifunga hesabu zaidi ya 20k inalala nje. Wote sio watakaolipa, sasa basi nipeni mbinu za kushughulika na hawa jamaa
  11. N

    Coca-cola na KFC watambulisha 'food pass'

    Kampuni ya Coca-Cola Tanzania imezindua kampeni maalum inayowalenga wateja wa migahawa ya KFC jijini Dar es Salaam, ambapo wanapata fursa ya kujipatia zawadi mbalimbali lakini pia kushiriki Tamasha la Chakula la Coca-Cola linalotarajiwa kufanyika Novemba. Kampeni hii, iitwayo ‘Food Pass’...
  12. B

    KERO Ni nani huvujisha siri za wateja wa mitandao ya simu?

    Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp. Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani jambo hili linafanyika kiasi cha kuathiri watu wengi hivi. Je ni kampuni za simu pekee ndio...
  13. Mamlaka inayosimamia ‘parking’ za gari iwajulishe Wateja kuhusu Madeni ya miaka ya nyuma na siyo kuwashtukiza na kutaka walipe papohapo

    Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki. Mamlaka...
  14. D

    Kampuni za mikopo mtaani zina mapungufu ya kibinadam sawa lakini pia na wateja wao (wakopaji) wengi wahuni tutazame kotekote

    Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap! Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya! Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji weledi wa juu sana kuweza kuwakumbusha Hekima ya biashara! Nitoe mfano hai! Jeshi la polisi lina...
  15. KERO Wapishi wa Keki za Shughuli Kuweni wasafi, Hizo picha za snapchat zinadanganya sana wateja wenu

    Salaam Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki. Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu wanaingia na ndala, hawana gloves yaani kikubwa tu keki ziive. Ushauri kwa mabwana afya na maafisa...
  16. Airtel mnatapeli wateja wenu wa router

    Mwezi uliopita nilienda Airtel shop kununua router kwa ajili ya internet. Nilipewa options mbili nipewe router bure na niwe nalipia kifurushi 110,000 kila mwezi au ninunue router 200,000 alafu niwe nalipia kifurushi 70,000 kila mwezi. Mi nikalipa 200,000 na kifurushi cha 70,000 kwa mwezi wa...
  17. P Diddy hana wateja wake Tanzania?

    Mwanamuziki wa Marekani, P Diddy amekumbwa na makosa mengi ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo sexual trafficking. Aliwasaidia baadhi ya watu kwa yeye kujifaidisha kwanza. Tuna watu hapa Tanzania ambao wameibuka kiuchumi from no where ambao huenda wamepitia magumu ya P Diddy na wenzake wa aina...
  18. Dkt. BITEKO na EWURA, Zuio la kuwauzia mafuta wateja wenye dumu (gallon) linaleta maafa vijijini kwa wakulima wanaotumia mashine za diesel na petrol

    Kuna hali mbaya inaendelea huku vijijini baada ya sheria, kanuni au amri ya kukataza wananchi wanaoenda vituo vya kuuzia mafuta na dumu au galoni wasiuziwe mafuta. Hii sheria au amri haikuzingatia maisha halisi ya nchi masikini kama Tanzania. Kuna mashine za kusaga nafaka, kukamua mafuta...
  19. VodaCom wamejipata sasa hivi hawana shida na wateja Kila ikifika jioni mtandao shida Huku kwetu

    Voda tuambieni kwa nn mtandao wenu unasuasua siku hizi au mmezidiwa na wateja Huku kwetu Mbeya. Huu sio uungwana...... Boresheni huduma kwa wateja.
  20. Usitoe ofa bila sababu unapoteza wateja badala yake tumia mbinu hii

    Mara nyingi huwa nakutana na matangazo Mtandaoni yanatangaza bidhaa na kunadi ofa ... Unakutana na Tangazo linasema OFA OFA OFA jipatie ......kwa bei ya ofa ,lakini ukiangalia sababu za yeye kutoa ofa hana . Hili ni kosa kubwa wanalofanya wafanya biashara wengi bila wao kujua . Dunia ya sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…