wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JINSI YA KUIFANYA BIASHARA YAKO IWAFIKIE WATU WENGI NA KUPATA WATEJA WAPYA

    Moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wafanyabiashara wengi ni kuwa na bidhaa au huduma nzuri, lakini watu wachache wanaofahamu uwepo wa biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuwa na bidhaa nzuri pekee hakutoshi. Unahitaji pia kuwa na mikakati sahihi ya kuitangaza biashara yako ili iwafikie watu...
  2. Paul Mchumi

    MBEYA NI KAMA BAJAJI NI NYINGI KULIKO IDADI YA WATEJA

    Kamwe usianzishe biashara kwasababu Umeona mwenzio ameanzisha na anapiga pesa. Kumbuka kila biashara inachangamoto zake,na inahitaji uzoefu flani. Jana nilikua Jiji la Mbeya ni kama BAJAJI NI NYINGI kuliko idadi ya watu wanaohitaji huduma hiyo(sina uhakika hii ni assumption tu). Nikawaza...
  3. A

    KERO KCMC University namba za huduma kwa wateja hazipatikani, hata e-mail za admission hazijibiwi

    Hawajaweka wazi "tuition fee ya program mpya ya Masters of Public Health Online, ada ya course mpya ya Geriatric Medicine hawajaweka wazi ada ni shingapi na ni course mpya. Pia, namba zao za huduma kwa wateja hazijawahi kupatikana. Najiuliza taasisi kubwa kama KCMC University inakuwaje wanaweka...
  4. S

    Vodacom kama huduma ya alipay na alibaba kulipia zimekufa waambieni wateja ukweli

    Wiki sasa toka nijaribu kufanya malipo alibaba au alipay huduma hamna ..alibaba inasema sytem maintanance alipay ndio hata invoice haziupload na zikiupload zinafail....Kama huduma hii imekufa waambie wateja watafute njia mbadala ....Service za huduma yenu hii haiendani na kasi ya dunia ya...
  5. youngkato

    Elimu inaweza kuwa njia ya kupata wateja

    Katika biashara, si lazima kila mara uanze kwa kuuza bidhaa au huduma zako. Wakati mwingine, njia bora ya kuvutia wateja ni kuwafundisha na kuwapa suluhisho la changamoto zao. Unaposhiriki elimu yenye manufaa kupitia mitandao ya kijamii, blogu au video: Unajenga uaminifu kwa wateja wako...
  6. Roving Journalist

    Shirika la Posta Tanzania: Tunaomba radhi kwa changamoto iliyojitokeza katika mfumo wa Namba za Huduma kwa Wateja

    Shirika la Posta Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza kutokana na changamoto ya kimfumo inayoathiri upatikanaji wa huduma za simu kupitia namba 0735 008 008. Wakati jitihada za kushughulikia changamoto zikiendelea, unaweza kuwasiliana nasi na kupata huduma kupitia namba zifuatazo...
  7. Nuel27

    KERO : Hivi inakuwaje taasisi za serikali zinatumia namba za huduma kwa wateja zisizopatikana

    Wanabodi hivi inakuwaje taasisi kubwa za serikali ambazo zinatakiwa kutoa huduma kwa jamii kidijitali au ana kwa ana zinakuwa zinatumia namba za huduma kwa wateja either zisizopokelewa au kutopatikana kabisa mfano zile FAX number huwezi kupiga kwa simu ya kawaida . Email napo changamoto...
  8. Vien

    Kama unatafuta watu wa kukuamini kwenye maisha yako, pambana sana ujenge imani kwa wateja wa kike kwenye biashara yako

    Najua unaweza kuona kama ni kitu cha ajabu, lakini ngoja nieleze kitu ambacho nimejifunza kupitia biashara zangu mwenyewe. Mwanamke akipata sehemu ambayo anaweza kununua bidhaa au kupata huduma bila hofu ya kudanganywa, akahudumiwa vizuri na kupata thamani ya pesa yake, kuna uwezekano mkubwa wa...
  9. Yoda

    Wauza chakula wapunguze shobo kuwekea wateja vitu hawajawauliza au kutaka

    Unaagiza chips mayai muuzaji anakuwekea anakujazia kachumbari, tomato, chili sauce ya kiwandani, pilipili, chumvi, malimao na kabichi mbichi kwenye sahani moja vyote bila hata kukuuliza kama unatumia unaanza kuchambua kutupa usivyokula Sio ustaarabu
  10. M

    Kuna tatizo gani kiwanda cha Tanzania distillers Ltd kuacha kuzalisha Valeur brandy? Wateja wanahangaika sana

    Kinywaji hiki pendwa hapa nchini kimetoweka kwenye soko. Kinapendwa sana na wateja wangu. Kama zaidi ya miezi mitatu kimepotea kwenye soko.
  11. Mad Max

    Mzee wa Madungu, Chris Lukosi, anawadanganya wateja wake anatest Aston Martin DB7 V12 wakati ni Aston Martin Vantage V8

    Sijui wivu au uchawi. Ila Kuna video nimeona amepost, anajisifu analeta Aston Martin DB7 V12, chuma ya James Bond, anaitest anaikanyaga mafuta mlio ukiusikia tu unajua hii V8. Pia milango inqonesha kabisa ni gari ya siku hizi, wakati DB7 iliishia 2004. Sijui, atawauzia Bei gani, ila Japan...
  12. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania yasisitiza Uhusiano wa Kibinadamu katika huduma kwa wateja katika enzi ya AI

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto), akikabidhi tuzo ya pongezi kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika utoaji wa huduma kwa wateja. Hafla hiyo ilifanyika wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma...
  13. A

    KERO Malalamiko kuhusu huduma kwa wagonjwa wanaotumia bima ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

    Kwa kuzingatia juhudi za Serikali za kuhamasisha mpango wa huduma ya afya kwa wote, ninajiuliza kuhusu hali inayoendelea katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, hususan namna wagonjwa wanaotumia bima ya afya wanavyohudumiwa. Kuna siku nilimpeleka mgonjwa wangu aliyekuwa na jeraha...
  14. Tijuana

    Jiko: PLATE 3 ZA GESI Uwezo: Linapika chips yai 3 kwa pamoja au sufuria tatu kwa pamoja. Linakupa urahisi wa kuhudumia wateja wa tatu kwa Pamoja.

    Jiko: PLATE 3 ZA GESI Uwezo: Linapika chips yai 3 kwa pamoja au sufuria tatu kwa pamoja. Linakupa urahisi wa kuhudumia wateja wa tatu kwa Pamoja. ⏭️3 Gas burners Status: Used like New Bei: 300,000/= Mob: 0716 161 683/WhatsApp
  15. A

    KERO Kampuni ya Kambele Investment ya Arusha inauza kiwanja kimoja kwa wateja wawili

    Nina hoja kuhusu Kambele Investment, Mianzini - Arusha, mnunuzi anadai kuwa kiwanja alichonunua kimeuzwa pia kwa mtu mwingine, pamoja na kufuatilia suala hilo kwa muda, bado anadai hajapata suluhisho wala stahiki zake. Tunaomba Wizara ya Ardhi na mamlaka husika kulifanyia uchunguzi suala hili...
  16. A

    KERO Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi

    Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha. Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
  17. S

    Faragha (Privacy) za Wateja wa Simu za Mkopo

    Wakuu Habarini za Siku ya Leo? Natumaini mu wazima wa Afya. Na wale wagonjwa nawaombea uponaji wa mapema ili waendelee na majukumu yao ya kila siku. Niende kwenye hoja. Mimi sikuwa mdau wa kukopa kopa simu ila, baada ya kuwa na kazi kadhaa zinazotumia charge ya simu kwa kasi na kumaliza charge...
  18. youngkato

    Unaweza kuwa fundi mzuri sana wa kuchomelea, lakini bado ukabaki fundi wa kusubiri wateja

    Unaweza kutengeneza milango mizuri, madirisha, mageti, grill, meza na bidhaa mbalimbali za chuma—lakini mwisho wa mwezi ukajiuliza: “Mbona nafanya kazi sana lakini biashara yangu haikui?” Tatizo linaweza lisiwe uwezo wako wa kuchomelea. Huenda kuna mambo muhimu ya kibiashara unayapuuza bila...
  19. N

    Wakuu nimezidiwa na wateja karibu ya wananchi 500k hadi nashindwa kuwamudu na nina wasiwasi wakiongezeka wataniliza na viatu

    wakuu kwema, ushawai kuanzisha kitu kikubwa ukawa wewe ndio utaki wateja ?
  20. A

    KERO Natumia laini ya Airtel na nimeihakiki mara mbili ila bado napata ujumbe “namba yako imesajili namba za uhalifu”

    Habari, Mimi ni mteja wa mtandao wa Airtel. Takriban wiki moja iliyopita, nilianza kupokea ujumbe unaonitaarifu kuwa namba yangu itafungwa. Ninapompigia mtu simu, ujumbe unaonekana ukisema kuwa “namba yako imesajili namba za uhalifu.” Hata hivyo, hili si jambo jipya. Awali nilishawahi kwenda...
Back
Top Bottom