watawala

Watawala is a village in Sri Lanka. It is located within Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Jenerali Ulimwengu: Watawala wala nia ya kumutesa Tundu Lissu

    Mwanahabari mkongwe Jenerali Ulimwengu akizungumza Msibani wakati wa mazishi ya Alute Mghwai Lissu katika uhusiano wao pamoja na Shtaka la Uhaini lililokuwa linamkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
  2. M

    Masheikh wa uamsho ni wakati sasa kuwakumbumbusha watawala

    Sheikh Mselemo alipofungwa alifiwa na mtoto wake, wakati ule Magufuli na ukatili wake wote alimruhusu alienda Zanziber kumzika mwanawe,kinachoshangaza hii leo Lisu kanyimwa hiyo haki ya kumzika kakayake? Inasikitisha na hii ilitakiwa iwe Headline ya magazine yote kuweka kumbukumbu sawa.
  3. R

    Unaona kabisa kuwa hukumu ya Lisu ni ya watawala, kwanini haijawekwa kwenye TANZLII. Ushahidi tosha kuwa iliandikwa na watawala kama Mange alivyosema

    Hukumu zote zinawekwa siku hio hiyo inapokuwa pronounced! Mpaka sasa haijawekwa. Mnaogopa nini kuiweka public? Nani anazuia isiwekwe public?
  4. Kingsharon92

    Ni suala la muda tu enyi watawala haramu mtavuna mlichopanda

    Mpaka muda huu roho yangu inaugulia maumivu makali sana ikiwa mti mbichi wameutenda kiasi hiki Tundu Lissu Itakuwaje kwa mti mkavu kwa watanganyika wasiojulikana kimataifa kama Lissu? Mmembambikia kesi ya uongo bado hata hamjali afya yake kweli Nduguru na wenzio ipo siku mtajuta kutumika, hata...
  5. C

    Askofu Emmaus Mwamakula: Hukumu ya Lissu ni batili, watawala wamejivua nguo hadharani

    Ndugu Watanzania! Nilitarajia kutoa kauli baadaye au kesho baada ya kufanya tafakuri ya kina kuhusu hukumu ya kifungo cha miaka 4 jela iliyotolewa kwa Lissu na Mahakama Kuu ya Tanzania. Lakini baada ya kutafutwa na watu wengi walioumizwa na hukumu hiyo, nimeona niandike machache kwa ajili ya...
  6. passioner255

    watawala wauaji na wapambe wake huwa mwisho wao ni mbaya

    Watawala wauaji na wapambe zao huwa mwisho wao ni mbaya.Hii ni kwa sababu damu hudai na pia huwa wanaviburi kiasi kwamba wanahalalisha mauaji.huu ndo muelekeo wa utawala huu ovu wa nchi yetu.haiepukiki.
  7. K

    PostGE2025 Anatomia ya Usaliti: Mwaka Mmoja wa Uchaguzi wa Mchongo, Samjo Samjo za Ikulu na Falsafa ya Watawala wasio na dhamiri

    Picha : Mwanga wa kumbukumbu katikati ya giza kuu: Mwaka mmoja tangu mioyo ya watanzania ilipojeruhiwa na dhihaka ya demokrasia. Leo imetumia rasmi mwaka mmoja tangu Taifa hili lishuhudie kile kinachobaki kuwa kovu kubwa la kisiasa katika kizazi chetu—Uchaguzi wa Mchongo wa Oktoba 29, 2025...
  8. BOB LUSE

    Ukikataa kufika bei kwa Watawala kifuatacho ni kukomolewa na kesi za Uhaini!

    Zamani ukisikia kesi za Uhaini, akina McGhee,Hans Pope, Tamim Ali,Uncle Thom. Na Wakili Maarufu Murtaza Lakha,unasisimuka kutaka kujua hawa watu Walijiamini na kujipanga vipi kumuondoa Mchonga Meno! Lakini kwa Sasa ukiwa na Msimamo Mkali,usipoyumbishwa na usipokuwa na Price Tag! Una...
  9. Manyanza

    Mwabukusi: TLS inakabiliwa wazi na mashambulizi ya watawala

    https://www.facebook.com/share/v/1FHUuAKTYz/ Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema taasisi hiyo inakabiliwa na mashambulizi ya wazi kutoka kwa watawala, kauli hiyo ameitoa muda mfupi baada ya kuitikia wito wa polisi. Kauli hiyo inakuja siku chache...
  10. Pfizer

    Watawala wametoa pole kwa Wicknell Chivayo lakini wameshindwa kutoa pole ajali iliyoua Watanzania 30

    Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika. Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua...
  11. M

    JE NI KWELI KANISA HALINA HAKI YA KUONYA AU KUKEMEA WATAWALA WAOVU? NA JE MAKONDA ALIKUWA SAHIHI KUONGEA YALE KWA KUJIVISHA UTUMISHI?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  12. M

    Je ni kweli Kanisa halina haki ya kuonya au kukemea Watawala waovu?, Na je Makonda alikuwa sahihi kuongea yale kwa kujivisha utumishi?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  13. R

    Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  14. BIOTOXINS

    Polisi maisha yenu ni magumu sana amkeni ,msitumiwe na watawala

    Polisi wetu ni njaa Kali lakini Cha kushangaza watatumika ovyo. ,au elimu ndo changamoto .amkeni amkeni . Ukiambiwa fanya jifanye haujaona au hukuelewa Askari mzima hata nauli ya kwenda kaazini Hauna alafu unabebeshwa libunduki uue raia aisee na Mtatumika mpaka lini Kama Hauna Cha...
  15. T

    Katiba tuliyonayo haijawahi kutungwa na wananchi maana yake ni kwamba watawala waliamua watutawaleje!?

    Ndugu zangu inahitaji moyo mkuu sana ili kuwa muumini wa katiba tuliyonayo nayo sasa, kwani mbali ya kuwa Ina mapungufu mengi haikuumdwa na raia bali iliundwa na viongozi Yaani watawala wanakubaliana kwa niaba ya watawaliwa Hii ni sawa na kuwe na kampuni mbili Moja inaninua nyingine inauza...
  16. M

    Tundu Lissu: Bob Marley aliimba hivi "Ukweli unaweza kuwa ni kosa la Jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi dhambi"

    "Kwa sababu mnaniuliza na rasta zangu, Bob Marley aliimba hivi: 'Ukweli unaweza ukawa ni kosa la jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi.' Truth may be an offense, it is never a sin. Asante sana. Asante, mi niko na nguvu, sitaki kuwachosha askari wangu... Ah nawapenda sana sitaki...
  17. Waufukweni

    HOJA Wazawa watatu hadi wanne pekee wanaanza kikosini Simba na Yanga, Taifa Stars iko salama kuelekea AFCON 2027?

    Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
  18. K

    Mtazamo wa maridhiano unaonesha kuwa ni kati ya watawala ambao ni serlikali na vyombo vya dola na watawaliwa ambao ni wananchi wakiongozwa na CHADEMA

    Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:- kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi CCM na wanaushawishi juu ya serikali. Kwenye kundi hili pia zipo baadhi ya Taasisi za dini kikristo...
  19. Idugunde

    Watawala wa kiafrika noma sana. Yaani hata kama haukubaliki unalazimisha kwa kuteka

    There is no good politics in Africa👇
  20. Mshana Jr

    Alikuwa karibu kuwa mmoja wa watawala wenye nguvu zaidi barani Ulaya

    Kisha tatizo dogo likatokea kwenye koo lake. Ndani ya miezi michache, Kaizari alikuwa hawezi kabisa kuongea. Na madaktari wake hawakuweza hata kukubaliana ni ugonjwa gani waliokuwa wanakabiliana nao. Mnamo mwaka 1887, Mwanamfalme Friedrich wa Ujerumani alipata tatizo ambalo hapo awali...
Back
Top Bottom