watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Kanali Laban awahimiza Watanzania kuwekeza katika maeneo ya Malikale

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas amewahimiza Watanzania na wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo ya Malikale ambazo zimetunza historia maridhawa ya nchi yetu, Aliyasema hayo leo tarehe 27.02.2024 katika Kilele cha Tamasha la Kumbukizi ya Mashujaa wa Vita vya...
  2. Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea. Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika...
  3. Watanzania wengi wanashindwa kumiliki Magari mapya kwasababu ya Utitiri wa Kodi

    Kama ni mfuatiliaji wa aina za Magari yanayomilikiwa na Watanzania walio wengi, utagundua kuwa asilimia kubwa wananunua Magari ambayo ni "Used" tena kwa miaka 10 au 15 nyuma, na yote ni sababu ya wingi wa Kodi za ajabu ajabu kutoka Mamlaka za nchi hii. Tofauti na ukienda nchi za wenzetu mfano...
  4. S

    Mtu anayeweza kutoa ushauri mzuri kwa Watanzania kuhusu mtindo wa maisha (lifestlye) ni Rais Mstaafu Mzee Ali Mwinyi

    Mungu amemjalia maisha marefu mzee wetu huyu, mpaka sasa anaikaribia miaka 100. Pamoja na kuwa tunasema ni kwa neema na kudra za mwenyezi Mungu lakini nina uhakika kuna mambo huwa anaepuka kuyafanya ama huyafanya kwa kiasi mpaka kuufikia umri huu. Basi ni muda umefika mzee wetu aulizwe ili...
  5. Taarifa kwa Umma wa watanzania na wana JamiiForums wote

    Tokea juzi Ijumaa Jioni hadi Alfajiri hii ya leo ID yangu hii ya GENTAMYCINE ilikuwa Imedukuliwa na Wahuni hivyo kama kuna Maudhui yoyote yaliandikwa tokea hiyo juzi hadi jana jua si yangu bali ni ya hao Wadukuaji Wahuni wakiongozwa na adriz, Dada Nifah, Popoma Tate Mkuu na Rafiki yangu...
  6. Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asokuwa na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili. Maumivu aloyapata marehem, wakati Chombo chenye ncha Kali kikipita Shingoni mwake , pengine akirusha miguu na mikono, Chombo che ncha kali...
  7. M

    Hayati Nyerere alifanya Watanzania tudharauliwe sana na nchi za nje hasa Zimbabwe na Kenya

    Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu. Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni. Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni. Wazimbabwe na...
  8. Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

    Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu. Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti...
  9. Je, sheria zikisimamiwa ipasavyo Watanzania wengi watapona haswa kwenye unyanyasi wa kingono?

    Habari wanajf Kama kichwa cha habari hapo kinavyosema, je ni kweli kibongo bongo wengi watapona? Tukichukulia mfano kilichomkuta huyo jamaa hapo chini ,sina hakika kama ni kweli hizo shutuma ila walianza kumuandama siku nyingi sana tangu akiwa Barcelona,natumai washapata ushahidi wa kutosha...
  10. LHRC: Hakuna anayewajibishwa licha ya Mgawo wa Umeme kuathiri Watanzania wengi

    Tamko la LHRC kuhusu hali ya Mgomo wa Umeme nchini la February 19, 2024 limeainisha hoja zifuatazo Hoja 5 za LHRC kuhusu Mgawo wa Umeme Nchini 1. Serikali imekuwa inatoa ahadi hewa kuwa tatizo la Umeme litaisha toka kipindi cha Mradi wa gesi 2012 hadi leo 2024 2. Kukatika kwa Umeme...
  11. Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza wataalam kufanya ukarabati wa miundombinu ya umeme kwa wakati ili kuwawezesha wananchi kupata huduma ya umeme ya uhakika. Dkt. Biteko amesema tabia ya kutobadilisha au kukarabati miundombinu kwa wakati pale inapoharibika...
  12. P

    Ramadhani Brothers waibuka washindi shindano la America's Got Talent Fantasy League, wanyakua Tsh milioni 637

    Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000. Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo. ==========For English Audience...
  13. Gerald Hando: Watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie. Asema majibu ya Janabi na Chalamila ni dharau kwa watanzania

    Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar. Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa...
  14. Waziri Mbarawa: Kuna haja ya kuongeza magati bandari. Watanzania kwenda Misri kujifunza jinsi ya uendeshaji wa Treni ya SGR

    Tanzania imepata ugeni kutoka Misri ukiongozwa na Waziri wa Uchukuzi wa Misri, Luteni Jenerali Kamel Alwazeer kwa lengo la kujifunza fursa za uwekezaji zilizopo Nchini Akizungumza wakati wa kuwakaribisha wageni hao, Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema “Sekta ya Uchukuzi, Serikali...
  15. Watanzania Huyu ni Nani?

    Mwenye kumfaham siyo kwa kumfananisha!.
  16. Uaminifu mdogo chanzo cha maisha magumu na umaskini kwa watanzania

    Salamu bongo ? Pita hivi rafiki wew 😂 Karibuni tena kwenye ulimwengu wa kibepari, ulimwengu wa BEBERU, Ipo hivi ndugu zangu, katika nchi yetu ya Tz, ukiacha sababu zilizo nje ya uwezo wetu kama siasa, na vitu ka hivyo ila sababu kuu ya kwanini waTz wengi hatuendelei ni kukosekana kwa UAMINIFU...
  17. TRIBUTE: Pumzika Lowassa. Kazi umekamilisha, umeacha alama, mwendo umeumaliza. Watanzania wazalendo tutakukumbuka daima-1

    Pumzika Lowassa Pumzika, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza, Pumzika!. Toka kumetokea msiba wa Edward Lowassa hapa Jamiiforums tukimuita kwa jina maarufu la Mwamba wa Kaskazini, ile Jumamosi iliyopita, mpaka leo, akisubiri kupumzishwa kwenye makao yake ya milele, hapo kesho Jumamosi, mimi...
  18. Zaidi ya %80 ya watanzania hawajafika chuo kikuu?

    Tukitumia evidence ya maoni ya WATANZANIA kwenye threads za Jamii forums na social platforms nyingine kama Facebook, IG nk, ni dhahiri kuwa Tanzania kama taifa, inabidi tubadilishiwe mfumo wetu wa elimu na tununue nguvu kazi kutoka nchi zilizopiga hatua kielimu waje kufundisha kwenye shule zetu...
  19. Lembeli: Watanzania waache tabia ya kumsifia mtu akishafariki dunia

    Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli amewaasa Watanzania kuacha tabia ya kumsifia mtu baada ya kufariki dunia wakati akiwa hai husemwa kwa ubaya. Lembeli amesema tabia hiyo inazidi kuchonganisha Taifa. Akimzungumzia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema kuna kipindi watu...
  20. Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…