watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania tuachaneni na imani zilizopitwa na wakati

    Habari zenu Watanzania, Jamani mfumo wa maisha umebadilika sana tupo ulimwengu wa Technolojia ya hali ya juu. Sababu ya kuandika uzi huu imetokana na kupokea habari ya msiba ya aliekuwa rafiki yangu ambae alikuwa anafanya kazi shirika la Umeme TANESCO kuwa amefariki. Story yenyewe ipo hivi...
  2. N

    Tundu Lissu ni almasi inayong'aa yenye kuleta matumaini kwa Watanzania

    Hakuna asiyemjua nguli huyu aliejipambanua kwa umahiri kwenye medani za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Tundu Lissu ni mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa utetezi wake wa demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria. Amekuwa Mbunge nchini Tanzania na amewahi...
  3. L

    Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza ndoto zao au kuinuka kiuchumi. Njia ambayo muda wote watu wanaona giza mbele yao,hawaoni wanakokwenda...
  4. Je tasnia ya habari imejiandaa na Program za Akili Bandia (Generative Artificial Intelligence) zenye uwezo wa kutengeneza Fake News and Misinformation

    Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji...
  5. B

    Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa. Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa...
  6. Watanzania tujifunze Kiswahili tuache ujanja ujanja!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikishangazwa na maneno haya mawili (2) ambayo yamekuwa yakitumika sana na jamii mbalimbali ya watanzania!. Maneno hayo ni :- 1.Uzuri 2.Urembo Haya ni maneno mawili tofauti,lakini watanzania wengi wamekuwa wakidhani ni neno moja...
  7. Kilichowakuta Wazambia tusipoangalia kinaweza kutukuta na Watanzania

    Miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu inajegwa na wakandarasi wa kigeni hasa Wachina, miradi hiyo mingi imesimama pesa ya kuwalipa hakuna. serikali inajaribu kuwashawishi waendelee kujenga kwa fedha zao na sisi tutalipa riba ambayo ni mzigo mkubwa kwa Nchi, yapo mambo mengi madogomadogo Mama...
  8. Tuzikatae propaganda za CCM, wanazodai kuwa Watanzania chini ya asilimia 5 ndiyo wanaolipa kodi nchini!

    Kumekuwa na propaganda zinazoendelea, ambazo zinaongozwa na wanaccm, zinazodai kuwa watanzania wanaolipa kodi, eti ni kama milioni 3, ambapo ni chini ya asilimia 5 ya watanzania wote milioni 60! Mimi nazikataa propaganda hizo za wanaccm Kwa nguvu zote, Kwa kuwa watanzania wanakamuliwa Kodi...
  9. Watanzania tuungane kupinga mabaya haya ya awamu ya sita

    Kwa umoja wetu, Tukiamini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Na kamwe watawala hawajawahi kuishinda nguvu ya umoja wa umma ambao ndiyo sisi watanzania, Tuungane kukemea, Kupinga na kuchukua hatua ikibidi kuwalazimisha kung'atuka au kutokurudia makosa kuwarudisha katika viti vyao wakati wa...
  10. U

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana na kukubali kuwa lipo tatizo ktk muungano huu linalostahili kutatuliwa sasa na sio kesho kama...
  11. SoC04 Maboresho ya Dawati la Jinsia ndani ya Idara ya Polisi, litaongeza Usalama kwa Watanzania

    Dawati la Jinsia ni kitengo kinachopambana na Ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto kilichopo ndani ya Idara ya Polisi Tanzania na kitengo hiki hupatikana katika vituo vingi vya polis hapa nchini. Dawati hili mbali na kushughulika na kesi za Ukatili, lakini pia kimekuwa kikitumika kwa...
  12. 90% ya Watanzania hawafahamu kama ziwa Tanganyika kuna Submarine kubwa sana

    Kama sio mfuatiliaji wa mambo au mvuvi unayefika kina kirefu ndani ya ziwa Tanganyika huwezi kujua hii inshu. Siku moja saa 8 usiku tulikuwa tuko katikati tunarekebisha nyavu, tukakutana na submarine nadhani walikuwa wanajaza mafuta. Ilikuwa ni kubwa sana japo kuwa asilimia kubwa ya chombo...
  13. Waziri Gwajima: Watanzania tuwe Makini na habari za Mtandaoni

    Tuwe makini na watu wanaoandaa taarifa za video kama ya huyu anaye 'trend' kwa video ya madai kuwa eti anafanya mapenzi na nyoka Ili kupata hela pamoja na video zingine zenye mlengo aina hii. Napenda KUIKUMBUSHA jamii kuwa: Ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu , Sura ya 16 ya Sheria za...
  14. N

    Hivi kwanini binadamu wana roho mbaya sana juu ya wanyama?

    Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe...
  15. S

    Uhasama wa Tanzania bara na Zanzibar unazidi kukua na utaleta madhara makubwa kama yanayosemwa hayatashughulikiwa

    Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota mizizi, majani ya chuki yakizidi kuchanua. Ni kiongozi mjinga tu asieweza kuona kwamba jinsi haya...
  16. C

    SoC04 Kwanini hatunufaiki sana na ubunifu wa Watanzania

    KWANINI HATUNUFAIKI SANA NA UBUNIFU WA WATANZANIA Ubunifu Ni uwezo alionao mtu au kikundi cha watu,kuvumbua/kugundua kuanzisha kitu Fulani kipya au cha tofauti chenye kuleta tija kwa jamii. Profesa Bessant ubunifu ni kile unachofikiria nakukifanya unavyotaka, ni kipawa alichonacho mtu.Ubunifu...
  17. C

    SoC04 Tuwaandae watanzania kutoitegemea TANESCO

    TUWAANDAE WATANZANIA KUTOITEGEMEA TANESCO UTANGULIZI Nchi yetu imepitia katika matatizo ya mara kwa mara ya ukatikaji wa umeme na mgao wa umeme kwa nchi nzima takribani miaka 30 sasa.Kwa miaka hiyo 30 Serikali zote zimekuwa na ahadi zenye matumaini ya kutatua kabisa changamoto ya...
  18. Watanzania tumeshindwa kuelewa kuwa sisi Afrika mashariki ndio wanatuona kama kioo cha jamii hususani Kenya

    Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki. Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan. Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania...
  19. SoC04 Afya bora kwa Watanzania na vizazi vijavyo

    Napendekeza yafuatayo katika sekta ya afya ili kuleta manufaa kwa Watanzania wote miaka ijayo. 1. Kuhakikisha vituo vyote vya afya vinakuwa na watoa huduma toshelevu kwa ngazi zote ili wahitaji wawe wanapata huduma ndani ya wakati. 2. Kujengwa kwa vituo vya afya vinavyokidhi mahitaji ya jamii...
  20. Watawala wa Tanzania wana akili kuwazidi Watanzania wote?

    Nauliza hivyo kutokana na kadhia za Muungano. Ingawa manung'uniko yamekuweko tokea mwanzo wa Muungano, watawala wekuwa kama vile wameziba masikio! Hawaambiliki, hawasikiki wala kushaurika. ~Wasomi wameshauri lakini wakapuuzwa ~ Wanasiasa wamepiga kelele lakini nao wakapuuzwa ~ Wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…