watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

    MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam...
  2. Sijui tunakwama wapi Watanzania!

    Nimekua nikisikiliza media mbalimbali kubwa duniani kama vile BBC, VIOA, DW, Aljazeera n.k ambazo zina endeshwa kwa kiingereza. Kwa muda wote huu, media hizi zimekua zikifanya coverage kubwa katika nchi nyingi barani Africa tofauti na nchi yetu, Tanzania. Nimekua nikijiuliza sana mbona kuna...
  3. M

    BBC: Watanzania waliopata chanjo ya COVID-19 ni asilimia 0.6 tu!

    Kwa mujibu wa habari hii iliyo katika tovuti ya BBC, Watanzania waliochanjwa ni asilimia 0.6 tu ya watu wote. Kujua asilimia za waliochanjwa katika nchi mbalimbali, bonyeza nchi husika kwenye ramani iliyo kwenye taarifa hii na utapata matokeo. https://www.bbc.com/news/world-56237778
  4. Waziri Mkuu: Uchanjaji sio lazima lakini ni muhimu

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema licha ya kwamba dalili za mlipuko zinaonekana kuwa nzuri, bado tatizo lipo hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kujikinga. Ameeleza, "Tuendelee kuwasikiliza Wataalamu wetu wa Afya, na yale masharti yote tunayotakiwa kufuata ni muhimu kufanya...
  5. M

    Hivi huku ni kukosa Elimu kwa baadhi ya Watanzania au ni nini? Nimeshangaa sana!

    Thread was deleted
  6. Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

    Habari! Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa. Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa". Watanzania katika...
  7. Kuna kundi limejipanga kuliibia taifa letu kwa udi na uvumba. Watanzania tuwe macho

    Hili kundi ni wanaCcm ambao wanajifanya wanaakili nyingi za kutuibia watanzania. Huko nyuma wametuibaia sana kwa kila namna, kwa kukwepa kodi, kukwapua pesa za umma na kujilimbikizia mali. Hawa watu hawafai kwa udi na uvumba. Sasa hivi ndio wanamuongoza chief wetu kwa kila namna. Kama taifa...
  8. Samia Suluhu Hassan ni Rais halali kabisa wa Tanzania, tusimdharau ila tumuombee afya, amani na azidishiwe hekima ya kutuongoza watanzania

    Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake. Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati...
  9. Kesi ya Mbowe na wenzake imetufumbua macho, haki za Watanzania zipo mikononi mwa Jeshi la polisi

    Sheria za Tanzania zipo wazi kabisa kuwa mtuhumiwa anatakiwa kukiri kwa hiari ili hiyo kiri iweze kutumika mahakamani. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania. Lakini kifungu cha 29 kinawapa kiburi polisi kupiga na kutesa watu maana kinasema kama mtu ataubaki...
  10. Video ya Watanzania waliotekwa Malawi yavuja, waomba msaada

    Hii ni video ya Madereva waliotekwa na kufichwa sehemu kusiko julikana huko malawi Iko hivi Madereva wa malori wa Malawi (sio wa Tanzania) wana mgomo wa kutaka kuongezewa mishahara. Katika hali hiyo, hayatakiwi malori yaonekane yakipita barabarani. Kwa hivyo wameteka malori yanayopita yote...
  11. L

    Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

    Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari. Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au...
  12. SoC01 Watanzania tuamke! Wenzetu wa Afrika Mashariki wanatutamani

    Tanzania ni miongoni mwa nchi sita (6) zinazounda jumuiya ya Afrika Mashariki yenye nchi za Uganda, Kenya, Rwanda, Sudani ya Kusini, Burundi na Tanzania yenyewe. Eneo lote la Afrika Mashariki (ukiondoa Sudani Kusini) linakadiriwa kuwa na ukubwa wa kilomita za mraba 1,820,664 (ukubwa mara 53.7 wa...
  13. Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume. Pili...
  14. M

    Hivi Rais Samia anavalishwa kweli Majoho ya Kimila au anafanyiwa tu Ushirikina uliochangamka kutoka Mwanza na Dodoma?

    Endeleeni tu kutufanya Watanzania wote ni hamnazo ( tuna Akili za Kipa Katoka ) hivyo mtatuzuga kwa kila namna wakati tuliobobea kwa Mambo hayo ( japo Juzi tulizidiwa na wa Yanga SC ) tumeshajua nini Kinaendelea. Naona kabla hajaiacha Ardhi ya Tanzania kwenda kwa Joe Biden Wasukuma kupitia Zuga...
  15. Hoja kwamba eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba ni uthibitisho kwamba watanzania wengi Wana uelewa mdogo Sana kuhusu" Human Psychology"

    An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology. Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa.. Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa...
  16. TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

    Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
  17. Wizara ya Mambo ya Ndani, tuambieni Watanzania kuhusu Jeshi la Polisi

    Kwa ufupi sana: Kama nyie ndio wasimamizi wa jeshi letu la polisi: Je: 1. Inaruhusiwa kwa muhusika wa uhalifu kuteswa ili akiri makosa? Mumuvue nguo, Mumning'inize kama popo, mchukue hela zake, mumuchome bibisi, je hii inaruhusiwa na kwa sheria gani, hebu tuambieni? 2. Makomandoo wameenda...
  18. Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

    Habari wadau.. Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4. Kwamba bwana...
  19. Hivi Watanzania mnaokimbiliaga South Afrika kuna kitu gani cha maana huko?

    Mbona ni kama wana maisha magumu tu kama sisi tena inawezekana magumu kuliko hata sisi
  20. M

    Je, hii Tunu (Zawadi) ya Unafiki tuliyonayo Watanzania wengi haiwezi pia Kujumuishwa katika Vivutio vipatikanavyo Tanzania?

    Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni.... "TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi" Baada ya Simba SC kufungwa na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zimebadilika ghafla na kuwa.... "Hii sasa ndiyo TP...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…