watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Polepole usikate tamaa kutetea rasilimali za taifa lako, watanzania wapo pamoja na wewe. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu.

    Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm. Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho...
  2. Watanzania wamezoea unafiki na siasa za ki malaya malaya, sio ajabu wanawashangaa CHADEMA

    Watu wengi, wakiwamo wanasiasa na wasomi, wamewajia juu CDM baada ya chama hicho kumshukia kama mwewe Zitto Kabwe baada ya yeye kumwombea msamaha Mwenyekiti wao kwa rais kwamba afutiwe kesi. Hili kinadhihirisha kiwango cha juu cha unafiki na umalaya malaya wa kisiasa wa watanzania, wengi...
  3. Waliomfanyia hujuma Polepole wamedharaulika na kupuuzwa na watanzania. Polepole sasa ni shujaa mzalendo anayetetea maslahi ya Tanzania.

    Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu? Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa. Leo hii kila...
  4. Rais Samia wananchi wanalia sikia kilio, nchi inaenda arijojo!

    Hivi kweli kipande Cha sabuni enzi za Kikwete kilipanda kikafika shilingi Mia, eti juzi kwa utawala wako kimefikia shilingi 300/; nakumbuka mtungi wa Gesi ulikuwa kama sio 25000/; ulikuwa 30000/:leo hii kweli kutoka 45000/; mpaka 60000 serikali Iko kimya? Kilo moja ya sukari ni 2800/: kabisa...
  5. Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

    Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi. Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya...
  6. S

    Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

    Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter: "Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya, alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom. Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais...
  7. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

    Wanabodi, Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa...
  8. Huko nyuma CCM ilikuwa mali ya wakulima na wafanyakazi, leo kimegeuka kuwa mali ya wanaCCM wanaounga mkono ufisadi na kuwona Watanzania mabwege

    Labda kwa vijana waliozaliwa majuzi hawawezi kujua hii fact. Huko nyuma CCM ilikuwa ni mali ya umma. Ilimilikiwa na wakulima na wafanyakazi kwa manufaa ya taifa letu. Uongozi ndani ya CCM ulikuwa sio wa kurithisha mtu hata kama hana uwezo wa kuwa kiongozi. Leo hii kuna wanaCCM walirithishwa...
  9. Makubaliano ya Rais Samia na Rais Kenyatta kuhusu makazi na ardhi ni hatari Sana kwa Watanzania

    Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwanini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
  10. Hivi kwanini Wabongo hawana amsha amsha?

    Yaani Wabongo amsha amsha kwenye issues za msingi hawana kabisa, kisiasa ni kondoo ambao wanapelekeshwa kwa kila kitu. Sioni Wabongo mfano wa miamba ya akina Aristotle na Plato, mifano ya akina Lincoln, mifano ya watu wagumu waliowahi kufanya makubwa duniani. Wengi ni hodari kwenye upuuzi usio...
  11. Watanzania mbona hatusheherekei kwa shamrashamra siku ya Uhuru?

    Tanzania leo ni siku yetu adhimu ya kufurahi na kujisikia furaha kwa siku ya uhuru wa nchi yetu ni mfano wa siku ya kuzaliwa lakini kwa baadhi ya watu na sehemu tofauti imekuwa tu ni siku ya kupumzika bila shamlashamla zozote hivi birthday yako uwa inapita hivyo kimya kimya. Niliwahi kuwa Dubai...
  12. R

    Watanzania wangapi wanapata ulemavu kwa ukosefu wa Matibabu?

    Afya ni Mtaji wa kila mtu, watu wakiwa na afya njema wataingiza kipato serikali itapata mapato na Nchi itaendelea. VIDEO niliyoweka hapo chini ni ya Msanii anaitwa Paschaūl ni mtu Mkubwa anajulikana lakini alipopata Ajali alihitaji Msaada wa Matibabu kila sehemu. Sasa nimejiuliza sana hivi...
  13. Huku tukiikaribisha miaka 60 ya 'Uhuru' Watanzania tumetakiwa Kusalimiana 'Kijapan' kwa Kukunja Ngumi na Kuinama tu

    Nilidhani Viongozi wetu huku kuelekea Kutimiza Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wangskuwa wanahimiza zaidi 'Utanzania' wetu ila cha Kushangaza sasa Watanzania tunatakiwa Kuiga 'Tamaduni' za Wengine ambazo sina uhakika kama zitaeleweka vyema. Kuna Mtanzania Mmoja jana akiwa pande za Morocco...
  14. S

    CCM tufanye nini Ili Watanzania mnene ya kwamba sasa kweli matunda ya Uhuru tunayaona?

    Inawezekana kila tunalolifanya, hamtuelewi au mnapotoshwa na hivi vyama uchwara na baadhi ya wasaka tonge,mbali ya ilani zetu kedekede ambazo zinazidi kufurika hadi hatuna pa kuziweka, bado tunaona Watanzania wamejawa na shauku ya kama kuna jambo wanalihitajia ili waone tumefikia kule...
  15. Hongereni JWTZ na Watanzania kwa kuwa na 'Ndege Vita' nzuri zilizokuwa 'zinazurula' tu Anga la Tanzania leo Mchana

    Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania. Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji...
  16. Uchambuzi: Ambacho Watanzania hatutajifunza miaka 60 ya uhuru

    ABUU KAUTHAR Moja ya msingi mkuu wa demokrasia ni mamlaka kwa umma. Ina maana, mamlaka yapo kwa wananchi ambao wamekasimu madaraka kwa viongozi waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki ili kutenda kwa niaba yao. Nchi ambazo mamlaka hayatoki kwa wananchi ikiwemo zile zinazoongozwa na...
  17. C

    Ni kitu gani alifanya JK na kikabaki kuwa cha Watanzania?, Je ile Gesi ni yetu?

    Habari Wana JF, Kuna hoja nyingi sana zinasukuma kujengwa bandari kubwa ya Bagamoyo. Mradi huu ukipata nguvu sana wkt wa JK. Haukukamilika wkt wake. Sasa umerejea kwa kasi kiasi cha kudhorotesha hata miradi mingine. Binafsi ukiniuliza, nitakwambia JK ndio kila kitu kwenye huu Mradi. Hadi...
  18. J

    Shaka: Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia

    SEHEMU YA NUKUU ZA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA WAKATI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO "Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia katika kujituma kwa juhudi, bidii na maarifa, kazi iwe...
  19. Watanzania tuipongeze serikali ya CCM kusambaza umeme vijijini kwa kasi na mafanikio makubwa kwa muda wa miaka sita

    Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu. kurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea.
  20. Kesi ya Mbowe: Watanzania hatuhoji uhalali au uwezo wa Mahakama, bali uwezo wa Majaji - Msimamizi uko wapi- Kwanini mnaichosha Mahakama ya Rufaa?

    Vyovyote iwavyo: 1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu. 2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni. 3. Mwalimu wa majaji hawa ni nani haswa ili tujue uwezo wake au labda na yeye ana elimu ya kuunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…