watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  2. L

    Rais Samia aitoa CCM Dodoma ikiwa Moja, Imara,yenye Mshikamano

    Ndugu zangu uchaguzi wa CCM kuanzia mashina mpaka Taifa Umekamilika kwa kishindo ,furaha ,amani, upendo, mshikamano,umoja na ushirikiano. Ni uchaguzi uliotikisa ndani na nje ya Tanzania,Ni uchaguzi uliokuwa umeisimamisha nchi kimijadala, Ni uchaguzi ambao uliteka vyombo vyote vya Habari,Ni...
  3. Watanzania huu ndio wakati wa kuchuja ngano na Magugu. Wanaoliibia taifa letu wanatamba hadharani. Mbona huu ndio wakati wa kuwakataa

    Tozo za kila namna. Mbona huko nyuma hakukuwa na tozo. Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme? Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kuchambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
  4. Hapa huwa najiuliza ni wapi tunapokosea Watanzania? Uongozi wa aina ipi tunaohitaji kufanya kazi pasipo kushurutishwa?

    Our late president JPM alikuwa Chapakazi sana kwa hili nampongeza sana kwa wakati ule alipopokea kijiti kutoka kwa JK alikimbia sana na wakati kwenye kuinua nchi upande wa nyezo za uchukuzi na kuipa nchi nafasi nyingine ya kuingia mikataba yenye uhai hata hivi leo bado zinaendelea kufanya...
  5. K

    Tanzania ingekuwa na Katiba kama ya Kenya maendeleo yangeongezeka sana

    Watanzania ni lazima tubadilike hatuwezi kusubiri kiongozi mmoja mkali aje abadilishe nchi yetu. Nchi yetu Tanzania inaweza kukuwa na kuendelea kwa kasi kubwa kama tu tutaweka vitu kama vya Kenya. vitu hivi ni 1. Katiba kama ya Kenya 2. Mahakama kama ya Kenya Yaani hivi vitu viwili...
  6. Watanzania wenzangu tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani

    Wanajamii forum shikamoniiii woteeee... Wantanzania wenzangu naombeni tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani, kama una uwezo mkubwa, weka angalau chakula cha mwezi au miezi kadhaa mbele, dunia tunayoishi hii sio ile dunia ya zamani, kulikuwa hakuna tabu ya chakula hata. Mambo yamebadilika tupo...
  7. Idugunde: CCM inawatala watanzania kisultan na kibabe watanzania walishaichoka ila basi

    Diallo business tycoon wa Mwanza alisema kweli. CcM wanapora chaguzi. Hawakubaliki. Hili lipo wazi kila kona ya Tanzania. Kuna familia za wanaCCM wanaona hii nchi ni mali yao ya kuitafuna na kurithishana kuitafuna.
  8. B

    Nawamiss Watanzania. Nikirudi huko kwenu naomba Mnitembeze haya maeneo nimeyasikia wenzenu wakiyataja Huku niliko

    Unajua sisi wengine hatuna maringo au kujitenga na watu wenye njaa au shida. Wale jamaa nliwapa pesa wakae Hotel nzuri jana siku nzima walikuwa wananitafuta. Si hakukuwa na match. So wakaona wapate muda wa kuona Jiji na mimi. Wamekuja na mademu wao na mimi wameniletea wawili. Wasichana wenyewe...
  9. Uzinzi na ulevi ndio sababu ya Watanzania wengi kuwa maskini na mafukara

    Hivi vitu viwili vikikutawala haswa hata ukiwa Meneja unaweza kupitwa kimaendeleo na dereva wako. Mifano ni mingi mno, hata msomaji bila shaka una mfano wako jinsi ulevi wa pombe na uzinzi ulivyowaharibia watu. Kijana mwenzangu please weka kando uzinzi na ulevi, kisha tazama matokeo. Unaweza...
  10. P

    Hakuna mpango wowote wa kuwanasua Watanzania na umasikini uliyotopea!

    Nilimsikiliza Rais Dkt. Samia akigusia suala la behewa zetu used akisema, zimeagizwa ili zianze kutumika kabla ya zile mpya na nzuri na zenye gharama kubwa kuja, na ambapo amesema zitakuja mwaka kesho 2023. Swali la kujiuliza, kulikuwa na uharaka gani wa kutumia pesa zingine ambazo ninahisi...
  11. P

    Watanzania, tunaujasiri tena wa kusimama mbele za Wakenya kuwaringishia SGR yetu?

    Viongozi wetu ki ukweli mnajua kutuaibisha saaana yaani! SGR ya Wakenya tulikuwa tukishinda hapa kuwacheka na kuwalingishia ya kwetu kwamba, lao linatembea mwendo wa kinyonga, na ya kwetu itakuwa mithili ya bombardier yaani! Mlivyotufanyia viongozi wetu kwenye hizo behewa tuu, inatosha kabisa...
  12. M

    Je, tuliowadanganya Watanzania tumeshajiandaa na Ripoti Kamili ya Ajali ya Ndege Bukoba baada ya Miezi 18?

    Ninachoogopa MINOCYCLINE ni kwamba Wazungu huwa hawanunuliki na wala hawajui kusema Uwongo hivyo huenda Muongo Mkuu wa Taifa Mr. Super Black Daima na Msaidizi wake wa Mr. Kukurupuka Kuchangayikiwa Wakaumbuka na Kumuaibisha hata Boss wao Kikatiba. Kazi ipo.
  13. C

    Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
  14. Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used” Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
  15. Ujamaa umewadumaza waTanzania

    Sijui nani nimlaumu Rais Mao au rais wa kwanza wa Tanzania ila ok sawa nafikiri ni rais kwanza au waTanzania wenyewe ndiyo wamedumaa kutokana na ufinyu wao wa akili au ni unafiki wao wa kiwango cha lami. Nakiri ujamaa waTanzania wengi umewadumaza mpaka imefikia waTanzania wengi wao shughuli yao...
  16. B

    Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

    Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November. Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia...
  17. Watanzania na kizungumkuti cha Katiba Mpya

    Habari za saa wanachama wenza wa Jamiiforums natumai ni wazima. Nilikuwa na jambo linalo nitatiza na lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wanachama na jambo lenyewe lina husu katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa miaka ya hivi karibuni mpaka sasa hapa taifani kumekuwa na mijadala...
  18. TANESCO kwanini mnafurahia kututesa Watanzania?

    Mmeshindwa kutupa umeme wa uhakika tunawaangalia tu. Sasa mmeshindwa kuja na ratiba rasmi ya huo mgao wenu ili hata mtu apangilie ratiba yake ya siku maana shughuli nyingi bila umeme haziendi? Sasa mnakata umeme saa 2 usiku weekend, mnataka twende wapi muda huu? Hivi furaha yenu ni kuona...
  19. Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa moja ya Sifa ya kuwa Rais wao ni mpaka Umiliki PhD ya Kutishia / Kubembeleza Watoaji?

    Anyways kwakuwa sasa kwa Tanzania kama una Ndoto za kuja Rais wao basi Sharti ni lazima Umiliki PhD (Doctorate) iwe ya Academical au Honorary (ya Huruma, Utu na Upole) ili Uogopwe na Wapiga Kura. Na Mimi GENTAMYCINE najipanga sasa Kuwaroga Watoa PhD's maarufu nchini UDOM na UDSM ili wajikute tu...
  20. Kuna nini kwenye miradi ya kuzalisha umeme ya gesi na mafuta mpaka iwe chanzo cha kuibia Watanzania na kuwapora nishati ya umeme?

    Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawataki mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini? Kisingizio kinakuwa hali ya hewa. Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…