watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Watanzania wajinga na kuvuna wanayopanda

    Tanzania ni nchi ya aina yake kulinganisha na zingine zote duniani. Kwa hakika ni halali wengine kuiita kuwa ni nchi ngumu sana. Chukua muda uisome nchi hii kupitia kwa watu wake. Zanzibar wanaweza kuwa tofauti, lakini si bara. Inasikitisha kuwa Tanzania bara ni jamii ya watu waliojaa...
  2. Kabla ya kuilaumu Law School, watanzania wanajua kwamba baadhi ya wanafunzi vyuo binafsi huwaandalia" fungu" waalimu ili wafaulu?

    Hii ni issue niliyoambiwa na mmoja ya waalimu wa chuo kikuu binafsi aliyekuwa anafundisha sheria. Aliingia chuo hicho (sikitaji) akiwa na bidii kubwa,. Anaingia Kila kipindi kwa wakati, anakuwa mkali pale wanafunzi wanapochelewa, na katika mtihani alikuwa hana mzaha. Mmoja wa wanafunzi...
  3. Wapendwa watanzania wenzangu, Tujifunzeni kiswahili

    Napenda kuwashauri ndugu zangu Watanzania kujifunza Kiswahili kwa bidii na azma thabiti. Ingawa Kiswahili ni lugha yetu ya asili, ina faida nyingi ambazo hazipaswi kupuuzwa. Kwanza kabisa, Kiswahili ni lugha inayotumiwa sana katika nyanja mbalimbali kama vile biashara, utalii na utamaduni. Kwa...
  4. T

    CCM, nani mwenye sababu za kwa nini Watanzania ni masikini wakati nchi imezungukwa na Utajiri kila kona?

    Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo. Wanakosaje Ubunifu? Ni kwa...
  5. Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

    Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha? Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza? Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
  6. Uzembe wa watanzania

    Ni Tanzania pekee Kati ya nchi zote nilizosafiri Afrika unakuta mtu kaacha duka lake wazi kabisa katoka hajaacha mtu wala nini Sasa cjui ndo uaminifu sana au nini au hata Km kaacha mtu basi kafunga kasepa. Jana nlikuwa Mapinga pia maduka kibao ivyo Yaani akili zetu zimelala wateja wanakuja wao...
  7. Watanzania wengi wapo slow karibu kwa kila kitu

    Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri, Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele. i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza...
  8. Watanzania huungana na kushirikiana kwa dhati kwenye kumpiga mwizi tu ila sio kwenye biashara.

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ukweli usiofichika kwamba hapa nchini Tanzania ni ngumu sana biashara iliyofunguliwa kwa ushirikiano wa kuanzia watu wawili ni ngumu sana kudumu. Ukimtoa kumpiga mwizi huwa tuna umoja wa dhati kwenye kushabikia Simba/Yanga. Kwenye ushabiki wa hizi timu...
  9. T

    CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

    CCM, tunawasaidia ili kuendelea kutawala hii nchi, na itabidi muanze kutulipa tunaosaidia na kuwapa mbinu za kuendelea kuaminiwa, bado mna watu makini. Tukianza kuifanya nchi yetu kuwa ya majaribio, ni kutudharau Watanzania, sio kila mtu aweza kuwa kiongozi, Mungu ametupa vipawa tofauti...
  10. Rais Samia anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid Al Fitr Waislam wote

    Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid al Fitr Waislamu wote, na kuwakumbusha kuendeleza misingi waliyoiishi katika siku 30 za mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kutenda yaliyo mema, kuwajali wengine, sadaka shukrani na ibada kwa mwenyezi Mungu" . Kupitia Ukurasa wake wa...
  11. Watanzania tumepewa uhuru kutokea vijiwe vya kahawa, hatuwezi kuwa sawa na walioupigania kutoka msituni

    Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na vijiwe vya kahawa eti ndo wapigania uhuru hao Wako wanaosema historia ya Tanzania imechakachuliwa...
  12. Hongera Gerald Hando kwa kusimamia weledi kwenye kazi yako. Piga kazi watanzania tunakukubali

    NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO. Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy. King Mende @geraldhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na...
  13. Bunge limetangaza nafasi 42 za kazi kwa Watanzania wasiozidi miaka 45

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi 42 katika taaluma mbalimbali kwa Watanzania wasiozidi umri wa miaka 45 kuanzia leo Ijumaa Aprili 21, 2023 na mwisho wa kutuma maombi ni Mei 4, 2023. Tangazo hilo la kazi limetolewa leo Ijumaa Aprili 21, 2023 likitoa nafasi kwa...
  14. Kama 77% ya Watanzania ni vijana chini ya Umri wa miaka 35 shida kubwa ya umasikini wetu ni kuongozwa na wazee

    Kwanini wazee wenye umri mkubwa ndio wanatuongoza lakini si vijana ambao ndio wengi katika Taifa letu?
  15. Moja ya ubunifu bora ambao watanzania tunatakiwa kujivunia ni michoro ya Tingatinga

    Hii ni kazi ya ubunifu ya watanzania wenyewe. Wajapan wakisema wana Anime sisi tunasema tuna Tingatinga. Animationa za ubongo kids wanatumia hii style. Itapendeza kuona watu wengi, hasa michoro ya vitabu, comics, katuni na animations wanatumia hii style.
  16. S

    Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  17. Serikali yasema itawaondoa Watanzania waliopo Sudan kama itahitajika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax amesema imejiridhisha kuwa Watanzania 201 waliopo huko wapo salama ambapo kati yao 171 ni Wanafunzi na idadi nyingine ni raia na Maafisa wa Ubalozi. Dkt. Tax amesema Serikali imesikitishwa na kuzorota kwa hali ya...
  18. Ujinga wa Watanzania wengi wanajifanya Wasomi

    Sipo hapa kuponda binadamu mwenzangu kwa kuwa me najifunza na kuhoji ili nizidi kupata Maarifa, Elimu, inamapana yake kwahiyo hata kama uko na Elimu.. uko na Elimu kuhusu issue fulani ila sio kila kitu Duniani _Ndo maana mwenyezi Mungu kila mja wake kamfanya awe na kipaji chake au kalama yake...
  19. Hatma ya Watanzania waliopo Sudan

    Kumetokea mapigano jijini Khartoum je Watanzania wenzetu waliopo huko wapo Salama? Au tutume ndege chap kwa haraka?
  20. Spika Tulia anawalaghai Watanzania

    Spika Tulia anataka kuwaletea ahueni watu wanaotiliwa mashaka na CAG Kichere ndiyo maana anasema mjadala (wa ripoti ya CAG) ufanyike Novemba. Lakini kama CAG ameandika ile ripoti wale watu wanaweza kujojiwa na TAKUKURU, na DPP na kupelekwa mahakamani. Mambo yoyote yatayokuwepo katika ripoti ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…