watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo umewafumbua macho Watanzania. Mnatakiwa kugoma kwa uonevu wa CCM unaoendelea sasa

    Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa. Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo. Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
  2. Inabidi itumike akili gani kuwaelezea watanzania kwamba vita ya Ukraine na Russia sio ya kuishabikia?

    Habari kwa wanajamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kwa watanzania wengi (nitasema wengi licha ya kwamba sijafanya utafiti ila naona kwa ninachokumbana nacho mtaani inawezekana wengi wana mawazo hayo hayo) wanaivalia njuga vita inayoendelea baina ya mataifa mawili ambayo kiasili...
  3. India yatoa msamaha wa kulipa faini kwa Watanzania waliokwama kurudi nyumbani

    Balozi wa Tanzania Nchini India, Anisa Mbega ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu msamaha uliotolewa kwa Watanzania baada ya mazungumzo maalum yaliyofanyika pamoja na Serikali ya India kwa kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ya India. Balozi Mbega anasema “Ubalozi kwa kushirikiana na Mamlaka...
  4. Tahadhari kwa viongozi wa umma: Watanzania ni waoga? Nani kakudanganya. Wape platform wakuonyeshe

    Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi. Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
  5. Mpaka watanzania wanaamua kusoma albadiri kwa wezi serikalini tunaelekea wapi kama taifa

    Nimetafakari sana juu ya uamuzi wa wananchi wa Tanga kuandaa kisomo maalum kwa ajili ya viongozi na watendaji serikalini walioguswa kwenye ripoti ya CAG. Mbali na watu wa Tanga kuamua kufanya dua maalum kwa kina Mwigulu, Makame Mbarawa, Januari na wakubwa wengine waliotajwa na CAG. Pia yuko...
  6. Utahira wa Watanzania

    Jamani hii tabia ya Watanzania na ufala unakuta mtu ana simu ya milioni mbili au anatembelea gari la mil 50 na saa ya milioni na designer suti ya million 5 na anatoka cafe kunywa kahawa ya elf 10 then anamsimamisha Muuza karanga anaomba ya mia 500 then analalamika kapunjwa???😡😡😡 kweli uyu dogo...
  7. B

    Je watanzania tunahitaji nini? tunafikiria na kuwaza nini? nini hatma ya nchi yetu kama mali tunazo, ardhi tunayo, je ni lini tutaondoka na kero.

    Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
  8. F

    Hongereni sana wafanyabiashara wa Kariakoo na nchi nzima, mmetuonesha njia Watanzania

    Watu wengi wana dhana potofu kuwa wafanyabiashara ni vilaza, wahuni, watu wasiojitambua, hawajui sheria wala kujieleza. Kinyume na dhana hii potofu wafanyabiashara mmeonesha weledi mkubwa (professionalism) kwa jinsi mlivyowasilisha na kudai ufumbuzi wa kero zenu mbele ya serikali. Mmekuwa wazi...
  9. R

    Lini Watanzania watajijengea utaratibu wakujiuzulu?

    Unaongoza watu, unaowaongoza wanakukataa adharani. Unaendelea kubaki ofisini ukisubiri hadi utumbuliwe kwa faida ya nani? Nchi zilizo serious ukilalamikiwa tu unakaa pembeni kwetu unang'ang'ana na ofisi for what....
  10. M

    Watanzania sio watu wa kudanganyika tena. Kifo cha Membe ni uthibitisho kuwa sasa hakuna utapeli

    Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? Kumbe akaja kuharibu mpaka waosha magari na wasafisha viatu wakawa mabilionea kwa wizi wa mali za umma. Nani amesahau Salva Rweyemamu...
  11. Serikali yasema idadi ya magonjwa ya ngono imeongezeka pia watu 1,612,52 wanatumia ARV’s Nchini Tanzania

    Watoto Milioni 1.5 wapatiwa chanjo Wizara ya Afya imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu jumla ya watoto 1,596,951 sawa na asilimia 98.6 walikuwa wamechanjwa chanjo ya Penta3 kwa ajili ya kuzuia magonjwa ya Dondakoo, Kifaduro, Kupooza, homa ya ini na homa ya uti wa mgongo, ambayo hutumika...
  12. Watanzania wenzangu

    Watanzania maskini na wa hali ya Kati Km mie kwanini mnapenda kushobokea matajiri au watu wanaopiga hela ambao hawakusaidii hata kidogo? Naona mamilioni mnaowafuata Insta wenzenu wanapiga pesa za matangazo cjui promo cjui ubalozi nyie hamuambulii hata mia zaidi ya kupoteza bundle tu ambazo...
  13. Watanzania waliopo Afrika Kusini wanafanya shughuli gani hasa?

    Nini shida huko bondeni idadi kubwa ya misiba ya vijana wa kitanzania. Nipo kwenye group hili la mabaharia naona vifo ni vingi sana watu wanaripoti mara kwa mara sasa vijana wadogo sana.
  14. Tuwe wakweli, tatizo sugu la Watanzania ni Uoga, siyo Unafiki. Hayati Membe hakuwa muoga

    Hello JF crew! 👇👇👇 Kipekee naomba niweke bayana tatizo mojawapo kuu na sugu la watanzania ni UOGA sio Unafiki-, ifahamike ya kwamba kichuguu cha UOGA ndicho hubeba unafiki, uongo, kutojiamini na matakataka yote. Ndugu Hayati Membe alikuwa jasiri, mzalendo, na mfia nchi na mpigania taifa, kuna...
  15. J

    Bernard Membe amewakosea nini watanzania? hadi iwe hivi?

    TANGU kutangazwa kifo cha Benard Kamilius Membe kumekuwa na hali ambayo sio ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii ya JF, Twita, Instagram, Facebook na Youtube. Swali langu kwa watanzania Membe aliwakosea nini hadi iwe hivi?
  16. Ndoto ya Watanzania wengi ni kufika Arusha

    Najua hapa wengi mtabisha but ukiacha watu wa mataifa mengine, watanzania wengi wanatamani wafike Mkoani Arusha tofauti na mikoa mingine. sio kwa sababu ni kuzuri sana but kuona kile kinachozungumziwa., watu wa aina yake, mandhari nzuri na ya kuvutia.. mji wenye idadi kubwa ya wageni...
  17. Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

    Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe. Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
  18. Siasa anazozifanya Tundu Lissu ni za kizamani mno, Watanzania wanashangaa na kumpuuza

    Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu wenye maono makubwa mno nadhani kumpita yeye mwenyewe.
  19. S

    Kwa nini Biashara za ki Familia kwa waTanzania zinafeli.

    Nipo Uturuki kwa muda mrefu sasa nimekuja kimasomo na kuangalia fursa nyingine pia. Ila nimegundua kitu kimoja baada ya kufanya internship kwenye biashara ya kifamilia wenzetu kampuni zao za familia zinadumu kwa Generation na generation. Hii nliyopitia internship ni kampuni ina miaka 30 sasa na...
  20. Serikali inafahamu kuwa kwa kuwapatia watu wake passport kunaweza kuwahamasisha kutafuta fursa nchi zingine?

    Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…