watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Uoga wa Watanzania ndio chanzo cha amani Tanzania

    Hello JF members, Kwa muda mchache nilioishi hapa Tanzania nimebaini tabia ya Watanzania tofauti na wengine. Uzoefu huu umenifanya nibaini Watanzania 99% ni waoga na wenye mioyo safi na hii ndio sababu kwanini Tanzania Ina amani 👉Tazama ishu ya bandari, mtanzania yupo tayari kusifia tu...
  2. Pasipoti ya Tanzania yawa ya 69 kwa Ubora duniani na Watanzania sasa wanaweza Kusafiri nchi 73 bila Viza

    Kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati inazidiwa na Kenya tu ambayo sasa Pasipoti yao imepanda Ubora na kuwa ya 66. Nchi ya Singapore ndiyo inaongoza kwa kuwa na Pasipoti Bora na Wananchi wake kuweza Kusafiri bila Viza katika nchi 192 kati ya nchi zote 227 zilizoko duniani. Katika Ripoti ya...
  3. Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania

    Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine, inahitaji kuwa na katiba mpya ili kuleta maendeleo endelevu na kuhakikisha ustawi wa raia wake. Hapa...
  4. Kulipishwa na kukamatwa kwa ndege za Watanzania

    Kila ninapotafakari chanzo cha kushindwa kesi na kukamatwa mali za Watanzania, maswali ni mengi majibu ni machache. Je, ni kwa sababu wakati tunaingia mikataba na hizo kampuni tunaangalia upande wa faida tu bila kuona risk ya vipengele kwenye mkataba? Au ni kwa sababu vipengele vya kujitoa...
  5. MwanaCCM huyu ni nani? Anaitaka Serikali kutowaruhusu wachekeshaji kuongelea suala la bandari kwa niaba ya watanzania au Serikali! awataja Kitenge

    Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa Serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea suala la bandari Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu...
  6. Asilimia 13 ya Watanzania hupoteza maisha kwa mwaka kutokana na maradhi ya moyo

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Muhimbili Mloganzila Fabian Kamana akimfanyia uchunguzi mgonjwa kwa kutumia mashine ya ECHO . Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila Dkt. Fabian Kamana ametoa rai kwa jamii kupunguza matumizi ya mafuta, chumvi...
  7. H

    Watanzania milioni 60 tunaamka asubuhi kila siku tunakula chakula kinachopikwa kwa mkaa na kuni is a Terrible.Ni uharibifu mkubwa wa mazingira

    Weekend ikiwa inaishia nawasalim. Wakati mjadala wa bandari ukiendelea basi tusitingwe sana kiasi cha kusahau mambo mengine muhimu Ukiona unakula umeshiba ujue kuna mti umedondoka uko porini na kufanya idadi kupungua na kufanya nafasi tupu kuonekana ambayo hatutegemei kama itazibwa na mti...
  8. Watanzania tupambane kupata Katiba Mpya kabla ya 2025

    Ni mtanganyika gani asiyetaka bandari iwe na ufanisi ili kupata mapato na kuendeleza uchumi wa taifa letu? Mkataba wa DP World una ukakasi ndio maana Watanganyika tunapinga. Tuwe na Katiba, Rais akiwa na kashfa kama hizi anachunguzwa na akibainika anashitakiwa. Tukomae ili tupate Katiba mpya...
  9. Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee. Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
  10. Watanzania mnaweza nini?

    Tuweke ushabiki pembeni watz mnaweza nini hasa kufanya mpka mtu akasema yes umefanya vyema? Naamini watu wengi mnaopinga uwekezaji wa bandari wengi hamjasoma mkataba mnatembea na hoja z lissu na kumuabudu lissu kuwa ana akili sana Mna msifu lissu ana akili kwasababu ninyi hamna akili na...
  11. R

    Je, kulingana Sheria zetu za Ardhi watanzania tuna OWN au tuna POSSESS Ardhi kama DP WORLD?

    Kulingana na mkataba -IGA ni kwamba DP WORLD watapossess Ardhi sio ku own nikaangalia maana ya haya maneno mawili 1 Own land - indicate that land belongs to a particular person or group . 2.Posses land -control or occupancy of land without regard to ownership . Kwa katiba yetu Kama nimeielewa...
  12. Asilimia 90 ya watanzania tumeshagundua kwamba hawa viongozi wamehongwa kwa ajili ya bandari

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika...
  13. M

    Asanteni Watanzania, hatimaye kamwanga ka uelewa kanaanza kuchomoza na hivyo tumaini lililopotea kuanza kurejea!

    Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words) Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili? Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa...
  14. Tetesi: Kumekucha: 'Kelele' za watanzania zawafikia DP World, watuma maofisa wao kujiridhisha

    Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo...
  15. Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari kesho 14/07/23

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam. Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
  16. Unajua Chakula Kitamu ambacho Watanzania Wengi Hawatakipenda?

    ...... basi ni hiki hapa
  17. P

    Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

    Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake. Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku watu wengine wakiwa wanarekodi tukio hilo. Polisi walipomuomba ufunguo, akasema mimi sina funguo. Kwa...
  18. Watanzania, huu ni wakati wa kufunga na kuliombea Taifa. Mkataba wa Bandari zetu ni mlango usiopendeza kwa haya yanayoendelea

    Amani iwe kwenu Watanzania Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeainisha wazi kwamba serikali haina dini na imeenda mbali zaidi kwa kutoa hakikisho lenye ulinzi wa Kikatiba wa Uhuru wa Kuabudu. Ingawa kiutekelezaji wake unahitaji ithibati ya serikali isiyojiingiza kwenye masuala ya...
  19. R

    Hayati Magufuli aliweza kuondoa ucheleweshaji mizigo bandarini? Mbona hakutuambia Watanzania hatuwezi? CCM kwanini tunajidhalilisha?

    Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari? Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote...
  20. Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku atoa ushauri wake sakata la Uwekezaji Bandari " Watanzania hawajaridhika na jambo hili,tulisahihishe ama tuliache kabisa" ---- Natoa shukrani kwa Rais wetu Dkt. Suluhu Samia kwa mambo mawili, kwanza kwa kuruhusu Watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…