watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mgongano wa maslahi Spika unaangamiza Watanzania kukosa mafuta

    Mgongano wa maslahi wa wazi wazi Spika wa Bunge amemnyamazisha Mbunge Tabasamu asiongelee kuchezewa kwa tenda katika mchakato wa ununuzi wa mafuta wanaondesha mchakato unaolalamikiwa na Tabasamu ni Ewura na bosi wa hiyo taasisi ni mume wa Spika. Hii ina maana Makamba alimshauri Rais amteue mume...
  2. Kassim Majaliwa: Watanzania tufanye maamuzi ya kuingia kwenye kilimo na mifugo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla. Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa...
  3. K

    Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu. Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM...
  4. Marekani waongeza muda wa kupata visa ya Marekani kwa watanzania hadi kuwa miezi Sita

    Kwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita. Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo utapokea majibu ya maombi yako baada ya miezi Sita (Februari 2024)
  5. Mkurugenzi wa FCS: Teknolojia inaweza kuwa chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo na uzalishaji

    Mkurugenzi wa Foundation For Civil Society (FCS) Francis Kiwanga, amesema kuwa Teknolojia inaweza kuwa chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo pamoja na kuwawezesha Watanzania kuongeza uzalishaji, kutafuta masoko na hatimaye kukuza vipato vyao. Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society...
  6. Logic na Reasoning ni sifa adimu kwa watanzania hasa wenye mlengo wa kiushabiki

    Hello JF, Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia maeneo mawili logic na Reasoning kwa watanzania ni zero, hapa namaanisha watanzania kizazi Cha 1990+ hadi huku 200+, ni aibu sana kwa taifa, sijui nikujifanyisha kisa shibe katika kitumwa, ufuasi, upimbi wa akili, mihemko ya upimbi wa kidini. Hii...
  7. U

    Rais Samia una Mkataba na Watanzania milioni 60 na sio wateule wako wasiozidi 300. Chukua hatua kabla hujachelewa

    1. Sasa ni wazi na hakuna ubishi tena, kuwa Mama Samia Suluhu Hassan zinakuja kelele kubwa sana kukuzomea kuwa, umeshindwa kuongoza nchi hii...! 2. Ni dhahiri shahiri kuwa, wewe Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT unawaogopa kuwawajibisha wateule wako wanaoshindwa kutenda wajibu wao na ambao...
  8. Nini sababu ya vifo vya kila siku vya WaTanzania ughaibuni?

    ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆmzee baba ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข Ndugu zangu watanzania tumepatwa na msiba mwingine wa ndugu yetu ally alawi............๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข Ally Alawi amefariki tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ...... Ally Ally ni baharia ambaye alikuwa anaishi ktk mji wa Mosselbay Afrika Kusini ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข Panapo majaliwa kesho siku ya jumanne ndugu...
  9. Chongolo: Watanzania wako tayari uwekezaji wenye tija na mabadiliko bandarini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesema Watanzania kwa ujumla wao wameonesha utayari na uhitaji mkubwa wa kuona uwekezaji na uendeshaji utakaoleta maboresho, ufanisi na kuongeza mapato katika Bandari ya Dar Es Salaam, hivyo ameielekeza Serikali ya Chama Cha...
  10. F

    Rais Samia atengue kauli yake ya yeye na Magufuli ni wamoja, au aombe radhi kwa madhila yaliyowapata baadhi ya watanzania kwenye awamu ya 5

    Baada tu ya kuingia madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja. Sijui kama wakati ule au hata wakati huu Rais anafahamu uzito wa maneno hayo. Kusema kuwa ni mmoja na mtu mwingine kunaweza kumaanisha mengi ila...
  11. Wakenya wamjibu yule Mtu aliyetutisha Watanzania kuwa tusipowakubali DP World watahamia Kenya na tutajuta

    "DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote" Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
  12. S

    Mafarisayo wa Chadema Msiwapoteze waTanzania

    katika moja ya clipu zinazotembea mitandaoni ni hili la wanasheria aka mawakili waliokuwa wakisema kwa kutoa povu kali kuufafanua mkataba wa bandari na uhusiano wa Dubai kama ni nchi au la. Kumbe waliyokuwa wakiyasema yote ni yale waliyoyaona kuwa wananchi watayapokea na kuyaamini. Tunasema...
  13. Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World mpaka pale Serikali itakapotoa ufafanuzi

    Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu kwa wanchi hivyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote wenye nia ya kuikashifu...
  14. D

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kutumia takwimu za matokeo ya sensa kuleta maendeleo endelevu kwa Watanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA Utangulizi Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu, makazi, na shughuli za kiuchumi katika nchi. Matokeo ya sensa yanatoa taswira halisi ya hali ya taifa na...
  15. Watanzania tubadilike

    Hii tabia ya kuchangia harusi hadi milioni 26 watu wanakula siku moja na kujisifu watu walikunywa sana itaisha lini? Mtu kaishi na mkewe miaka 20 hadi watoto wamefika vyuo anaamua kubariki ndoa anaomba achangiwe miaka yote alikuwa wapi? kwani bila sherehe ndoa haifungwi Tuige tabia ya nchi ya...
  16. L

    Rais Samia Songa mbele Mama, kuongoza Watanzania inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu maana ni vigeugeu

    Ndugu zangu watanzania, Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi...
  17. F

    Tumeacha kutetea bandari zetu sasa tunatetea mwekezaji muislam, waziri muislam na rais muislam!

    Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili. Hata kama kuna jambo baya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo...
  18. Nani Ananufaika na kuwafundisha watanzania ujinga?

    Wakuu heshima kwenu. Ukiangalia sura ya elimu ya taifa letu inatia kinyaa. Wanafunzi wanafundishwa juu juu sana na eti sera ya elimu inalazimisha wafaulu kwa wingi. Lugha ya kufundishia ni kiswahili. Hakuna mkazo wa kusoma science kwa undani na utafiti. Hakuna bidii ya kina kuwafananisha...
  19. B

    CHADEMA na Sauti ya Watanzania, msikaribishe tena watu waoga waoga kwenye mikutano yenu

    Jana Jumapili ya tarehe 23/07/2023, CHADEMA na SAUTI YA WATANZANIA, walikuwa na mkutano mkubwa sana juu ya kupinga uuzwaji/ubinafsishaji wa Bandari za Tanzania. Mimi kama mmoja ya wahudhuriaji wa mkutano huo, nilifurahia sana jinsi mkutano ulivyoratibiwa kwa umakini wa hali ya juu...
  20. F

    CCM mnasema IGA sio mkataba bali mikataba itakuwa ni HGA, sasa wajibuni Watanzania swali hili

    Tumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari. Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA zitasainiwa kwa kuzingatia sheria za ndani (Tanzania) na IGA iliyoridhiwa na Bunge inasema sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ