wasabato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chakaza

    Jaji Mkuu George Masaju: Uongozi Wako wa Mahakama Umetuaibisha WASABATO Tunaoheshimika kwa Kusimamia Haki.

    Sio uongo kuwa jamii ya walio wengi hapa Tanzania inaamini kuwa Waumini wa dhehebu la Wasabato ni watu wenyetabia ya kusimamia Haki na Ukweli. Kitendo cha George Masaju kuteuliwa kuwa Jaji Mkuu kilileta matumaini kuwa sasa mahakama zetu zitakuwa TUKUFU kama zinavyo itwa lakini kume ndio...
  2. U

    Wasabato naombeni mlete ushahidi usio na shaka wa idadi ya Wasabato waliouawa, kuteswa au kuzuiwa kufanya ibada zao

    Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu una lengo la kuweka kumbukumbu za kihistoria sahihi na kuepusha upotoshaji. Kinachotakiwa ni ushahidi wa kutosha kuwa Wasabato wamewahi kuteswa au kuuawa au makanisa yao kuchomwa moto au kuzuiwa kufanya ibada zao. Tafadhali muwasilishe na maeneo husika, idadi...
  3. U

    Ndugu zangu Wasabato naomba mtueleze siku ya Jumapili ina maana gani kiroho kwenye imani yenu? je ukisikia Jumapili mnajisikiaje mioyoni mwenu?

    Hamjamboni nyote? Tuwape nafasi Wasabato pekee tafadhali. Ukisikia Jumapili inatajwa huwa mnajisikiaje?
  4. Jaji Mfawidhi

    Uzi maalumu Uliza swali lolote kuhusu mafundisho ya Wasabato utajibiwa kwa usahihi kabisa

    Asili na Kuanzishwa: Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) lilianzia mkoani Mbeya (Igale, Mbalizi) mnamo mwaka 1939, likitokana na uamsho wa Kipentekoste uliotokea Azuza nchini Marekani. [ Uongozi wa Kiasilia: Mwaka 1967, umissioni wa wageni ulikabidhi madaraka kwa viongozi wazawa, na...
  5. U

    Uzi maalumu Uliza swali lolote kuhusu mafundisho ya Wasabato utajibiwa kwa usahihi kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? Kwa wenye hoja yeyote kuhusu itikadi za kisabato au swali au ufafanuzi karibuni sana
  6. U

    Ndugu zangu Wasabato je mnamfahamu mtakatifu Jerome? Je mnamkumbuka kwa jambo hasa?

    Niombee tutoa nafasi kwa ndugu zetu Wasabato duniani kote watupatie elimu Lugha zisizo na staha mwiko
  7. Eli Cohen

    Hii nchi imepitia mengi sana, kuna wakati wasabato walivamia airport ili wapande ndege bure ili wakaende kuhubiri kwenye mataifa ya nje

    This was 2008.
  8. bahati93

    ROMA CATHOLIC INA MPAKA MAFUVU YA MASHAIDI WA KALE NYIE WASABATO MNA NINI?

    Roman Catholic imeanzia kale sana, tofauti na hawa wanaojibagaiza kutoka kanisa la kwanza huku wakiwa hawana ushahidi wowote! zaidi ya kuwa na Biblia kubwa kama kitanda. Anyway tuachane na hayo hapo juzi Tulifanya sherehe kubwa ya mtakatifu Agatha wa sicily. Huyu Bi dada alikuwa mtu na nusu...
  9. C

    Wasabato na kunena kwa lugha, hadi lini mtaishi katika uongo?

    Moja ya ishara iliyotajwa kuambatana na waaminio ni kusema kwa lugha mpya katikaMarko 16:17 Paulo akielezea hili, alisema katika 1 kor 14:2 "maana yeye anenaye kwa lugha hasemi na watu,bali husema na Mungu;maana hakuna asikiaye lakini anena mambo ya siri katika roho yake. Nimekuwa nafuatilia...
  10. U

    Ni nguvu ya Roho Mtakatifu ndiyo maana kanisa la Wasabato ni kanisa pekee duniani ambalo waumini wake hawaami kwenda makanisani mengine

    Niwatakie Sabato njema enyi watu wote wa Mataifa
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    Weekend Kareem. Niko hapa St. Peter's, Oyster Bay, kwenye Bar ya kanisa. Niko na wadau wangu wa miaka mingi, imani zao ni za msimamo mkali dhidi ya ulaji wa Nguruwe, a.k.a Kitimoto. Wananichana makavu. Ili uishinde roho ya ulaji wa Kitimoto, ni lazima uishinde pombe, kinyuma na hapo, hata...
  12. Registered_jf

    Mashahidi wa Yehova, Wasabato, Wamormoni

    Naomba niwakutanishe hawa ndugu walipoteana tangu wadogo: Mashahidi (JW) Wasabato (SDA) Wamormoni (LDS) 1) Makao Makuu 2) Viongozi wa juu 3) Ubatizo 4) Vitabu 5) Wamishonari 6) Makutano makubwa 7) Vijana wa Bwana ni Jeshi kubwa 😁 8) Random (Nb: Mimi sio muumini wa kanisa...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wasabato mnaofanya kazi siku ya sabato ni kwamba Amri ya 4 hamuijui au mwafanya makusudi?

    Kutoka 20:8-11 Ina waamru wasabato wote kutokufanya kazi yoyote Ile yeye wala mke wake,watoto wala wafanyakazi wake zamani wakiitwa watumwa. Ikaenda mbali ikasema hata punda wa msabato imeandikwa asifanye kazi yoyote kwa mujibu wa amri hiyo. Ajabu ni kwamba wasabato wanatuhubiria sana kuwa...
  14. U

    WASABATO Unabii wenu vipi? Vatican mnyama na Nabii wa uongo atayeungana na Mnyama mwingine USA na kuweka amri ya jumapili tayari wamekosana!

    Wanazuoni na wenye elimu karibuni tujadili. Kwa mujibu wa Wasabato Vatican ndiyo Mnyama mkubwa wa Ufunuo 13 ambaye ataungana na Mnyama mwingine wa 2 Marekani kuwatesa watu wa Mungu ambao ni Wasabato na kuwalazimisha kuabudu Jumapili badala ya siku ya Sabato ambayo ni Saturday. Sasa naona...
  15. M

    Roman Catholic inajitahidi kwenye nidhamu ya fedha na usimamizi wa miradi. Kwingine kuanzia BAKWATA, Wasabato, KKKT, walokole, n.k. kunanuka ufisadi

    Imekuwa kawaida sana kusikia migogoro, ubadhilifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya taasisi za kidini. Lakini ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema hadharani ni kwamba baadhi ya taasisi hizi zimegeuka kuwa vijiwe vya kunufaisha wachache chini ya mwavuli wa imani. Kwa upande wa...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wasabato wa Adventista na wasababto wana matengenezo ni wasabato wapi wenye kweli ya Mungu?

    Uhakika ni kwamba kande lipo tiyari kwa ajiri ya maandalizi ya sabato hapo kesho. Mkiwa katika shamrashamra za kuipokea Sabato Takatifu naombeni mtuweke wazi leo hii. Kwa miaka kazaa katika kujifunza kwangu maswali ya imani (Dini) Nimekutana na madhehebu mengi mnayofanana kama Mashahidi wa...
  17. MamaSamia2025

    Ipigwe mechi ya mpira kati ya Wakatoliki na Wasabato ili kuleta mshikamano

    Tunahitaji kuona makundi ya kijamii yenye mitazamo tofauti yakionyesha mshikamano na undugu pia. Tunahitaji mechi zifuatazo; 1. Wasabato vs Wakatoliki 2. CCM vs CHADEMA 3. Maustaadh vs Wamiliki wa mabucha ya kitimoto 4. Wives vs Sidechicks 5. Sukuma Gang vs Msoga gang 6. Walokole vs Wanywa...
  18. B

    Kwa Wasabato; Kwanini mnatumia kalenda ya Wakatoliki, Warumi kuhesabu siku za ikiwemo kutambua siku ya Sabato? Kalenda ni sahihi kwenu?

    Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation. Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe sahihi na waitumie kujua kuwa Sabato ni siku fulani?
  19. B

    Kwa wasabato; Je, Wakristo waliouawa na kuteswa kikatili na dola ya Warumi karne ya 2, 3 na 4 walikuwa wa dhehebu gani?

    Habarini wapendwa wote. Moderator naomba sana uzi huu uwe huru tafadhali Ni swali la msingi la kuweka sawa kumbukumbu za kihistoria
  20. Genius Man

    Kazi ya wasabato ni kushika tu sabato au kuongoza watu kufanya haki kwa muujibu wa unabii ?

    Kazi ya wasabato ni kushika tu sabato au kuongoza watu kufanya haki kwa muujibu wa unabii ? watu wamekufa na kuibiwa haki zao wasabato mbona hamuongelei hili suala? Mimi naweka unabii hapa wa siku za mwisho, kama wasabato ni watu wa mungu na hawaongozi watu kufanya haki hawastahili kuingia...
Back
Top Bottom