Speech ya leo ya mama imegeuza milengo ya watanzania upside down. Wale CCM kindakindaki wa humu JF wafia chama wa CCM wamekuwa wapinzani wa mama, na wale wapinzani wa ccm wa siku zote wamekuwa wapenzi na washabiki wa mama.
Binafsi pia nimekuwa mshabiki na mpenzi wa mama. Naomba mnielekeze...
Nimekuja na uthibitisho hapa unaonyesha jinsi wapinzani walivyo wanafiki.
Wanatuchanganya watanzania
Wao ndio walio ishauri serikali inunue ndege na kufufu ATCL leo tena hao hao ndio wapingaji wa ndege na ATCL.
Naomba niweke hii video kama ilivyo, niwaombeni dada zangu na kaka zangu wa...
WAPINZANI TAMBUENI KUWA TUNAYAHITAJI MAENDELEO ZAIDI KULIKO SIASA
Kwa mjibu wa kamusi ya Oxford, "Siasa ni shughuli zenye lengo la kustawisha ama kuongeza hadhi ya mtu fulani au kuongeza mamlaka ndani ya jumuiya ama shirika fulani".
Kwa mantinki hiyo unaweza kuona kuwa siasa ipo kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.