wapiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Deus Jovin

    Kiinimacho cha Waraka Mweupe, Yaani 'White Paper': Kura Mbili Kati ya Tatu Zinatosha Kuupitisha Hata Kama Wapiga Kura 35,000,000 Watasusa

    Mwaka 1923, mwanasiasa wa Kisovieti, aliyeitwa Joseph Stalin (1879–1953), aliukejeli mfumo wa kideokrasia kwa kusema kwamba, "Watu wenye maamuzi ya mwisho, sio wapiga kura, bali wale watu wenye mamlaka ya kuhesabu kura." Kwa hapa Tanzania kauli hii ilinukuliwa hadharani na Nape Nnauye, na...
  2. Crocodiletooth

    Sisi waafrika ndiyo tuwe wapiga kura na siyo viongozi wetu watuamulie!?,au mwasemaje?

    What do you,thought?..labda maisha yatakuwa sawa na bora kwa kila mwafrika...
  3. Dalton Elijah

    SI KWELI Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 katika uchaguzi wa mwaka 2026

    Kumekuwepo Chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, linadai kuwa Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 na kwamba katika uchaguzi huo zaidi ya watu milioni 14 walipiga kura.
  4. L

    Wabunge Wote Wangeruhusiwa kuendelea Kupewa vibali kufanya Mikutano ya Hadhara Majimboni Mwao ili kupokea kero za Wapiga Kura wao na Kutoa Mrejesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo. Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
  5. instinct desire

    CHADEMA acheni akili ya kujifariji. Ukweli ni kwamba hamkubaliki na wapiga kura

    Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣 Hebu pokeeni ukweli huu. chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu. wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye...
  6. Kyenju

    Ahadi za wagombea kwa wapiga kura

  7. Tlaatlaah

    Kwa kutegemea public sympathy tu, unadhani upinzani Tanzania unaweza kupata kiti walau kimoja tu cha ubunge uchaguzi mkuu 2030?

    Ni obvious, upinzani Tanzania kuhusu urais, watausikia tu kwenye bomba tu, kwasababu, kwanza hawana mgombea mwenye kaliba ya urais, lakini pia, hawana agenda zenye kugusa maisha halisi ya wa wananchi wote wa Tanzania, bali wao, wamejikita zaidi katika kuwatukuza viongozi wao, kwa kampeni za...
  8. baz kaiza

    Sio kwa Ubaya Rais atoke azunguke mikoani kuwashukuru wapiga kura wake. Waliomchagua kwa 98% na Kujua hali zao

    Ukishakua rais baada ya Uchaguzi raha ya urais uzunguke mikoani uonane na ali ya wapiga kura wako waliokuchagua kwa kishindo kwa 98% kuona ali zao kuzungumza nao kutoa shukrani. Muheshimiwa Rais ni mda wa kuzunguka na wewe mikoani kuona ali za...
  9. R

    Mbunge Jackson Kiswaga: Watanzania mkubali Serikali imeongeza bei za Mafuta kidogo. Punguzeni mambo ya Mitandao, hayana maana

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
  10. U

    PostGE2025 Dkt Richard Mbunda: Takwimu za Matokeo ya uchaguzi wa 29/10 haziendani na takwimu za wapiga kura. Wahusika (INEC) wa kutengeneza uongo hawakuwa makini

    https://youtu.be/hCgMt6sD0zM?si=dqkSFZPmFfSlwzUZ Tutaelewana tu Eti jumla ya wapiga kura 32,000,000 plus walitokeza kupiga kura... Kati ya hawa wote eti 98% wakampigia kura Samia Suluhu Hassan wa CCM sawa na karibu nusu ya Watanzania Cha ajabu, huyu mshindi wa 98% anaogopa 2% ambao...
  11. sanalii

    Kwanini wapiga kura Mil. 31 wa CCM wasiwasapoti wasanii waliowaburudisha kipindi cha kampeni?

    Wasanii walishiriki kampeni upande ambao ulipata kura mil. 31, ushindi mkubwa kabisa huu!. Sasa hawa watu ambao ni nusu ya watanzania kwanini wasiwasapoti? Kama waliweza kwenda kupiga kura hatika tension ile wanashindwa kuingia youtube kuwasapoti? Hakika uongo una lifespan ndogo sana, Huyu...
  12. Keynez

    PostGE2025 Samia anasema wapiga kura wa CHADEMA walimpigia yeye

    Sikusikiliza hotuba nzima ya jana kwa hiyo kila ninapopata vipande vipya napata mshangao mpya. Katika hotuba yake ya jana, Samia aliwakosoa watu wanaoshangaa na wanaosema 98% alizopata hawezi kuwa amezipata kwa sababu mwitikio wa wapiga kura ulikuwa mdogo sana. Akasema 98% ni ya kura...
  13. Mwanamwana

    PostGE2025 Rais Samia: Upigaji kura ulirahisishwa sana! Iliwafanya Waangalizi wa Uchaguzi kudhani wananchi hawakujitokeza kupiga kura

    Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi...
  14. T

    GE2025 Mpaka sasa sijaona picha za misururu ya wapiga kura waliosabibisha ushindi mnono wa 98%

    Zile media uchwara za kina Millard au yoyote mwenye hizo picha naomba atupie hapa na sisi tuone hiyo misururu ya wapiga kura waliotupatia ushindi wa 98%. Haki huinua taifa
  15. M

    GE2025 Kufanyike nini wapiga kura tutoke? Hayo mazoezi ya majeshi yanatutisha, waandamanaji nao vilevile!

    Mwaka huu huwenda ukawa ni mwaka mgumu sana kutekeleza haki zetu za kikatiba za mwananchi kwenda kupiga kura Nchi nzima imetaharuki, sijawahi kuona wanajeshi na majeshi mengine kufanya mazoezi kama ilivyo sasa tena tu ni kwa ajili ya uchaguzi Ukweli ni kuwa, magwanda ya wenzetu hawa...
  16. kiredio Jr

    Mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura.

    Wanafunzi pamoja na jamii huamini kwamba mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura. Je, hii ni kweli? Au ni kasumba isiyo na ushahidi? Wengine huamini kwamba serikali haitaki lawama mwaka wa uchaguzi na matokeo mazuri huongeza mvuto kisiasa. Lakini...
  17. L

    GE2025 Rais Samia ni Mgombea mwenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa Wapiga kura tangia mfumo wa vyama vingi uanze hapa Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Katika historia ya Taifa letu na tangia kuanza kwa mfumo wa Vyama vingi hapa Nchini. Rais wetu Mpendwa na Mama yetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakuwa Mgombea wa kwanza Mwenye Mvuto na shawishi Mkubwa sana kwa wapiga kura. Ni...
  18. McLaren

    GE2025 Felista Njau apanda mtumbwi ili kumnadi Rais Samia

    Sema CCM wana siasa za kishamba sana. Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi. Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi? Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest...
  19. Waufukweni

    GE2025 Unyenyekevu wa Wagombea kwa Wapiga Kura kipindi cha Uchaguzi ni Mbinu za Kisiasa na kuwalaghai Wananchi?

    Wakuu! Tupo kwenye joto la uchaguzi mkuu hapa nchini, na tumeona baadhi ya wagombea wakionyesha maisha ya kawaida kwa wananchi ni kama kujishusha na kuishi maisha ya hadhi ya chini. Hata hivyo, je, wananchi wanawezaje kutofautisha kitendo halisi cha unyenyekevu cha mgombea na propaganda...
  20. T

    Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
Back
Top Bottom