wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitimoto ya sikuhizi nani kailoga? Harufu yake imepotelea wapi?

    Aisee msema ukweli mpenzi wa Mungu, utamu wa kitimoto harufu ile. Sasa siku hizi unakula kitimoto ila ni kama nyama ya ng'ombe tu. Kipindi sie tunakua, miaka hiyooo, mzee basi akirudi na kitimoto nyumbani ile harufu tu inatosha kuwaamsha na kuwafanya mkae ubalazani kusubiri muitwe mtoe vyombe...
  2. M

    Wauzaji wa vifaa tiba (medical equipment) Tanzania

    Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania. Pia hill medical equipment tunauza vifaa tiba vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei elekezi ya serikali. Tunakalibisha taasisi, hospitali...
  3. Wako wapi hawa watu?

    Wazee wenzangu habarini na amani iwatawale Ni muda kidogo umepita sijawaona humu jf kwenye majukwaa mbalimbali watu hawa. Mzee Tupatupa Ritz Mwanakijiji Jack Bauer (kama sijakosea uandishi wa jina lake) Na wengine wote ambao ama michango yao kwenye nyuzi anuai humu au nyuzi wanazoanzisha wao...
  4. Tunapaswa kuendelea kuswali tukiangalia upande wa Qibla?

    Tunapaswa kuswali tukiangalia Qibla, Science ikithibitisha uwepo wa viumbe/binadamu kwenye nyota nyingine tutaswali tukiangalia wapi? Ni swali ambalo nilipata baada ya kuona uzi aliopost bwana mdukuzi alipofanya udukuzi ambao sijathibitisha ukweli wake kwamba "Waislam wa Bara Hawajui Qibla Iko...
  5. Iko wapi amani ya maisha yangu?

    Hope ni wazima Wana JF, Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa. Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja...
  6. Ni wapi naweza kununua Dye ya kurudisha (refurbish) rangi za nguo?

    Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets. Ni wapi naweza kuipata?
  7. MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo. Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani. Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa...
  8. Hongera Rais Mwinyi, Rais Samia Uko Wapi?

    Katika hotuba zenu za Mei Mosi jana kuna suala sugu sana ambalo Rais Mwinyi amelikumbuka lakini mama Samia hakuligusia hata kidogo. Ni Suala la PENSION ZA WAZEE WASTAAFU WALIPWAO NA HAZINA. Serikali ya Mapinduzi imetangaza bila chenga kupandisha viwango vya pension kwa 100% lakini huku kwetu...
  9. R

    Wapi naweza kununua machine za kuchakata plastics?

    Habari wadau, Natafuta machine za kuchakata plastics kuwa flakes naweza kuzipata wapi kwa Kariakoo? Pet bottle flakes ceushing machine. Pet bottle label remover. Pet bottle neck ring remover. Pet bottle washing machine. Pet bottle dry machine. Pet bottle flakes compressor
  10. Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana. Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%. RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini? Kila siku kuna mauaji Geita.
  11. Serikali Iko wapi mwalimu ananyanyaswa na kudhalilishwa Wilaya ya Kilindi Tanga?

    PART 1. MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU. MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE? MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI. Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?, mnatuchuliaje WALIMU...
  12. Ngoma chapambire moto: Internet ya Tigo post itaweza kumudu huu mziki mpya wa Airtel?

    TIGO POST PAID: 15 GB kwa 15,000 35 GB kwa 35,000 48 GB kwa 40,000 72 GB kwa 60,000 120 GB kwa 100,000 Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa...
  13. Uzi maalumu wa kujua wana JF wengi wanatokea wapi..

    Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes. Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale. nianze mimi Arusha- sanawari
  14. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yu wapi baada ya kusomwa ripoti ya CAG?

    Katibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG. Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi. Anayejua aliko tafadhali!
  15. Wapi nitapata mbegu za mulch?

    Salute, Wakuu wapi nitapata mbegu za mulch,kwanza sijui mulch ni mizizi ya Nini,au ni mboga za majani au ni Miche ya matunda gani. Kuna mzungu kaniambia anaitaji kununua ,nimtafutie kwa wingi,ziwe dar . Zimenipa ushamba kujua ni kitu gani.anayezijua msaada tutani
  16. M

    Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kushare Mwanamke?

    Hiki kitu nataka niwaulize wanaume wenzangu, inakaaje unafahamu mwanamke flani anatoka na flani na wewe anampangia foleni unapiga hivi huwa hamna kinyaa? hivi hamkumbuki stori za ngoma, mwanao anapiga kesho...
  17. Ulisikia wapi?

    Wanawake 7 kwa Mwanaume 1 - Wapi na wapi? Kuna Wakristo wanaoshambulia takwimu ambazo hazithibitishi uelewa wao mbovu wa Isaya 4:1. Kuna watu ambao hushambulia data na masomo ambayo hayaambatani na mtazamo wao wa ulimwengu uliopotoka. Nabii Isaya aliandika..... Isaya 4:1 "Siku hiyo wanawake...
  18. Hivi wale maanduje/mbilikimo walioko Marekani wanatoka wapi wanazaliwa huko au wanatengenezwa?

    Hello family, Ushishangae ya Musa wakati ya Filauni yapo, nilishikwa na butwaa mwaka 2015-2017 nilivoona lundo la mbilikimo California na Michigan huko Marekani, Nilijiuliza sana huu ni uzao wa batwa wa Zaire au ni cross breeds za maabara. Marekani kuna andunje sikuamini Ila ndio hivo wapo...
  19. B

    Huu wimbo wa zamani wa maji yakimwagika hayazoleki, nitaupata wapi?

    Moja ya mistari yake unaimbwa hivi, "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri"...kuna binadamu wa ajabu... Na huo wimbo Sio wimbo wa taarabu Mwenye kujua kuna la huo wimbo, ulikua popular Kwenye early 2000's
  20. B

    Video ya wimbo huu Wa zamani unaoitwa "chezea mshahara, usichezee kazi" nitaipata wapi

    Nliona video ya huu wimbo mwaka 2007, Moja ya mistari yake unaimbwa, (usione twaendeshaa, tunafanya kazii) ×2..video yake ntaipata wapi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…