wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Huyu mnyama Elephant Shrew anapatikana wapi Tanzania?

    Na anaitwaje kwa kiswahili? Ana dili gani?
  2. K

    Yule waziri mkuu wa kupachikwa na ziara zake yuko wapi?

    Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
  3. Aachiwe huru ili aende wapi kwa mfano muhalifu huyo?

    Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha. Lakini pia hastahili kua nje...
  4. P

    Yuko wapi Suley2019

    Aliripoti kesi ya uhaini iliyokuwa inamkabili Mbowe mwenyekiti wa zamanii wa Chadema.
  5. Ulikuwa wapi? GenZ mtupishe kidogo

    Enjoy Gen X na Millenia 😊 ☺️
  6. A

    Kesi za Mchango unaliweka wapi Jeshi la Polisi, Offisi ya Mwendesha Mashtaka na Mahakama zetu.

    Hivi karibuni kumekuwepo na kesi ambazo tunaweza, kusema ni za mchongo, Kwani Hazina uhalisia na tuhuma zinazo chagizwa dhidi ya watuhumiwa iwe ni ugaidi au uhaini . Sasa
  7. Where is Kikwete (Kikwete yuko wapi?)

    Kazi ni kipimo cha utu.
  8. Muziki Mzuri wa Africa Umefichwa Wapi? Wajuzi Tushirikishane

    Kuna muziki wa Africa ambao ni nadhifu sana, lakini ni nadra kuusikia radio, TV, social media, clubs au mainstream. Mimi napenda muziki kwa sauti, vyombo, vibe, melody, lyrics na production — sio kwa sababu tu ume-trend. Hii ndiyo aina ya playlist ninayoizungumza: 🎵 Black Tax – Just B 🎵 Chai...
  9. Tone Kwa Tone imeishia wapi?

    Aibu utaona wewe baada ya kuonya juu ya Upigaji wa CHADEMA sasa ni uthibisho tosha tone kwa tone ilishatimia mda mrefu na viongozi hawataki tena kutoa feedback kwa wananchi kwani wanahisi watasanuka ili wasichangie zaidi. Katika kipindi chote cha tone kwa tone hakuna kiongozi aliyejitokeza...
  10. Haya haters wa Jux kiko wapi?

  11. Mbinguni ni wapi? Inawezekana bado Yesu anapaa na hajafika mbinguni

    Mbinguni ni dimension nyingine ambayo imetuzunguka hapa hapa kwenye mazingira yetu au ni eneo fulani kwenye ulimwengu au galaxy yetu. Kama ni dimension nyingine basi hakuna habari ya kupaa, ni kitendo cha kuingia humo na kutoka. Kama ni sehemu fulani kwenye huu ulimwengu basi kuna uwezekano...
  12. M

    Ndoto yako ya kumiliki chombo cha moto imefikia wapi?

    Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa. Wewe ndoto yako imefikia wapi au ushatoa mwanangu
  13. KERO Inasikitisha kuona miti mikubwa mizuri iliyokuwa eneo ya barabarani Magereza Moshi imekatwa na hakuna dalili ya kupanda mingine

    Leo nimepita katika eneo la Magereza Moshi, ambapo awali kulikuwa na miti mikubwa na ya kuvutia iliyokuwa ikitoa mandhari nzuri na kuchangia uzuri wa mji. Kilichonishangaza ni kuona miti hiyo mikubwa imekatwa yote, huku baadhi ikiwa inakatwa na kutengenezwa mbao. Nilijaribu kuangalia kama kuna...
  14. N

    Tulia uko wapi mbona husemu neno?. Mwakalenga jana katapeliwa

    Wakuu kwema? Asee jana nilipata wasaa wa kucheka na kulia kwa pamoja. Pamoja na taarifa kusambazwa na kujadiliwa kila.mahala bado kuna watu wanaendelea kutapeliwa na hawa jamaa wa mikopo online. Tulia trust mikopo wamemtapeli jamaa mmoja muendesha bulldoza hapa Unguja jana. Kalipa laki 3 na...
  15. Hata chawa wanajua kuwa wanafanyaga kazi bure humu maana humu watu ni oil chafu ni basi tu wanatimiza majukumu kwa ajili ya ugali

    Fool me once shame on you, Fool me twice shame on me. Its 2026 bro, Hakuna alie tayari kuendelewa kudanganywa kama mtoto.
  16. Mafwele yuko wapi?

    Tokea awekewe vikwazo na Marekani, huyu takataka aitwaye Mafwele sijamsikia wala kumwona tena. Hivi yuko wapi huyu kiumbe? Nashangaa mpaka sasa kwa nini raia wema hawajamuua! Sisi Watanzania sijui tukoje tu. Ila hawa watu hawana kabisa busara. Miaka 10 ijayo huyu Mafwele hatokuwa na hicho...
  17. Mafwele yuko wapi?

    Tokea awekewe vikwazo na Marekani, huyu aitwaye Mafwele sijamsikia wala kumwona tena. Hivi yuko wapi huyu kiumbe? Ila hawa watu hawana kabisa busara. Miaka 10 ijayo huyu Mafwele hatokuwa na hicho cheo alichonacho. Ataishi wapi huyu takataka ukizingatia yote aliyoyafanya? Natamani sana...
  18. DUNIA ITAZIKA WATU WAPI?

    Waungwana Habarini Za Asubuhi Kwamujibu Wa Takwimu za United Nations kwa Makadilio ya Mwaka Huu 2026 Dunia ina Jumla ya Zaidi ya Watu Billion 8.3 Na Inakadiliwa Itafikia Zaidi ya Watu Billion 10 Kufikia Mwaka 2050, Makadilo Ya Sasa Ya Umri Wa Kuishi/Life Expectancy Kwa Dunia Ni Miaka 73 Na Kwa...
  19. Hivi Wanawake Mkizama Penzini Akili Huwa Mnaziweka Wapi?

    Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri...
  20. M

    Simu kali: Usijiulize tena simu mpya na used unapata wapi zipo kwetu Havikpro genuine phones Kariakoo

    Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…